Kuna kozi nataka nisome inayotolewa na Chuo kimoja Cha ujerumani. Sasa wamenielekeza namna ya kulipia ila sijaelewa maana sijawahi Kufanya International transactions. Tafadhali nisaideni. Naambatanisha na screenshot ya maelekezo yao
Hello bosses...
Tumesikia toka mwaka jana makampunj kama paypal, google, Meta(fb & insta owner), stripe, microsoft etc.... yakifukuza watu kwa kasi ya ajabu sana.
Leo hii tena mida hiihii nmepata taarifa kwamba Meta itafukuza tena wafanyakazi zaidi 10,000 baada ya round ya kwanza ya layoffs...
Hali ya maisha imewachanganya vijana wengi, mazingira na hali sio rafiki kwa biashara, Ajira na zenyewe hakuna.
Vijana wamesoma na sasa wameishia mitaani, nguvu ya wazazi nayo imeishia hapo, serikali nayo imeishia hapo, kwanini kijana asichanganyikiwe.
Ongezeko la watoto wa mtaani nao ni zao...
Eti wadada wanapenda wanaume wa namna hii. Sisi wenye vifua kama chaga za kitanda hawatutaki, kisingizio eti hatuwezi kupambana na adui pale atakapotokea.
Habari wanabodi,
Naomba kufahamishwa au kujuzwa je, nikitaka kuonana na mama Samia yani face to face nifanyeje? Wazo hili limenijia kwa mfano unataka kuongea naye je, unamngoja akiwa kwenye msafara unamuomba? Unamngoja afike ikulu ndogo mkoa anaotembelea unamfata?
Akiwa safarini unampigia...
Aisee, ukipata mpenzi au mke au mume ambaye anawasiliana bado na maex tambua hakuna kitu hapo. Ana namba za maex wake wote, anachat nao akikuaminisha eti hakuna kinachoendelea. I swear tegemea mahusiano yenye maumivu sana, ndoa itakuwa haina amani. Heshimu wanaowapenda na kuwajali na kuwatunza...
Karibu katika somo hili la leo linalohusu biashara maarufu ya kununua wanawake "mahari".
Mchanganuo au namna inavyo fanya kazi;
Bidhaa
Mwanamke [ Nyanya ]
Wauzaji
Wazazi upande wa mwanamke
Wanunuzi
Wazazi upande wa mwanamme.
Dalali
Mshenga
Mazungumzo ya biashara:
Mzazi upande wa mwanamke...
MBUNGE MHE. DR. RITTA KABATI AWAPA SOMO WANAFUNZI CHUO KIKUU, AELEZA NAMNA RAIS SAMIA ANAVYOWAJALI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa, (CCM) Mhe. Dkt. Ritta E. Kabati @dr.rittakabati amewataka wanafunzi wa Vyuo Vikuu kujikita katika masomo yao wawapo vyuoni na kuacha mambo ambayo yatapelekea...
Habari wanandugu, mimi ni kijana ninamiliki shamba lenye ekari 25.
Nimeplan kulima kilimo cha umwagiliaji na nina tamani kusafirisha mazao yangu nje.
Hivyo nilikua naomba kama kuna mwenye ABC za namna ya kupata markets nchi za nje anisaidie.
Kwa mara ya kwanza nilipoomba kazi ndani ya Azam Media (Tv na Radio) watu wengi waliniambia si rahisi kupata kazi katika makampuni ya Bakhresa kama wewe si Muislamu. Walioomba kazi hiyo tulikuwa Wakristo 8 na Waislamu 4. Lakini nafasi zilikuwa 13. Cha ajabu kwa Wakristo alichukuliwa mtu mmoja tu...
Tusidanyane!
Vijana wote ambao hamko kwenye cheni ya ulaji na kupeana nafasi kwa Juana ndani ya ccm, bila kuiondoa ccm na kuikataa, wote mtakufa masikini na hamtafikia ndoto zenu abadani
Hata hapa CCM inalindwa na wanaokula kupitia mfumo mbovu iliojitengenezea na wengine kulipwa kwa kazi ya...
Kuna kipindi nilikwenda Japan kwa shughuli flani.
So nikawa nacheck news kwenye television, na uzuri Station niliyokua naangalia ilikua inatumia lugha ya Kiingereza katika kurusha matangazo yake so nilielewa vizuri tu kilichokua kinazungumzwa.
Mtangazaji alitangaza kwamba kuna maiti ya...
Wadau nimejichanga kiasi fulani cha pesa, ingawa hakitoshi kuagiza gari used Japan lakini naweza nunua ya mkononi hapa Dar walau nitimize ndoto yangu ya kutembea nikiwa nimekaa.
Naomba msaada vitu vya kukagua kwenye gari kujua kama nzima au nabambikwa, pia kama imewahi pata ajali au la...
Habari za saa wanachama wote.
Siku ya leo ningependa kufahamishana nanyi moja ya jambo ambalo serikali ya China katika miaka ya 1970s ilifanya ili taifa lao liweze kupata maendeleo ya kasi.
Katika miaka ya 1970s baada ya serikali ya China kuweza kurejesha ushirikiano mkubwa na mataifa ya...
Uhai wa Taasisi yoyote isiyo ya faida (not-for-profit organization) unategemea watu ambao watakuwa na jukumu la kuisaidia Taasisi husika katika kutimiza malengo yake. Watu hawa kitaalamu tunawaita wafadhili. Kiutaratibu mfadhili anapochangia Taasisi hata kama mchango wake una thamani ya Shilingi...
Awamu ya tatu na ya nne tulikuwa na wazir mwenye misimamo mikali kabisa alieitwa John Pombe Joseph Maghufuli, Kwa sasa tuna wazir wa namna hyo hyo anaitwa Hussen Bashe .....
Bashe ni mzalendo , Bashe ni mpambanaji , very young and highly exposed , anayevaa uhusika , mwenye misimamo isiyoyumba...
Inaweza ukawa una kipaji,ila kilishapotea kutokana na mazingira.Au pengine bado hujagundua kipaji chako,na unahitaji kujiendeleza ili kikuletee manufaa.Basi huku ndio penyewe.
I.Gundua kipaji chako.
Neno kipaji wengi huwa tunaamini labda ni kuwa mwanamziki,au mchoraji.Lakini KIPAJI,ni ule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.