namna ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. WALIMU JUA NAMNA YA KUJITAMBULISHA: *TELL US ABOUT YOUR PERSONAL, EDUCATIONAL, AND PROFESSIONAL BACKGROUND*

    Hello! Today Niwapatia Silaha Kali ya mashambulizi dhidi ya Hilo swali😃, Simply, I’m sharing a formula you can use to answer this question by focusing on things your brain will follow, helping you be logical without memorizing too much. It’s not about quantity but about how your answer aligns...
  2. Video: Hii elimu kwa watoto wa kiislamu namna ya kukata vichwa, haifanyi kuwa makatili

    Mtoto anafundishwa jinsi ya kukata kichwa kisha anazunguka damu mara kadhaa huku wote wakibwatuka allah akbar, baadaye akishakua mtu mzima, anategemewa aishi kama binadamu wa kawaida mitaani
  3. Z

    Naomba kujuzwa namna ya kutuma meseji ya kawaida(normal text) kutoka Airtel Tanzania kwenda United Kingdom(UK)

    Nduguzangu wasalaamu, kuna namba ipo UK, inaanzia na +44, haipo Whatsapp wala telegram wala wapi, nalazimika kutuma meseji kwa normal text tu, naombeni mnisaidie ni kifurushi kipi kutoka laini yangu ya Airtel hapa Tanzania, kitaweza kufanikisha hilo, au ni muda wa maongezi wa kawaida? Au...
  4. Jinsi ya kujua thamani ya coin unayotaka kuinunua

    Kwa kawaida, watu wengi, hasa wale wanaoanza safari yao kwenye ulimwengu wa cryptocurrency, mara nyingi hupenda kuangalia bei ya coin. Wanafikiria, “Hii bei ni ndogo sana! Acha ninunue kabla haijapanda!” Lakini, rafiki, ngoja nikushike mkono na kukuonyesha siri kubwa ya soko hili kwani bei ya...
  5. Kuna jimama la kibrazili nimelipata hapa Paje, natafuta namna ya kulipagawisha. Wamasai mko wapi?

    Na kalaga baho Wazee toka nije paje nimevutiwa sana na maisha ya ubichi boi, imenipa ari na nguvu ya kuongeza siksi paki na kushinda na vibukta bichi. Hapa nina mpango nifuge na rasta kabisa Katika pitapita zangu nikakutana na jimama flani hiv "age go" yqni linakula pensheni za pesa hapa...
  6. S

    kwani TCRA hawawezi kuangalia namna ya kuzuia namba mpya kutuma ujumbe kwenye namba ambayo haijawahi kuwasiliana nayo??

    Kumekuwa na hili swala la kupokea sms mfululizo kutoka kwa namba zisizojulikana, yaani ukikaa kidogo utaona mara "iyo hela tuma kwa namba hii" mara "mzee nani nani anatibu mvuto, pete ya nini sijui" hujakaa sawa mara "jiunge na chama chetu" mara " mimi mwenye nyumba wako" na nyingine nyingi...
  7. M

    Namna ya kufuta leseni yako ya ukandarasi wa umeme

    Wakuu naomba msaada namna ya kufuta leseni ya ukandarasi wa uneme isiwepo kabisa. Ni leseni ndogo ya fundi wa kawaida wa wiring.
  8. Namna ya kuifanya Afrika kuwa nchi moja

    Ili tuweze kuiunganisha afrika sisi kama watanzania ni kuwaunganisha kua nchi moja na kuiongoza. Tumeona nchi nyingi zinapitia migogoro na migogoro hiyo siso kama watanzania ndio tunaenda kuwasaidia, ikiwemo ifuatayo:- 1. Vurugu za kampeni 2. Vurugu baada ya matokeo 3. Makundi ya kihuni yasio na...
  9. Namna ya kujaza akaunti ya malipo ya wateja Fiverr

    Heri ya Christmas na Mwaka Mpya. Wataalamu, naombeni ushauri namna ya kujaza njia ya malipo kwa ajili ya wateja Fiverr kwa Tanzania. Maana kuna gig nilipost juzi na nikaanza kupata maoni ya wateja wakitaka kuweka oda, sasa mmoja alisema njia ya malipo sijaweka, na mwingine alisema alihitajika...
  10. Msaada: Namna ya Kutumia Submeter ya Umeme

    Hapo pichani ni Submeter ya Umeme niliyoikuta kwenye nyumba ya kupanga Ina namba ya mita yenye tarakimu sawa na ya TaNeSCo. Naomba kufahamu Inafanyaje kazi
  11. J

    Namna ya kusign pesa za heslb kwa wanachuo

    Nimesign boom Jana ya awamu ya kwanza baada ya ku appeal Sasa kwenye lo verification imekuja Moja na kwenye failed imeandika Moja apo wasiwasi wangu kwenye failed.lakin message nimetumiwa uku kuwa installment imekamilika niende ku confirm kwa loan officer apa ndo nataka nijue ili niende na...
  12. A

    Namna ya kujijengea uwezo wa kusoma vitabu

    Wakuu kwa mwenye uelewa naomba nijuzwe namna ninavyoweza kujijengea uwezo wa kusoma vitabu kwa lengo la kupata maarifa tofauti tofauti. Kama inavyofahamika wengi katika watu ni wavivu wa kusoma habari za maana zenye kujenga uelewa.
  13. Ninaomba mwenye utaratibu namna ya kukodisha Karimjee Hall kwa miaka mitatu mfulilizo kwa kazi maalum! Kuanzia Tar 20.12.2024

    Ninawasilisha!
  14. L

    Job Ndugai Na Madiwani wa Kongwa Aibukia Jijini Tanga Kujifunza Namna ya Utekelezaji Wa Miradi ya Maendeleo.Apokekelewa Na Ummy Mwalimu.

    Ndugu zangu Watanzania, Speaker Wa Bunge Mstaafu Mheshimiwa Job Ndugai Ameibukia Jiji La Tanga akiwa Ameongozana na Madiwani Mbalimbali kutoka halmashauri ya Wilaya ya Kongwa . Ambapo yeye pamoja na Waheshimiwa Madiwani ,mkuu wa wilaya na mstahiki meya wa halmashauri ya Kongwa wamefika jijini...
  15. NAMNA YA KUJIANDAA KIUCHUMI KABLA YA KUANZA UJENZI🦺

    Watu wengi tunafail ku accomplish ndoto zetu za kujenga au tunajenga na kushindwa kumaliza kwasababu tu ya kukosa plan nzuri ya gharama katika ujenzi Stratergical way ya ku-win financial problem katika ujenzi ni kuwa na MATERIAL SCHEDULE ya jengo linalo jengwa,,, Material schedule ni document...
  16. G

    CHADEMA mkikutana Kamati Kuu, jadilini njia mbadala ya kupambana na CCM. Dhulma ifike mwisho

    Kwa kuwa ccm wao wanaua, wanateka na kudhulmu haki za uchaguzi, basi chadema iangalie namna ya kukabiliana kivitendo na mauaji, utekaji na dhulma ya haki ya kuchagua na kuchaguliwa. Dawa ya moto ni moto, na dawa ya figisu ni figisu. Wenyewe husema "ubaya hujibiwa kwa ubaya". Ili majogoo...
  17. Mwenye video ya Tundu Lissu akizungumzia namna ya kukuza uchumi wa nchi ailete

    Shida ya Lisu hazungumziagi namna ya kukuza uchumi, yeye ni siasa tu muda wote. Miradi yote ya kukuza uchumi na kuongeza ajira anaitukana, ndani ya miezi 4 SGR imesafirisha abiria milioni 1 wakati Lisu aliita ni mradi uchwara! Lisu afundishwa kuwa maisha ya mwanadamu siasa ni 20% na 80%...
  18. Mwanaume hivi ndivyo namna ya kudili na mwanamke mwenye drama

    Wanaume wenzangu ebu tupeane ramani ya kudili na wanawake wenye drama,maana wengi wetu mnakufa kwa presha wakati familia zina wahitaji Wanawake wana namna nyingi sana za kuwachanganya wanaume,ikiwemo kutaka kukufanya ujisikie wivu mnapokuwa public kwa kujiweka karibu na wanaume wengine,au wana...
  19. Namna ya kujitetea unaposhambuliwa na mbwa

    Kumekuwa na wimbi kubwa sana la watu kufuga mbwa kwa ajili ya ulinzi majumbani, hii inapelekea watu kununua mbwa tu bila kujifunza tabia za mbwa kama unavyojua kuna aina mbali mbali za mbwa na wote wana tabia tofauti Mbwa wengine siyo mahsusi kwa ulinzi wa majumbani. Ni vyema ukajifunza tabia...
  20. Wanaume chukueni madini hapa namna ya kuishi na hawa wanawake ili usife mapema

    Ndugu zangu habari za wakati huu Kutokana na malalamiko mengi kuendelea juu ya hawa wanawake hizi ni mbinu na akili pekee ya kuishi na hawa viumbe 1: Kua na msimamo mkali usio na madhara na mwanamke akifanya kitu cha kukukomoa usionyeshe kama umeumia mpuuze 2: Usiweke demokrasia na mwanamke...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…