habari ya kazi wadau.
samahani jana kuna mdau mmoja aliweka flash yake kwenye pc yangu kuhamisha muvi. sasa alipotoa tu mafaili yote yakawa hayafunguki. mfano nyimbo zote zikawa haziplay, word files zikawa hazifunguki pamoja na excel files. sasa kuna documents za muhimu kwa excel. je naweza...
MATATIZO YANAYOIKUMBA VETA TANZANIA NA NAMNA YA KUYATATUA
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) nchini Tanzania ni taasisi muhimu inayotoa mafunzo ya ufundi kwa vijana ili kuwapa ujuzi wa kujiajiri na kuajiriwa. Hata hivyo, licha ya umuhimu wake mkubwa, VETA inakabiliwa na matatizo...
Jicho la Tatu (Ajna Center) ni Portali ya Mwanga, siyo tu "organi ya kuona visions" — ni sehemu ambayo Roho safi huunganishwa moja kwa moja na chanzo cha Nguvu (Source Field).
Katika maandiko ya kale, Third Eye ilijulikana kama:
"The Single Eye" — Yesu alisema:
Lakini siri ya kufungua Jicho...
Inawezekana Mbunge wa Arusha alikuwa na hoja muhimu lakini amefanya makosa namna ya kuiwasilisha.
1-Kosa la kwanza
yeye alikuwa ni mmoja wa wanaserikali ambao mara nyingi hupingwa na jamii.
2-Kama mtu aliyewahi kuwa mtumishi wa Serikali yapo mengi sana aliwahi kuyafanya na kuyaamua ambayo...
Soma mpaka mwisho maongezi haya kati ya Interviewer na ChatGPT - utacheka, lakini pia utakubaliana nami kwamba hizi ni siku za mwisho. Injili inahubiriwa kwa kila njia, kwa mataifa yote, kama Yesu alivyotabiri(Mathayo 24:14) :)
--------------
Swali: We chatGPT ni mbishi sana. Kila mahali, watu...
Vijana wanaojitafuta katika mazingira ya kiafrika wamekua wakikumbana na changamoto nyingi zinazopelekea kubaki katika dimbwi la umaskini. Hata hivyo,kuna watu wamefanikiwa kujikwamua kiuchumi katika mazingira hayohayo,tunahitaji kupata maelekezo kidogo kutoka kwa wakubwa zetu waliofanikiwa...
Habari JF
Nimeamua kufanya maandalizi ya kustaafu kabla ya muda na kuachana na hizi kazi za ofisini ndani ya miaka 5 ijayo. Hatua ya kwanza nimeona ni kununua shamba walau ekari 10 kwa ajili ya makazi pamoja na ufugaji(70%) na kilimo(30%).
Nitahamia shambani kabisa na kujenga nyumba huko kwa...
Hellow wakuu
Huu ni uzi wa namna ya kujikimu kimaisha kwa mwana JF, Mtanzania sehemu yeyote alipo
Ipo hivi..
Hapo hapo ulipo kuna watu wana njaa ila hawataki kupika, kuna watu wanahamu na makande wanayapenda ila hawana mahindi na mkaa
Kuna wachaga wengi ila hawana pa kujumuikia kupata mbege...
Oya mie ngoja leo niwape za uso mabaharia wenzangu.
Watu tunakaa kwenye kikao, tunaweka ajenda mezani na points kabambe zinatolewa.
Mara utasikia
"Hamna kumnyonya mwanamke K utakua unalamba lolo la jamaa zake wengine"
Mara "Usimpigie magoti demu wako ukimvisha pete"
Mara "Mwanamke...
Mzuka wana Jamvi..
Siku hizi Wasap kumezuka mtindo wa hata watu ambao hamfahamiai nao kukutag kwenye grupu kuview status zao na mara nyingine bila hata kupenda na kutarajia unakuta unaview sasa wengine wanafanya Sifa wanatg kila mara , Sasa ningependa kujua kama Kuna namna ya kuzuia huu mchezo.
Habari wakuu,nina gari aina ya Toyota Belta X niki lock kwa kutumia remote yake ina flash taa za indicator mara 1 na nikitoa lock ina flash taa za indicator mara 2 kimya kimya bila kutoa sauti ya ku beep ya aina yoyote,naomba kujuzwa namna ya ku activate iwe ina beep nikiweka lock au kutoa...
Wakuu kwema?
Hiki kipengele kinasumbua sana. Yani unahitaji risiti ambayo ina tin halafu muuzaji anakwambia mashine haina option ya tin. Hapo ili tu asisumbuke kwa kuwa hajui hiyo hatua.
Pia mashine zenyewe ziko aina tofauti kiasi kwamba procedure za kutoa risiti zinatofautiana.
Sasa muuzaji...
Amani ya ulaya Sasa kulindwa na ulaya pasipo wahuni kutoka Marekani.
Viongozi wa ulaya wamekutana kujadili namna ya kuimarisha ulinzi na majirani zao Ukraine pasipo kuwaalika Marekani. Hii ni njia ya kwanza kabisa kuiambia Dunia kuwa Ulaya unarudi kwenye himaya yake.
Viongozi waliohudhuria ni...
Kwa zaidi ya miongo mitatu, mjadala wa Katiba mpya umekuwa gumzo kuu katika siasa za Tanzania, huku wanasiasa kama Tundu Lissu wakijaribu kuwashawishi wananchi kuwa bila Katiba mpya, maendeleo hayawezekani. Wanapiga kelele kwamba mabadiliko ya Katiba ndiyo yatakayotoa mwanga wa ustawi wa Taifa...
Kama mada ilivyo. Natamani kuanza kununua bidhaa kutoka nje ya nchi kupitia hii mitandao ya uuzaji kama Alibaba, AliExpress etc japo kwa sasa nataka nianze na AliExpress.
Sasa kuna kipengele cha kulipia bidhaa hapo ndio nakwama maana Kuna mahali naambiwa niweke card. Pia Kuna mahali wanataka...
Wakuu niina swali kidogo hv unapotongoza mdada ukakuta ni Gold Diger inatakiwa uichape mara ngapi ndio uiache???
Aisee nimekutana na kitoto cha 2003 nikataka nimfanye wife material but nilivyogundua kuwa ni Gold diger nikaona hapa hakuna jipya ni kupiga na kusepa.
Tatzo likaanzia hapa toka...
Wakuu habari
Mtu anayejiita msomi katika ngazi ya uprofesa au hata Udaktari,anaeaminiwa mabilioni ya pesa kwa ajili ya mradi fulani wa kufaa jamii kubwa ya watu kama kijiji au hata mkoa au nchi,akazitumia zote kwa maslahi yake kama kujenga bar,lodge,majumba ya kifahari nk...huyu ana vyeti au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.