namna ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msaada namna ya kufuta kovu ambalo si la muda mrefu.

    Msaada namna ya kufuta kovu ambalo si la muda mrefu.Ndugu yangu kaunguzwa na toyo ilimlalia mguuni.Sasa amebaki na kovu,tunaomba msaada maelekezo ya dawa kwa anayejua tafadhari. Asante.
  2. Ushauri wangu juu na namna ya kujiengua hapa tulipo kama Vijana

    Kwa kipindi cha mwezi mmoja nimekuwa katika hali ya kutafuta suluhu ya nini kifanyike kurudisha ari ya vijana, na watu katika utafutaji (hasa vijana) Kwanini? vijana wengi walio ingia barabarani siku ya 29 october ni kutokana na kuona hawana cha kupoteza, vijana hawa walikuwa na chuki, na hii...
  3. Je, watumia Zoom? Chukua tahadhari namna ya kujilinda na mambo kama ya kurekodi na kupeana picha na pia hatua za kiusalama security settings control .

    Taarifa za uhakika kabisa za kijasusi zilizopo ni kwamba jeshi la polisi chini ya kamanda Mafwele wapo kazini kuwatafuta, kuwabaini na kuwatambua wale wote walohusika na kuandaa mikutano ya kupanga maandamano ambayo kwa namna fulani yamefanikiwa kufikisha ujumbe. Ujumbe wa maandamano hayo...
  4. Ungependa kujua namna ya kujikinga au kutambua kama kuna uchawi dhidi yako?

    Placebo Effect: Mtu anaweza kupata matokeo kwa sababu anaamini yatatokea, si kwa sababu ya uchawi wenyewe. Self-Fulfilling Prophecy: Imani kwamba umelogwa inaweza kukufanya uwe mgonjwa au mkosa amani—siyo kwa sababu umeathiriwa moja kwa moja, bali kwa msongo wa mawazo. b) Ushawishi wa...
  5. N

    Namna ya kufanya configuration ya universal pocket Wi Fi

    Habari wanafamilia wenzangu naomba msaada namna ya kuseti configuration ya wifi zinazopokea laini zote, nikiweka laini na kulog in inakubali ila inanipa ujumbe wa connected without internet lakini laini ina kifurushi, msaada wa kunivusha hapa.
  6. M

    Njooni tupange namna ya kufanya mageuzi ya Umma

    Mafanikio ya Mapinduzi ya umma au mageuzi ya Umma hufanikiwa pale tu vyombo vya usalama vinapokuwa upande wa wananchi. Mpango huu umeanza wiki kadhaa sasa kuandaa utaratibu wa kuwaunganisha wananchi wote na vyombo vyetu na kuunda njia za mawasiliano na askari wetu hasa vijana. Kila mtu...
  7. Nimeandika kitabu cha namna ya kuwa tajiri ila nimekosa pesa ya ku print

    Habari zenu wakuu. Nimetimiza ndoto yangu ya muda mrefu sana ya kuwa mwandishi wa vitabu. Katika vitabu vitatu nilivyoviandika nimeshawishika ku release kitabu kimoja cha “Namna bora ya kuwa tajiri kwa njia nyepesi”. Tatizo limekuja nimekosa hela ya kuki print na pia sina sponsors kwa ajili ya...
  8. Namna ya kuondoa tangazo la hisense

    Naangalia mpira hapa kwenye hisense smart tv ila kuna matangazo yanajitokeza mara kwa mara yanakera sana kwa sababu yanaziba baadhi ya sehemu ya uwanja. Naomba mnieleweshe namna ya kuyaondoa
  9. Msaada wa anayejua namna ya kudownload application kwenye Tv

    Wakuu mimi ni mdau mkubwa wa soka la nje sasa Ligi zimerejea rasmi. Na kama mjuavyo kwa watu wa kawaida kama sisi kununua kifurushi cha 180k kupitia Dstv ili kuangalia mpira kwetu ni gharama sana. Hivyo wengi wetu tumeamua kutumia simu zetu kuangalia ligi ya uingereza kupita Application mbali...
  10. Wana CCM wenzangu tutulieni kwanza tupewe Mwongozo namna ya kumjibu Polepole. Tunaruka na kukanyagana wenyewe

    Wana CCM wenzangu tutulieni kwanza tupewe Mwongozo namna ya kumjibu Polepole. Tunaruka na kukanyagana wenyewe. Jamaa ameharibu sana. Sasa tusikurupuke tu tunazidi kujidhalilisha. Tunaonekana vilaza. Simu zinapigwa kuwaomba watu wa IT wajaribu kutupa maelekezo ya kulifukia hili. Ninyi vilaza...
  11. U

    Msaada wa namna ya kufungua mfuniko huu!

    Wanajf ninaomba mnisaidie kwa anayejua,namna ya kufungua mfuniko huu wa chemba inayotoka chooni!Choo kimejaa maji nataka nizibue.
  12. Namna ya kumpatia huduma ya kwanza mtu aliyerogwa .

    Habari zenu ndugu wanajamii forum. Tujadiliane kidogo mbinu za kumnusuru mtu aliyepata madhara ya kutupiwa uchawi. Nasikiliza mawazo yenu.
  13. Namna ya kumsaidia manzi wangu anapata sana shida akiingia period

    Mwenye anajua jinsi ya kumsaidia kupunguza maumivu au kuondoa kabisa maumivu ya tumbo kwa mwanamke kipindi Cha period Pisi yangu ikiwa period inateseka almost siku nzima anaumwa tumbo atari Msaaada🙏🙏🙏
  14. B

    Namna ya kufungua holding Company

    Habari zenu Wakuu, Naitwa Augustine na miaka 28 nimefanya kazi kwenye kampuni mbili tofauti ya civil engineer na Insurance broker yote hayo ndani ya miaka mitano. Hivi sasa na miaka 28 na nilikuwa nataka kufungua kampuni yangu binafsi nilikuwa naomba mnishauri procedure nazo takiwa kuzifata...
  15. Msaada namna ya kujiondoa kwenye simu iliyounganishwa mtandoni

    Habari. Msaada nawezaje kujiondoa kwenye smartphone niliyounganishwa na mwenza wangu?? Meseji, Voice note zote anazipata kwenye simu yake.Nitajiondoaje Ili asipate taarifa zangu kwenye smartphone yangu? Msaada.
  16. Nina uraibu wa kutegemea sana chatGpt, nisaidieni namna ya kuacha

    Aisee ndugu zangu ,hii sio masihara ni issue serious sana. Ipo hivi, kila tatizo ninalopata nakimbilia kuuliza kwenye app ya chatGpt.Nimekuwa sijiamini Katika mawazo yangu binafsi.Pia nahisi IQ yangu inashuka . Najihisi sina faida na najiona kuwa Bure kabisa.Sina motisha ya life. Nataka niwe...
  17. Namna ya ku escape Mahari na fine zingine

    Wakuu naomba mbinu za ku escape hii misala kabla kuingia Vitani
  18. I

    NAMNA YA KUREJESHA NYWILA ILIYOSAHULIKA KWENYE WINDOWS – KIUNDANI NA KWA MAJUKUMU HALALI TU Na Goodluck Maleko J

    “Umekwama Kwenye Windows? Njia ya Kisomi, Kisheria na Kiufundi ya Kurejesha Password Kusahau nenosiri (password) ya kuingia kwenye kompyuta ya Windows ni moja kati ya changamoto zinazoathiri watumiaji wengi — iwe ni nyumbani, kazini, au katika mazingira ya kielimu. Wengine huingia kwenye hofu...
  19. Msaada wa namna ya kupata hati ya nyumba mkoa wa arusha

    Habarini Nimepata makazi apa mkoa wa arusha maeneo ya olasiti Tokea nijenge nina mwaka sasa Nilikuwa naomba msaada jinsi gani ya kupata hati ya nyumba Kama mtu ana mtu huku aliopo kwenye hiyo mission anisaidie kuniunga nae Thanks
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…