nami

"Al-Damad" Ahmad Nami or "Damat" Ahmet Nami (Arabic: أحمد نامي‎) (1873 – 13 December 1962) was an Ottoman prince (damat), the 5th Prime Minister of Syria and 2nd President of Syria (1926–28), and a lecturer of History and Politics.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Peter Madeleka: Tutenge siku maalum ya kumsifia Rais. Nami naongezea iwe Siku ya Mapumziko kitaifa

    Sasa inabidi TUKUBALIANE. Kwamba; TUTENGE siku moja, kuanzia ASUBUHI hadi JIONI, CCM wamsifie RAIS, mpaka WACHOKE. Baada ya hapo TUENDELEE na MAMBO YA MSINGI kama watu wenye AKILI TIMAMU
  2. Chizi Maarifa

    Ukiniona natembea, naongea au ukikaa nami saa moja tu utajua mi ni Uislamu upo damuni

    Role Model wangu ni Mohammad. Namkubali sana kwa mambo yake na maisha yake. Mi napenda mademu. Nawachakata sana. Siyo kipolepole. Iwe mijimama/mishangazi na vichen chede. Hii ipo damuni kama kiongozi wangu rahma za aallah zimmulikie huko aliko. Masuala ya kupasuana kwa chupa, nondo, mawe...
  3. Bigmaaan

    Mwenye Nyumba Feki akipambana kunipiga Laki, nami Namu-enjoy

    Asubuhi nilipokea Message ya huyu bwana kunikumbusha kuhusu kodi. Basi nikahisi mwenye nyumba amejichanganya tarehe, maana natakiwa mlipa October. Nikampigia kwa namba yake niliyoisave. Akakana kuwa hajanitafuta. Nikajua tu, jamaa ni mpigaji. Nikaamua acha nimu-enjoy. Anapiga simu kufuatilia...
  4. M

    Polepole: Rais aliniteua hadharani, nami barua yangu nimeiweka hadharani

    Humphrey Polepole akimjibu mmoja wa waandishi wa habari kuhusu kutoa barua ya kujiuzulu, amejibu kuwa Rais Samia alimteua hadharani na kila mmoja akaona, kwanini yeye asijibu hadharani.
  5. Equation x

    Nitumie njia gani ili nami niweze kushiriki vikao vya G7 huko duniani?

    Natamani nami siku moja niweze kuhudhuria kikao cha G7, imekuwa ni ndoto yangu ya siku nyingi sana tangu nikiwa mdogo; sasa sijui itabaki kuwa ndoto tu au ipo siku nami nitashiriki? Wananzengo, mnanisaidiaje nami niweze kutimiza hii ndoto?
  6. Dr Adam Francis

    Njoni kwangu ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha (Math 11:28)

    Yesu alitoa mfano akasema "Mtu mmoja alikuwa na wana wawili; yule mdogo akamwambia babaye, Baba, nipe sehemu ya mali inayoniangukia. Akagawiwa vitu vyake. Hata baada ya siku si nyingi, yule mdogo akakusanya vyote, akasafiri kwenda nchi ya mbali; akatapanya mali zake huko kwa maisha ya...
  7. The Whistleblower

    Suluhisho la nguvu za Kiume

    Hakuna Tatizo linalotesa wanaume kama upungfu wa nguvu za Kiume. Tatizo hili ni kubwa kuliko hata Tatizo la uchumi, yaani ni bora uwe maskini wa kutupwa kuliko kuwa na upungufu wa nguvu za Kiume. Mimi ni victim mkubwa sana wa Tatizo hilo,na baada ya kupona nimeona bora nitoe Elimu ya bure kwa...
  8. Mikopo Consultant

    Kila nikitaka kujiandikisha daftari la wapiga kura, sauti ya 'ILI IWEJE' inanijia masikioni, nami najeuka speed kali kuendelea na mambo yangu binafsi

    Kuna kila dalili kwamba sitahuisha kichinjio changu kwenye uchaguzi wa mwaka huu. Nimejaribu mara mbili kuhuisha ila imeshindikana kabisa kufanya hivo, mara zote nikikaribia eneo la tukio, huwa inanijia ile sauti ya 'ili iweje', basi na mimi najeuka kwa kasi, nyuzi za pembe 180, naamua kuelekea...
  9. Mr Why

    Ungana nami leo ujifunze kutumia RCS Chats, mbadala wa WhatsApp katika kifaa chako cha Android

    Je, unatumia kifaa cha Android? Je, unatafuta mbadala wa WhatsApp baada ya kuitumia kwa muda mrefu? Ndiyo, inawezekana, ukiwa na Kifaa cha Android iwe Simu, Tablet huna ulazima wa ku download App ya WhatsApp, unaweza kupata Features zote za WhatsApp ikiwemo kutuma Picha, Video, GIF, Poll...
  10. PureView zeiss

    Ungana nami katika kukuletea updates za maandalizi na mikakati ya US kuipiga Iran

    Mada hii itakuwa inakuletea updates zote zinazopangwa na US akishirikiana na Israel dhidi ya Iran Hadi siku ambayo Iran itaenda kupigwa...... Toka juzi kuna zaidi ndege 6 hatari za kivita za B-2 bomber zimewasili tayari Huko DIEGO GARCIA AIR BASE. Tukumbuke DIEGO GARCIA ni kisiwa kilichopo...
  11. Mrndumbarojl

    Je ni sawa walimu au wahitimu kujiajiri au kwenda Veta kwa sasa?Ungana nami

    UJUMBE KWA WANASIASA WOTE: MSITUDANGANYE KWA KAULI ZENU! Utangulizi Katika miaka ya hivi karibuni, viongozi wa serikali wamekuwa wakirudia kauli ya "Wasomi wajiajiri" *"Wenye Degree Waende VETA" kana kwamba tatizo la ajira lipo mikononi mwa wahitimu wenyewe. Lakini swali ni moja tu: Kwa nini...
  12. GENTAMYCINE

    Wana Yanga SC wakiongozwa nami tunahoji mbona Skudu Makudubela kaachwa Yanga SC kimya kimya wakati aliletwa nchini kwa Mbwembwe na Kufuru zote?

    Rais wa Yanga SC Hersi nimethibitishiwa kuwa si tu Unanisoma hapa JF, bali pia Unanifolo hivyo nakuomba unijibu upesi.
  13. BB_DANGOTE

    Fungua mwanga wa mustakabali wa sekta- Jiunge nami kufanya kitu cha kimaendeleo na kuvutia sana(Bila mtaji wa kwanza lakini kwa shauku kubwa )

    Habari za mda huu , JIna langu naitwa Geofrey ni mwanafunzi wa shahada ya kwanza ya uhandisi .Pamoja na masomo yangu nimejitengenezea msingi imara wa uelewa wa biashara kwa kusoma vitabu tofauti vinavyoelezea mbinu bora za ujasiriamali, usimamizi wa biashara na mkakati wa soko. kwa kipindi cha...
  14. Mr Why

    Kumiliki nyumba au ardhi haviwezi kukupa utajiri bali vinalaza hela, fuatana nami ujifunze experience yangu ya umiliki wa hizi mali

    Kumiliki nyumba au ardhi haviwezi kukupa utajiri mkubwa, fuatana nami ujifunze experience yangu ya umiliki wa hizi mali Mimi Mr Why nataka nishare experience yangu ya umiliki wa nyumba na ardhi Nimemiliki nyumba na ardhi kwa muda mrefu lakini havikunipa fedha za kutosha Mwanzo nilidhani kuwa...
  15. Transistor

    Je una mtambo,au Mashine iliyokufa mfumo wa kielectronic wasiliana nami kwa matengenezo

    *Natengeneza na Ku-repare mashine au mitambo mbalimbali iliyokufa saketi zake za kielectronics na hivyo kushindwa kufanya kazi. *Nahusika na mifumo ya kielectrical na Electronics tu,sihusiki na mchenical parts. *Pia kama unahitaji kuundiwa au kuunda mfumo wa kielectronics kwa Jili ya kuendesha...
  16. Benzie

    Benz inayopumua: Jiunge nami tujifunze mengi

    1: Hello humans. My name is Benzie. Mercedes Benz. Iam six months old. Iam a girl. Naomba mnipokee na mnipe nafasi ktk mtandao wenu huu bora kuliko yote hapa Tz🙏🏼🙏🏼. Lengo la kujiunga hapa JF ni; 1)Kuonyesha karama zangu mbalimbali alizonijalia Mungu.Mimi ni paka mwenye uwezo wa kufanya vitu...
  17. britanicca

    Hakuna Taifa linaloitwa Palestina liliwahi exists tangu dunia iumbwe kumbe

    HALIJAWAI KUWAPO TAIFA LINALOITWA PALESTINA! NI HAKI YA WA ISRAEL KUKOMBOA ARDHI YAO! Kama hujapita shule au kufuatilia historia huwezi Jua haya 1. Kabla ya Taifa Kuundwa Upya na kuitwa Israel (1948) Lilikuwapo Taifa linaitwa British mandate yaan eneo Lilikuwa chini ya Uingereza 1920-1948 wala...
  18. M

    Mwenye majibu kuhusu jambo hili anisaidie nami nipate uelewa

    Mfumo wa demokrasia hapa nchini ulianzishwa rasmi mwaka 1992 chini ya Rais Mwinyi akiwa ndiye mwenyekiti wa chama mapinduzi CCM, na ndio kilikuwa chama pekee cha siasa kabla ya hapo kutokana na mfumo wa siasa wa wakati huo. Najua suala la maamuzi ya kuruhusu mfumo wa mabadiliko ya kisiasa...
  19. Equation x

    Nami nimemuadhibu mpenzi wangu aliyenijeruhi kwa kunipiga kichwani

    Mjuavyo tena katika mahusiano, kugombana na kurudiana ni kitu cha kawaida; mtakaa na kuombana msamaha na hatimaye mnafikia muafaka. Jana jioni, mrembo akaamua kuja kunitembelea nyumbani kwa mapigo ya kichokozi chokozi, lengo ni kuniamsha hisia ili niweze kusamehe na kusonga mbele. Mimi...
  20. G

    Kihasibu Yanga wamepata faida iliyofichwa kwa kupandisha matumizi, Mfano ni kipengere cha mishahara ya bilioni 7.3

    kwa makadirio makubwa mishahara ya wachezaji na benchi la ufundi kwa timu kuu, Yanga princess na vijana ni BILIONI 4 kwa makadirio ya juu, Timu kuu mishahara ni BILIONI 3 Wanaopata milioni 25 wawili Wanaopata milioni 20 wawili Wanaopata milioni 15 watatu Wanaopata milioni 10 sita Hao wengine...
Back
Top Bottom