namba

Namba (難波, Nanba, IPA: [namba]) is a district of Osaka, Japan. It is located in Chūō and Naniwa wards. Namba is regarded as the center of so-called Minami ("South") area of Osaka. Its name is one of variations on the former name of Osaka, Naniwa. Namba is best known as the city's main south-central railway terminus: JR, Kintetsu, Nankai, Hanshin, and three Osaka Metro subway lines have stations there.
Some of the most famous images of Osaka, including the Glico Man and the Kani Doraku Crab, are located around the Dōtonbori canal in Namba. Namba is also known as an entertainment district, and hosts many of the city's most popular bars, restaurants, nightclubs, arcades, and pachinko parlors. The area is also known for shopping, with the Takashimaya department store (for older styles) and the sprawling underground Namba City shopping mall (for newer styles).
Namba Parks is a new development consisting of a high office building, called "Parks Tower," and a 120-tenant shopping mall with rooftop garden. Various kinds of restaurants (Japanese, Korean, Italian, etc.) are located on the 6th floor, and shops on the 2nd to 5th floors. Parks Garden features enough greenery to help visitors forget that they’re in the middle of the city. There is also an amphitheater for live shows, as well as space for small personal vegetable gardens and wagon shops.
Namba was once the city of adult deliquents.Now,namba gathers some of the young deliquents.
There are sex trade shops and discos,but namba is also the pub restaurants city.
The namba's amusing commerce culture gathers many people.
canals in osaka created the commere culture.namba was near the center of osaka in Edo.
namba is also the center of owarai culture.
NMB48 bases in Namba.

View More On Wikipedia.org
  1. Waraka namba moja wa NCCR-Mageuzi kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020. NCCR Mpya inakuja!

    Wakuu, Huu ni Waraka namba moja wa chama. Bado ntaweka hapa namba mbili. Na nitakuwa na-update kila kinachojiri. Sisi tunahukumiwa kwa lipi? - Ndugu James Mbatia “Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu” Methali hii inajidhihirisha, kumezuka shutuma kubwa dhidi yetu ya kile wanachokiita...
  2. Pata namba zako zote za simu za zamani na ulizopoteza kupitia Facebook

    Habari wa JamiiFirums, Leo nimejisikia ku-share njia hii rahisi yakupata namba zako zote za simu za zamani zilizopotea au zile ulizofuta kwa bahati mbaya. Hii ni kwa watumiaji wa facebook tu. Tafdhali tembelea kiunganishi hiki: https://m.facebook.com/mobile/facebook/contacts
  3. T

    Ubora katika jezi namba 1

    Katika mchezo wa soka jezi namba ni kitu muhimu sana. Je, kati ya hawa makipa watatu Buffon, Kahn na Cassilas ni yupi unahisi aliitendea haki jezi namba 1?
  4. S

    Mwenyekiti James Mbatia msaidie Mwanachama wako mwenye kadi namba moja Mabere Marando arudi nyumbani huko ugenini anapata tabu

    Mabere Nyaucho Marando ndiye Mwanachama mwenye kadi namba moja ya NCCR Mageuzi,alizaliwa takribani miaka Sabini iliyopita huko Mkoani Mara Nguli huyu wa sheria ni miongoni mwa waasisi wa siasa za mageuzi hapa nchini akiwa na wenzako akina Bagenda, Ole Sirikwa,Komu, n.k Huyu Mbabe wa siasa za...
  5. Kesi namba 456 ya 2016 JamiiForums vs Jamhuri, Kisutu: Maxence Melo ahukumiwa Mwaka jela au faini ya Tsh. Mil 3. Mwenzake aachiwa huru

    Kesi namba 456 ya mwaka 2016 inawakabili Mkurugenzi wa Jamii Media Ndg. Maxence Melo na mwana hisa mwenzake Micke William itasomwa leo Aprili 08, 2020 mbele ya Hakimu Thomas Simba kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam. Hukumu hii awali ilipangwa kutolewa Novemba 26, 2019...
  6. Namba za simu za Ofisi nyingi za Serikali hazipatikani

    Sijui ni nani anahusika ku huisha namba za Ofisi za Serikali kama za Mawaziri/Wizara, Wakuu wa mikoa, Wilaya, Hospitali za Mikoa, Hospitali kuu za Wilaya na taasisi nyingi za Serikali kwenye mtandao kwani namba nyingi zilizopo zilishafungiwa au zimebadilika. Naamini kutokuwa na namba za simu...
  7. Hukumu ya kesi namba 456 ya 2016 inayowakabili Wakurugenzi wa Jamii Media iliyokuwa itolewe leo, imeahirishwa kwa mara ya 5

    Kesi namba 456 (Jamhuri v Maxence Melo na mwenzake Mike William) ambapo Kampuni ya Oilcom iliandikwa katika mtandao wa JamiiForums ikidaiwa kukwepa kodi na kuchakachua mafuta bandarini Dar imeahirishwa tena leo Aprili 02, 2020 hadi Aprili 08, 2020. Hukumu hii awali ilipangwa kutolewa Novemba...
  8. Kesi namba 458 (Jamhuri v JamiiForums) yaahirishwa tena kwa kukosekana Shahidi. Mara ya mwisho kuwa na Shahidi ni Novemba 12, 2018

    Kesi namba 458 ya mwaka 2016 (Jamhuri dhidi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Media, Maxence Melo na mwenzake Mike William) imeendelea leo tarehe 23 Machi 2020 mbele ya Hakimu Huruma Shaidi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Katika shtaka la pili kwenye Kesi hiyo, Watuhumiwa wanashtakiwa kwa...
  9. S

    TCRA fatilieni namba za matapeli wa "Nitumie kwenye namba hii"

    1. 0734 045946 TUMA KWENYE 0742 608414 2. 0787 069784 HAPA TRA kwa nn unafanya biashara bila EFD ? nakuandikia fine 3mln 3. 0738 136451 Hapa shuleni mm ni mwl mtoto wako anaumwa tuwasiliane haraka. 4. 0754 018793 Hapa morogoro nimetuma pesa kimakosa sh 47,500 5. 0692...
  10. Sheria za Soka za FIFA: Ifahamu sheria namba tatu ya FIFA inayohusu idadi ya Wachezaji Uwanjani

    Kwa mujibu wa Sheria za FIFA (Shirikisho la Soka Duniani) mwaka 2015/16, mechi inachezwa na timu mbili, kila moja ikiwa na Wachezaji wasiozidi 11, mmoja wao ni Kipa. Mechi haiwezi kuanza ikiwa timu yoyote ina Wachezaji chini ya 7 Kiwango cha juu cha kubadili Wachezaji wakati wa mechi kwenye...
  11. Sheria za Soka za FIFA: Ifahamu Sheria namba Mbili ya FIFA inayohusu Mpira wa Soka

    Kwa mujibu wa Sheria za FIFA (Shirikisho la Soka Duniani) mwaka 2015/16, mpira unatakiwa uwe wa Mviringo wenye Mzingo/Mzunguko wa Sentimita 68 hadi 70 (Mpira Namba 5), ukitengenezwa kwa ngozi au malighafi yoyote inayofaa Mwanzo wa mechi, mpira unatakiwa uwe na uzito usiopungua Gram 410 na...
  12. Sheria za Soka za FIFA: Ifahamu Sheria namba Moja ya FIFA inayohusu Uwanja wa Soka

    Kwa mujibu wa Sheria hizo za FIFA (Shirikisho la Soka Duniani) mwaka 2015/16, mechi inaweza kuchezwa kwenye Uwanja wenye nyasi asilia au za kutengeneza ila nyasi za kutengenza lazima ziwe za rangi ya Kijani Uwanja wa kuchezea lazima uwe wa umbo la Msatili ukiwa umewekewa alama za mipaka kwa...
  13. Hivi inakuwaje Tovuti nyingi za Serikali namba zake za simu huwa sio za hapo?

    Nimekuombana na tatizo hili mara kibao sana. Unakuwa na shida flan, unaenda kwenye website husika, unachukua namba ya simu na ukipiga unaambiwa ni namba ya mdada wa kazi sijui wapi huko. Mfano jana nilikuwa nataka namba ya office ya DPP nimeingia kwenye web yao Nimepata namba napiga kumbe ni...
  14. Mbeya: Vijana 11 wakamatwa kwa utapeli wa 'ile pesa tuma kwenye namba hii'

    JESHI la Polisi mkoani Mbeya, linawashikilia vijana 11 wenye umri wa kati ya miaka 20 na 25 kwa tuhuma za kuwatapeli wananchi kupitia Mtandao wa Facebook kwa kutumia majina ya viongozi wa Serikali na wasanii maarufu. Aidha vijana hao wanadaiwa kuwa walikuwa wanashirikiana na mawakala wa...
  15. Huyu afisa namba tisa alievaa miwani ni hatari sana!

    Huyu afsa namba tisa amevaa miwani ni hatari sana!
  16. Kiafya haishauriwi kufanya vitu vifuatavyo mara baada ya kula chakula hasa namba nne ni hatari zaidi kwa maisha yako

    1.Kuvuta sigara Kiafya mara baada ya kula chakula hairuhusiwi kuvuta sigara japo kuwa mvutaji wa siagara hupatwa na hamu kubwa ya kuvuta mara baada ya kula tabia hii huhatarisha afya, hivyo inashauriwa kusubiri angalau kwa masaa kadhaa ndipo uvute endapo ni lazima sana kwani sigara ina miliki...
  17. Mchepuko namba D

    Habarini za leo wana MMU, katika utafiti wangu nimegundua kuwa kuwa michepuko namba D ( mabinti waliozaliwa 1998-2002)wanachangamoto zifuatazo 1. Wana tamaa ya pesa , Kuna tofauti ya kupenda pesa na kuwa na tamaa ya pesa 2. Wana tamaa ya maisha mazuri bila kujua maisha mazuri ni process ya muda...
  18. Kwa matokeo haya labda Yanga tukagombee namba za NIDA

    Najuaaa tunapopitia sihaba kuamini akuna kipya mbeleni. Kwa matokeo haya tukapange tu foleni pale Kawe tugombanie namba za NIDA. Sioni tunachoshindania mpaka sasa ajabuu unakaa bar kula unaonaa kundi la watu linaingia kuangalia Yanga as if wanagombani kakombe fulani.
  19. Tangu pesa kwa njia ya simu ianze kuna aliyepewa namba isiyo sahihi?

    Siku hizi watu wako makini katika kutoa namba za simu. Ukitoa namba yenye makosa unaweza kupishana na lorry la mshahara. Enzi zile mtu akikuomba namba kama hutaki juzoeana nae unatunga namba kichwani. Mambo yamebadilika unaweza kukosa Tigo pesa, sikuhizi unahakikisha amekupigia kabla hamjaachana.
  20. Kuna mtu alipost ana nyumba mbili za kupangisha Chanika na moja Banana naomba namba yako

    Kuna mtu alipost tangazo kuwa ana nyumba mbili Chanika na moja banana ilikuwa kama week mbili nyuma. Nahitaji namba yako nimetafuta thread sijaipata.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…