namba

Namba (難波, Nanba, IPA: [namba]) is a district of Osaka, Japan. It is located in Chūō and Naniwa wards. Namba is regarded as the center of so-called Minami ("South") area of Osaka. Its name is one of variations on the former name of Osaka, Naniwa. Namba is best known as the city's main south-central railway terminus: JR, Kintetsu, Nankai, Hanshin, and three Osaka Metro subway lines have stations there.
Some of the most famous images of Osaka, including the Glico Man and the Kani Doraku Crab, are located around the Dōtonbori canal in Namba. Namba is also known as an entertainment district, and hosts many of the city's most popular bars, restaurants, nightclubs, arcades, and pachinko parlors. The area is also known for shopping, with the Takashimaya department store (for older styles) and the sprawling underground Namba City shopping mall (for newer styles).
Namba Parks is a new development consisting of a high office building, called "Parks Tower," and a 120-tenant shopping mall with rooftop garden. Various kinds of restaurants (Japanese, Korean, Italian, etc.) are located on the 6th floor, and shops on the 2nd to 5th floors. Parks Garden features enough greenery to help visitors forget that they’re in the middle of the city. There is also an amphitheater for live shows, as well as space for small personal vegetable gardens and wagon shops.
Namba was once the city of adult deliquents.Now,namba gathers some of the young deliquents.
There are sex trade shops and discos,but namba is also the pub restaurants city.
The namba's amusing commerce culture gathers many people.
canals in osaka created the commere culture.namba was near the center of osaka in Edo.
namba is also the center of owarai culture.
NMB48 bases in Namba.

View More On Wikipedia.org
  1. Uhakiki: Nimehitimu darasa la saba 1992 Nitapaje namba yangu ya mtihani?

    Kuna fomu za uhakiki wa watumishi zikidai kuwekwa namba ya mtihani wa darasa la saba, Enzi hizo 1. Hakukuwa na Google 2. Tulikuwa tukiambiwa tu kwamba umefeli au umefaulu haupewi matokeo yako kamili Nauliza wanajamvi mtusaidie je nakala ya matokeo yanaweza kuwa wapi?
  2. Tanzania namba 4 kwa uzuri duniani(4th beautiful country in the world).

    Ripoti iliyotolewa inaonesha Tz ni namba 4 kwa uzuri duniani. Nchi ya kwanza ni Indonesia, ikifuatiwa na New Zealand, Colombia na Mexico. Kenya wameingia kumi bora pia kwa kushika namba 6. https://nairobinews.nation.co.ke/kenya-ranked-sixth-beautiful-country-in-the-world/
  3. R

    Namba ya NIDA ufafanuzi

    19XX-AXAY-BBCDE-0000X-YY ufafanuzi: 19XX=mwaka wa kuzaliwa AX= mwezi wa kuzaliwa AY= tarehe ya kuzaliwa BBCDE=post code ya kata ulikojiandikishia 0000X= ni nini? YY= ni nini?
  4. Maelekezo toka TANESCO ya namna ya kuondoa Error 77 kwenye mita zinazoanza na namba 2421.

    https://t.co/DCXZzvg2Pu
  5. C

    Msaada pikipiki yangu ya san lg inashida

    Wakuu nisaidie nina pikipiki ya san lg nilinunua kwa mtu(used) kila nikiwasha inawaka ila kila ninapoingiza gia namba moja au mbili inazima msaada nini tatizo
  6. Naomba msaada au ushauri kwa haya yanayonisibu

    Mimi ni kijana wa miaka 33 sina mke wala mtoto mpaka dakika hii na kila jambo ninalopanga linayeyuka na sio kwa mahusiano tu hadi mipango yote ya kimaisha. Kwa kweli naumia sana tafadhali naombeni ushauri wenu wa aina yoyote ule.
  7. Kenya namba tatu Afrika kwenye utayari wa Artificial Intelligence, wabongo hawapo kwenye kumi bora, wenzetu jameni

    Haya madude ya kutumia ubongo huwa tunatusua balaa, tupo nyuma ya Afrika kusini na Mauritius pekee, wengine wote saizi yetu tumepitia juu kwa juu.... Hata Nigeria na Ghana tumetupa kuleeee. Watani ambao hukesha huku wakilia lia kuhusu Kenya naona hata kwenye kumi bora hawapo, wameshindwa hata na...
  8. K

    Upo uwezekano waliofanya mauaji Mtwara awajapelekwa Mahakamani, mbona hakuna picha zao wakiwa Mahakamani? Mwenye ushahidi wa picha au kesi namba atupe

    Kesi ya mauaji hasa katika mazingira ya kile kilichotokea Mtwara tulitegemea vyombo vya habari viwe na picha za kufikishwa Mahakamani na kufunguliwa mashtaka wahusika lakini Hadi Leo tofauti na taarifa ya RPC hakuna uthibitisho mwingine wa independent part katika kesi hii. Je angekuwa raia wa...
  9. Naombeni ushauri msichana wa kizungu tuliye kutana nae mtandaoni ananipenda na anataka taarifa zangu kama namba lakini naogopa nifanyaje?

    Habari zenu wadau Wadau naomba mnishauri kitu kimoja nina mwanamke ambae tumezoeana sana yeye ni mzungu wa anaishi Marekani baada yakuzoeana kunawakati sasa ananisumbua anataka tubadilishane namba za simu na anataka siku moja aje Tanzania maana anasema nisehemu mzuri ya kitalii. Sasa tatizo...
  10. Umoja wa mataifa na namba 666

    Katika picha hapo juu unaweza kuona umuhimu wa kujua asili ya namba 666 na kwa nininamba hiyo inatumiwa na viongozi wakuu wa umoja wa mataifa. Kwa kifupi kwenye picha hiyo wapo watu 6 wakiongoza mkutano wa umoja wa mataifa na nyuma yao kuna kitambaa kilichoandikwa ‘United Nations 666’ kumaanisha...
  11. Taratibu za kampuni kupata namba ya lipa kwa Mpesa/tigo pesa

    Habari wakuu. Nipo mbali na ofisi za hii mitandao. Naomba kujua taratibu za kampuni kupata namba za lipa kwa mpesa/tigopesa. Natanguliza shukrani.
  12. Namba ya kuripoti RUSHWA TRA

    Wananzengo mambo ya rushwa TRA mi naona yamekua kero sana, nmeambiwa kuna namba ya kutoa taarifa kuhusu RUSHWA katika ofisi za TRA ambayo ni 0689-122 515 na WhatsApp yao ni hii 0744-233 333 kwanini tusichomoe betri kwa Maofisa wenye tamaa wanaotaka kutukamua sisi walipakodi wakati wao wana...
  13. Wadada, kwa nini mnatupatia namba feki?

    Nimekuwa napenda sana kuwa kwenye mahusiano na wadada waliofungashia, kiuno nyugwi na sura ya kuvutia; kitu kinachonifanya nikutanapo na yeyote mwenye sifa hizo, najikuta mwili wote unalegea na kukosa amani, na kunilazimu kunadi sera zangu kwake. Kuna siku nilikuwa Dodoma; ile asubuhi tu...
  14. Ukweli kuhusu namba 666 (Nero Caesar)

    Wapenzi wasomaji wangu leo ninaendelea na kufumbua macho watu. Mwenye macho haambiwi tanzama, na mwenye akili zake ataweza kung'amua na kuelewa ukweli wa mambo. Leo katika bandiko langu hili nitajikita kuongelea suala la alama ya 666 kama ilivyoandikwa katika kitabu cha ufunuo 13:18 Hapa...
  15. Car4Sale Ist namba DBH kwa milioni 7 tu

    Bei ya kulenga kabisa hii chombo haina tatizo lolote. ipo mawasiliano, Dar. njoo ukague gari 0713096076 CHANGAMOTO ZAKE Imepauka Rangi Bampa linahitaji marekebisho kidogo, like 40,000 Tshs. Picha ninazo hizi tu
  16. Tanzania kinara wa Utalii Afrika 2022

    TheGrio ya Marekani waitaja nchi ya Tanzania kuwa miongoni mwanchi tano zinazofaa zaidi kwa utalii 2022 barani Africa wakati wa kipindi cha baridi, TheGrio, Chaneli maarufu zaidi nchi Marekani wakitumia Mbuga ya Serengeti, bichi mbalimbali visiwani Zanzibar na makumbusho...
  17. John Mmbaga na hekima ya siri ya namba 40

  18. T

    Rais Samia kuwasifia waliomporomoshea matusi Ndugai, anashuka Kitonga kwa gia namba 5

    Tumewasikiliza wahuni wale hawakujibu hoja ya Ndugai, Wala mama hajajibu hoja. Alichofanya ni kuongezea matusi mengine. Washauri wa Ndugai wangemwambia akae kimya Wala asimtafute mama azungumze naye faragha. Wahuni wengine watakuwa wanaendelea kumtenga mama na Ndugai. Hii tabia ya kusikiliza...
  19. Kwanini jezi namba 9 huwa haivaliwi Simba?

    Ni miaka kwa miaka jezi namba 9 haivaliwi hapo Simba kwanini?
  20. T

    Mwenye RAV 4 J namba D rangi bluu,kijani au silva kwa bajeti ya 9m anipm haraka tumalize biashara

    Nahitaji rav 4 J yenye rangi twajwa hapo juu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…