namba ya simu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. papag

    Hapa naweza kufahamu namba ya simu?

    Habari wakuu? Je naweza kufahamu namba ya simu kwa kutumia hizi namba ? Ahsante
  2. DuaZaMama

    CHADEMA: Namba ya simu ya Brenda Rupia iliyokuwa ikitumika kuchangisha michango imefungiwa na kampuni ya Airtel

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinauarifu umma kuwa namba ya simu ya Mrugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chadema, Mhe. Brenda Rupia 0789160733, iliyokuwa ikitumika kuchangisha michango kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya kuzaliwa kwa chama, imefungiwa na kampuni ya Airtel Tanzania...
  3. H

    Toa namba ya simu inayokuwa na salio muda wote siyo unampigia au unamjibu mtu kwa namba yako ambayo hujampa

    Hi ni tabia inayokera sana mtu anakupa namba ya simu ambayo anajua kabisa haina salio unawasiliana naye kupia namba hiyo badae yeye anakujibu au anakubip kwa namba tofauti kabisa,huo ni ushenzi uliopitiza kama vi toa namba zote basi ulizosajiri ili mtu aku-save ili ukipiga akutambue!!
  4. I

    SIM Swapping Wizi wa Namba ya Simu Bila Kuibiwa Simu Na Jinsi ya Kujilinda

    SIM Swapping Wizi wa Namba ya Simu Bila Kuibiwa Simu Na Jinsi ya Kujilinda Katika dunia ya sasa ya kidigitali, namba yako ya simu imekuwa “kitambulisho” chako mtandaoni. Inatumika kuthibitisha miamala ya benki, kufungua WhatsApp, kusahihisha nenosiri kwenye akaunti zako, na hata kupata huduma...
  5. Moto wa volcano

    Kuna faida ya kuwa na namba ya simu isiyojulikana kwa ndugu na marafiki, iwe special kwa kazi na biashara?

    Kuna faida ya kuwa na namba ya simu isiyojulikana na Marafiki / ndugu . Ni special kwa watu wako wa kazi tu. Kuna muda unaombwa hela hadi unaogopa kupokea simu. Au wengine wanakushirikisha shida zao kumbe na wewe unazo za kwako
  6. Surgical Gloves

    Girlfriend wangu anatoa sana namba yake ya simu kwa wanaume wengi

    Natumai mko wazima wa afya njema, na kwa wale wenye changamoto za kiafya MUNGU awafanyie wepesi mpone haraka na kuendelea na majukumu yenu ya kila siku.🙏 Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa 25 now na ni mwenyeji wa mkoa wa mbeya kyela,ila kwa sasa niko Dar es salaam kimasomo(naomba...
  7. World light

    Ombi maalumu: Tafadhali mwenye mawasiliano na Mjumbe yoyote aliyeteuliwa na Rais kupitia Upya misururu ya Kodi TRA anifikishie ujumbe huu muhimu

    Ukinunua dai Risiti, Ukiuza toa Risiti. Mhe Mjumbe habari, Kwanza, natumia jukwaa hili kukupongeza wewe binafsi pamoja na wenzako wote kwa kuaminiwa na kuchaguliwa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa wajumbe wa Kamati hii maalum ya kusikiliza sauti za wasiokuwa na sauti juu...
  8. M

    DOKEZO Ufisadi wa kutisha ndani ya CHADEMA: Namba ya simu iliyokuwa ikitumika kukusanya pesa za “Join the Chain” siyo ya Chama!

    Aisee, nani angeweza kujua kuwa ndani ya CHADEMA kuna ujambazi wa kutisha wa fedha za wanachama na wananchi. Hiki kinyang'anyiro cha kugombea uenyekiti wa chama umeibua mambo mazito na kukianika wazi hiki chama kuwa ndani yake kuna mijizi kwelikweli. Leo katika press conference ya Lema...
  9. snipa

    Jinsi vyombo vya usalama vinavyoweza soma email zako kwa kutumia Namba ya simu kama security uliyoweka kwenye email yako

    Imezoeleka Kwa wengi kutumia Namba ya simu kama 2FA. Sasa tukija kuangalia usalama kawaida Huwa ni ndogo kwasabu zifuatazo. Email inbox na outbox hazijifuti kama ilivyo kwenye WhatsApp. Vyombo vya usalama vinaweza kupewa access ya jumbe fupi au calls unazotumiwa kwenye namba Yako ya simu...
  10. Los santos

    KERO Kufungia line za simu/ kublock sms yenye namba ya simu ndani yake au sms yenye kiwango cha fedha ndani yake

    Aisee nakereka sana na upuuzi wao wa kufungia line yani miezi mitatu tu unakuta line yako kapewa mtu mwingine Yani kwenye dunia hii ya leo yenye maendeleo kadha wa kadha ambapo mtu anaweza kwenda kenya, Uganda, sudan,America, Europe au hata south africa akakaa miezi kadhaa kama 5 anarudi...
  11. shuka chini

    Alininyima namba yake ya simu ila anataka nimnunulie soda

    Habari wadau. Wanawake sijui akili zao huwa wanazipeleka wapi . Ipo hivi kutokana na mimi kuwa mpenzi wa mpira.Sasa nimekuwa na kawaida ya kwenda ukumbi fulani ambapo kuna baa hapohapo. Nikifika hapo naagiza zangu soda nacheki mpira huku nakunywa taratibu soda maana mimi sio mtumiaji wa pombe...
  12. otimbiotimbi

    Tetesi: Kuna chuo fulani hapa Dar es Salaam kikubwa tu wameweka namba yangu ya simu kwenye matangazo yao ya biashara

    Kuna chuo fulani hapa dar kikubwa tu wameweka namba yangu ya simu kwenye matangazo yao ya biashara ya chuo hicho namimi sifanyi kazi wala sijawahi kusoma kwenye chuo hicho! Sasa kifupi imekuwa ni kero mno kwangu kupokea simu za wateja wao wanaotaka kujiunga na chuo chao Kisheria imekaaje hii...
  13. ERTUGRUL BEY

    Shida inaanzia kwenye namba ya Simu

    Siku hizi hatuviziani tena njiani kama zamani,maana huko way back ilikuwa kipengele kweli,ukimtaka mrembo ni full misele kitaani kwao,,nakumbuka class mate wangu mmoja tulikuwa tunakaa nae kitaa pale Upanga seaview. Alinambia unamuona flan ambaye nae ni classmate wetu pia,anakuja kuja huku ujue...
  14. Money Penny

    Namba ya simu ya mpenzi wangu haipatikani, nifanyaje?

    Mhanga: Ni mapenzi ya mwezi 1, yaani tulienda vizuri da penny, sasa sielewi nini mbaya imagine last week ilikuwa birthday yake nikamfanyia bash kubwa tu, nikamnunulia na cheni ya dhababu Money Penny: aisee, dhahabu na hali hii ya uchumi? Mhanga: mtoto mzuri, mzuri sana, yani tulivyozama kwenye...
  15. Brain Kingdom

    Upacha mpyq wa mgao wa namba ya simu na mpango kazi wa maokoto

    Wanawake Mungu anawaona unakuta kadada kana sura na muonekano wa kilokole, thubutu !!! Kachatishe Whatsapp au normal text ndio utajua wanawake ni mashetani yaliojificha kwenye miili ya watu. Sasa msitulaumu tukiwanyanndua na kusepa nina hasira kuna pisi nilikuwa na mpango wa kukaa yenyewe...
  16. P

    Bolt kwanini hamna namba ya huduma kwa wateja? Mtu una dharura kupata msaada mpaka usubiri majibu Instagram, kweli?

    Wakuu kwema? Twende moja kwa moja kwenye mada. Huduma ya Bolt ukititokea unataka kuwasiliana nao labda umepoteza kitu au una malalamiko kwenye huduma yao, hakuna chaguo la kuwapata moja kwa moja kwa njia ya simu kwanini? Wanakimbia nini? Yaani wameweka njia ya kuwasiliana nao kwa njia ya email...
  17. Expensive life

    Kuna wanawake ukiwaomba namba ya simu wanamajibu mabaya sana

    Dada zetu mbona mnatutenga sana sisi tusio na kitu? Sasa upwiru tutaupeleka wapi jamani? Unakutana na mdada mzuri umevutiwa nae, kutokana na haraka alizonazo unaona bora niombe namba ya simu tutayajenga baada, majibu yake sasa.😀😀
  18. M

    HESLB. Malalamiko kuhusu kubadilisha namba ya simu

    Habari Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili katika chuo Cha utumishi wa umma (TPSC). Mimi ni mnufaika wa mkopo kwa bahati mbaya namba yangu ya simu ilikosewa wakati wa usajili, nmefatilia Sana bodi ya mkopo ili nibadilishe namba ya simu imeshindikana naambiwa watafanyia kazi lakin mpk leo Amna...
  19. S

    Mwenye namba ya simu ya mkononi ya receptionist PSRS

    Habarini wadau naomba kwa mwenye namba ya mpokezi pale sekretarieti ya ajira anisaidie Juzi nilikuwa pale nilisahau kuchukua, lengo nataka niwe namwuliza maswala yangu ya ajira. Niliitwa katika taasisi hiyo nipeleke changamoto na malalamiko nilijibiwa vizuri ila tu nilichoona haswa nilipaswa...
  20. Gentlemen_

    Mbinu za kuchukua namba ya Simu katika Mazingira Magumu

    Wazee wa kupambania Kombe Huwa mnatumia Njia gani kuomba/kuchukua namba za simu katika Mazingira MAGUMU na HATARISHI? Umafia: Part 1> Nilikuwa nipo katika Daladala watu wengi vibaya mno, nikatupia jicho pembeni nikaona KIFAA kimetulia kinachezea simu. Nikajiuliza hapa namba nabebaje? Kuangalia...
Back
Top Bottom