naibu waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Naibu Waziri Mkuu Kibondo: Mbunge Samizi aeleza Bilioni 58 za Rais Samia za miradi

    Zaidi ya shilingi bilioni 58 zimetumika kutekeleza miradi mbali mbali ya maendeleo katika jimbo la Muhambwe. Miradi hiyo ni pamoja na ujenzi wa miundo mbinu ya Barbara, vituo vya afya, maji na ujenzi wa shule za msingi na sekondari. Amebainisha hayo Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma...
  2. D

    JamiiForums Tanzania KERO Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati hii katika katika ya umeme wilaya ya Arumeru mkoani Arusha ni ya nini?

    Huku wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha kuna tatizo kubwa sana la umeme, kwa siku umeme unaweza kukatika hata mara 10 au zaidi. Tatizo ni nini? Nchi sasa hivi haina shida ya umeme, kuna nini huku Arumeru. Mhe. Naibu Waziri Mkuu tunaomba wasaidie wananchi wako. Hii ni hujuma dhidi ya serikali ya...
  3. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Nataka niwape stori za ndani ndani kuhusu kiongozi mmoja nchini

    Mwezi huu Naibu Waziri Mkuu amepata msiba kwake, amefiwa na shemeji yake kijijini kwake Bulangwa, Jimbo la Bukombe ndio msiba umetokea wa Naibu Waziri Mkuu. Kama kawaida, bwana kiongozi akija tunasimamishwa njiani masaa kadha wakadha huku tukisubiri apite huku uzalishaji ukiwa umesimama...
  4. Etwege

    JamiiForums Tanzania Hoja wanazotumia kumwandamana Dotto Biteko hazina mashiko

    Waziri Dotto Biteko ambaye pia ni Naibu Waziri mMkuu ameituliza sana Wizara ya Nishati iliyokuwa imeharibiwa vibaya kwa ufisadi na January Makamba. Foleni za kugombea mafuta hazionekani tena pia upatikanaji wa umeme umeimarika mno. Kama kuwa na Wajomba nje ya nchi ni kosa hata Rais Samia ana...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ili kuongeza ufanisi teua Naibu Waziri Wakuu 3, wape mikataba ya utendaji kazi ya mwaka 1, watakaoshindwa waweke pembeni

    Rais Samia Ili kuongeza ufanisi teua naibu Waziri Wakuu 3, patia mikataba ya utendaji kazi ya mwaka 1, watakaoshindwa weka pembeni Wadau hamjamboni nyote? Huu ni ushauri kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kuteua Manaibu Waziri Wakuu watendaji 3...
  6. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu Biteko: Aliyemkubwa na amfanye mdogo pia apate furaha kazini

    "Siyo sawa, aliyemkubwa na amfanye mdogo pia apate furaha kazini," Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza katika Mkutano wa Kumi na Moja wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania uliofanyika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa 13 wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Mgeni Rasmi ni Dotto Biteko, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati

    Wanabodi, Karibuni,
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu Dkt. Biteko afichua orodha ya matendo ya uhujumu wa miundombinu ya TANESCO

    Hizi hapa Nukuu za Dkt. Biteko akifichua Mtao wa uhujumu miundombinu 1. ’'Tarehe 13 mwezi wa pili mwaka 2024, BAGAMOYO alikamatwa mtu mmoja pale akiwa na Lita 80 za mafuta ya Transfoma, kesi imefunguliwa, maana yake ile Transfoma imekufa mafuta yamesha chukuliwa’’ 2. ‘’Mwezi wa tatu tarehe...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Toka Dotto Biteko ateuliwe kuwa Naibu Waziri Mkuu, amefanya maajabu gani kwenye cheo hicho?

    Wakuu kwema? Wajuvi noamba mtujuze kwenye jambo hili. Toka Biteko ateuliwe kuwa Naibu Waziri Mkuu amefanya mambo gani mpaka sasa kulingana na nafasi yake hiyo? Huu mshahara tunaomlipa kutoka mifukoni mwetu kama Naibu Waziri Mkuu anaula kutokana na kazi gani alizofanya mpaka sasa? Anautendea...
  10. Mateso chakubanga

    JamiiForums Tanzania Nashauri Naibu Waziri Mkuu atenguliwe na nafasi hiyo ifutwe kwa maslahi ya Taifa

    Habari, wanajamvi kutokana kutokua na tija na ufanisi kwa nafasi ya Naibu Waziri Mkuu , ninamshauri Mh Rais atengue nafasi ya Naibu Waziri Mkuu na kwa mamlaka yake na katiba nafasi hiyo ifutwe kabisa na vyombo vya dola vielekezo macho yao katika mipaka hasa nchi jirani mpaka kama Rusumo...
  11. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania Masikini? Masaa mawili tunamsubiri Naibu Waziri Mkuu Biteko apite

    Salaam Wakuu, Tangu nizaliwe, nilikuwa nasikia Viongozi wanaleta Foleni. Nipo huku Shinyanga, tumesimamishwa masaa mawili sasa tukisubiri Dotto Biteko apite. Ng'ombe wangu watafika mnadani saa ngapi? Hasara tayari. Mikopo ya Vikoba itanitoa roho. Viongizi wa Tanzania jitafakarini
  12. JF Member

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa Naibu Waziri Mkuu: Upatikanaji wa Umeme na Mafuta vimeimarika sana

    Hakika naona utendaji kazi mzuri sana. Huna kelele lakini hupumziki na kazi zako zinaeleweka. 1. Hapo nyuma kukatika kwa umeme kulikuwa hakuna formula, sasa hivi angalau - japo kaza tena ili mambo yaende. 2. Hapo nyuma upatikanani wa mafuta ulikuwa wakusua sua. Na bei zilikuwa zinapanda...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais wa Uganda, Museveni akutana na Naibu Waziri Mkuu, Doto Biteko

    Rais wa Jamhuri ya Uganda, Yoweri Kaguta Museveni amekutana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko Ikulu ya Entebbe nchini humo ili kupokea salamu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kufuatia Sherehe za Miaka 61 ya Uhuru wa Nchi ya Uganda...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Tunakushukuru Naibu waziri mkuu na waziri wa nishati

    Mhe. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati huna muda mrefu tangu uteuliwe na Mhe. Rais kuwa Waziri wa Nishati. Tunaona mambo mazuri yanakuja mbeleni. Niko hapa Mwanza tulikuwa tunakatiwa umeme tangu saa moja asubuhi mpaka saa moja jioni au tangu saa moja jioni mpaka saa nane usiku lakini leo...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu, Dkt. Biteko Awasha Umeme

    MHE. DKT. BITEKO AWASHA UMEME KIJIJI CHA NTANGA NA KASHARAZI - NGARA ✔️ AENDELEA NA MCHAKAMCHAKA WA KUWASHA UMEME VIJIJINI Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameendelea na ziara yake ya kikazi katika mikoa mbalimbali nchini ambayo imejumuisha kuwasha umeme katika baadhi...
  16. figganigga

    JamiiForums Tanzania Maharage wa TANESCO atimuliwa kwenye kikao cha Waziri Mkuu Majaliwa na Naibu Waziri Mkuu Biteko. Apewa siku tatu

    Boss wa TANESCO atimuliwa kikaoni. Sioni nyota njema kwake. Siku tatu zinamtosha kweli au ndo wanamkomoa baba wa watu? Na Biteko akija kujua dili za Luku atamla kichwa mazima. Kaambiwa nenda kashughulikie Umeme. Alikuwa high Table ametabasamu na furaha zote amekaa kwenye Maonesho yanayoendelea...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Nishati amzuia Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO na wenzake kuhudhuria Mkutano ili washughulikie suala la Umeme

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Mashaka Biteko amesema “Tangu nimeteuliwa nimeelekezwa na viongozi wangu kuwa tufanye kila tunaloweza kuhakikisha mamivu ya mapungufu ya umeme tunayapunguza. “Tunafahamu kuwa ukuaji wa uchumi ni mkubwa kwa watu wetu lakini vyanzo vyetu vya umeme...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu atembelea Mradi wa JNHPP asema ndio suluhisho la upatikanaji umeme wa uhakika Nchini

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Mashaka Biteko amelipongeza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa usimamizi makini na hatua kubwa iliyofikiwa kwenye ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Kufua Umeme la Julius Nyerere (JNHPP) ambao mpaka sasa umefikia Asilimia 91.72. Dkt. Biteko...
  19. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu: Magari ya Serikali yafungwe mfumo wa gesi asilia

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Dotto Biteko ameelekeza utaratibu wa kubadili mifumo ya magari kutumia gesi asilia uanze na magari ya serikali na kuwa vituo zaidi vijengwe ili kupunguza matumizi ya mafuta.
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko ni Turufu Kuu ya Rais Samia katika kupata Kura nyingi za Kanda ya Ziwa

    Kanda ya Ziwa ndiyo yenye Utajiri mkubwa wa Mikoa mingi na yenye Wapiga Kura wengi na ambao Wakiudhiwa na wasipotulizwa wanaweza kufanya Maamuzi yasiyotegemewa katika Sanduku la Kupiga Kura. Baada ya Kugundua Watu wa Kanda ya Ziwa wana Visununu vikubwa Viwili 1. Kuondoka kwa Mtu Wao kuwa na...
Back
Top Bottom