nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke mchepuko ambae anapenda ngono yani very sensitive with high libibo

    Kama umekizi vigezo hivo Kuna uwezokano ukaolewa kabisa kabisa muhimu uwe nasifa hzo, angalau mara 3 Kwa siku itakua vyema. Kama UPO serious njoo pm mbwembwe peleka Kwa ma uncle
  2. JamiiForums Tanzania Nahitaji kuelewa juu ya mafao ya hazina

    Nahitaji kupata uelewa juu ya haya mafao ya hazina. Naomba nipeni elimu. Nahitaji kujua mambo yafuatayo: 1. Mtumishi (mwalimu, daktari, Nurse, TRA, EWURA, TANESCO) aliye staafu analipwaje stahiki zake na hazina 2. Mtumishi (mwalimu, daktari, Nurse, TRA, EWURA, TANESCO) aliye fariki ndugu...
  3. JamiiForums Tanzania NAHITAJI MKE

    Habari wapendwa Naishi Vikindu Pwani Umri 35 Nahitaji mwenza wa maisha Awe na umri 25-35 Ambae yupo tayari tuwe na familia Km yupo anicheki DM Au Whatsapp kwa namba 0694599179.
  4. JamiiForums Tanzania NAHITAJI MKE

    Habari wapendwa Naishi Vikindu Pwani Umri 35 Nahitaji mwenza wa maisha Awe na umri 25-35 Ambae yupo tayari kutafuta wote maisha tuwe na familia Km yupo anicheki DM
  5. JamiiForums Tanzania Nahitaji flash ila naomba kujua ni kampuni gani nzuri

    Habarini waungwana Naomba rejea kwenye kichwa cha habari hapo juu Nahitaji flash ila naomba kujua ni kampuni gani nzuri maana kila siku naishia kuuziwa fake _ flash hata mwezi haifiki tayari ishaanza maluelue mara nyimbo hazisomi mara hakuna saut mambo nimengi wajuzi wahayo mambo msaada plz
  6. W

    JamiiForums Tanzania Nahitaji unlimited internet

    Nawasalimia kwajina la jamhuri Naomba kuuliza ivi sipati W-Fi ambayo ni unlimited kwa wastani wakama 30,000 kwa mwezi..? kama ipo bas naomba msaada wa namna yakuipata maana hizi za 70,000 kwamwezi siziwezi hata ikiwa ni 50,000 kwamwezi sio mbaya
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gari, IST

    Habari za usiku huu. Samahani waungwana, nahitaji ist no d iwe haijarudiwa rangi, iwe kwenye hali nzuri kabisa na isiwe na shida yoyote. Offer yangu ni 8.5m napatikana dar.
  8. JamiiForums Tanzania Maishà magumu Sana wadau nahitaji msaada

    Habari Ndugu zangu naombeni msaada hata ajira, iniweze kunisaidia kiuchumi niongezee kipato, Mimi KIJANA nimeajiliwa sehemu Ilaa mshahara Wangu ni Mdogo Sana na hautoki kwa wakati, inaniliazimwi niingie kwenye madeni Sana, alafu unakuta unategemewa nyumbani Nina watoto bado nauli kwenda ofisini...
  9. JamiiForums Tanzania Nahitaji kuagiza Mazda CX-5, kwa wazoefu naombeni ushauri kwa mambo naenda kuyaelezea

    Amani iwe nanyi nyote Kama mada inavyosema, ni kwamba nahitaji kuagiza gari kutoka Japan, nimependelea kuitaja Mazda CX-5 ya kati ya 2013 - 2014 kwa sababu nimeona mwonekano wake ni mzuri ila sijui kuhusu uimara na upatikanaji wa spea zake Naomba ushauri kwa wazoefu, je ni gari ya kununua ama...
  10. JamiiForums Tanzania Nahitaji Series ya THE OVAL uanzia season 03 tafadhali

    Hii series nimeipendea confor ya Mr President. ila pia malezi yawatoto mwenye nayo naomba usiku huu huuu Tyler Perry's The Oval - Season 3 hii link sio rafiki
  11. JamiiForums Tanzania Dunia inaniadhibu, nahitaji kuchukua maamuzi magumu

    Ndugu zangu naandika hapa nikiwa siko sawa mtanisamehe. Mm ni mfanya biashara (wakala) WA huduma za kifedha mpaka kufikia mwaka Jana mwezi WA 3 nilikua na mtaji usipungua milion 5. Ndani ya mwezi mmoja pesa ikaanza kupukutika, nyumba ambayo ni ni flem tulipo weka biashara zetu iliuzwa Kwa mtu...
  12. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Vatican TZ upo wapi? Nahitaji kusaini kitabu cha maombolezo

    Mwenye kujua Ubalozi wa Vatican ulipo ili nikasaini kitabu cha maombolezo hapo ubalozini. Regards, Mlei, Kigango cha Mtakatifu Kizito, Majimatitu.
  13. JamiiForums Tanzania Mimi ni mwanaume nahitaji mwanamke matured

    Hello, How are you guys, kama kichwa cha habari kilivyo jieleza, mimi ni mwanaume mwenye sifa zifuatazo 1. Mrefu mweusi 2. Umri wangu 30 3. Graduate, Christian 4. Muajiliwa/ nimejiajiri pia ,wala sivuti sigara, wala siendi club 5. Ninaishi Dar es salaam Sifa za mwanamke nimtakaye 1. Uwe...
  14. JamiiForums Tanzania Nahitaji passport ya kusafiria haraka iwezekanavyo

    Wakuu wasalaamu!! Kama kichwa kinavyojieleza nimepata safari ya haraka sana, sasa nimepitia nyuzi mbalimbali kuhusu kuchelewa kwa passport na usumbufu uliopo uhamiaji hasa ukiwa mkoani. Ipo hivi nilianza kufatilia passport mwanzoni mwa mwezi wa 3 nikiwa mkoa A lakini cha ajabu nilikuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi, fani yangu ni fundi mitambo (mechanical technician)

    Nahitaji kazi, fani yangu ni fundi mitambo (mechanical technician) -> Naishi Dar es salaam -> mawasiliano: inbox
  16. JamiiForums Tanzania Nahitaji mke wa kuoa

    Habari kwenye jukwaa hili, natumai mu wazima wa afya. Mimi ni mtu ambaye niko busy na mara nyingi nashinda kwenye Computer kutokana na fani yangu ni IT. Sipati muda mwingi wa kutoka hivyo imekuwa ngumu kupata mwenzi wa maisha. Baada ya kuachana na partner wangu mwanzoni mwa mwaka huu nimekuwa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanangu aende kuitikisa Talent Show tutayohudhuria wazazi, Aimbe wimbo gani wa kiingereza Hiphop usio na matusi tuanze mazoezi ?

    Nina mtoto wa kiume yupo darasa la 6, Nimepewa barua kuna Talent show itafanyika shule zitapofungwa mwezi wa sita, Shule imetuasa wazazi tuwasaidie watoto kushiriki. Kitu anachokiweza zaidi ni kuimba Nimejaribu kumpa mkwaju wa kihenga kama I know i can - Nas, kabaki kunishangaa na akaniuliza...
  18. JamiiForums Tanzania Wakuu nahitaji kujua bei ya pikipiki Boxer BM 150 HD

    Kwa mlioko dar es Salaam naombeni mnisaidie kufahamu bei ya hizi pikipiki mpya hasa BM 150 HD ile ambao mud guard yake ya mbele haijanyanyuka
  19. JamiiForums Tanzania NAHITAJI KUUZA MAYAI NAOMBA MWONGOZO.

    Wanajukwaa habari ya jumamosi. Naombeni wenye uzoefu wa KUUZA MAYAI mnipe uzoefu nataka kuanza na mtaji wa 2M niwe na flem naombeni changamoto zake pia bei ya kununua sokoni na KUUZA
  20. JamiiForums Tanzania Nahitaji mume miaka 40-70

    Assalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh. Kwa jina naitwa Aziza Ramadhan Abdallah, nahitaji mume miaka 40-70 ambaye anajua wajibu na majukumu yake kwa mwanamke wake, familia yake. Nicheki WhatsApp kwa ajili ya maongezi zaidi. 0711297086.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…