nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Nahitaji mwenza wa Maisha (mwanaume)

    Mimi ni binti wa miaka 30, muislamu, naishi Dar es Salaam, ni mwajiriwa wa sekta binafsi na ni mama wa mtoto mmoja nipo single nahitaji mwenza wa maisha ikiwa heri tuishi pamoja. Sifa za mwenzi ninayemtaka 1. Awe na umri kuanzia miaka 32 na kuendelea. 2. Dini yoyote ila akiwa muislamu...
  2. M

    Nahitaji Lollipop Mold

    Mimi ni mjasiliamali naomba kusaidiwa mwenye kujua mahala ambapo naweza kupata wauzaji wa lollipops mold zinatumika kutengeneza pipi za vijiti.
  3. K

    Nahitaji kuwekeza Tsh. Milioni 170

    Za jioni wadau, Naomba mchango wa mawazo yenu, nikiwa na milioni 170 za kitanzania naweza wekeza wapi pesa hii nikapata rejesho lenye tija? Kwangu mimi rejesho lenye tija ni angalau milioni 2 kwa mwezi. Natanguliza shukrani.
  4. P

    Natafuta mchumba/mume

    Nahitaji mume/mchumba mwenye malengo, awe Morogoro au Dodoma, awe Mkristo, awe na kazi au biashara yenye uhakika wa kipato. Mimi ni muajiriwa - private, I'm black beauty, loving and charming + hardworking, miaka 31. Nipo Morogoro, I'm 163 tall. aliyetayari ani PM Update: Mungu ni mwema sana.
  5. Nahitaji ushauri kwa mtaji wa 40 milionI

    Habari za muda huu, Mimi ni kijana wa miaka 20, hivi karibuni ninatarajia kupokea 40mil, je ni biashara gani ya uhakika naweza kuifanya yenye pesa. Mimi binafsi sipendelei maduka kabisa wala sifikirii, Ila nilikuwa nawaza kununua coaster hata kama used kwa mtu, nimpe mtu afanyie kazi kwa siku...
  6. Nahitaji turubai ngumu

    Habari wadau Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nahitaji turubali ngumu kama zile zinazofunikia mizigo katika malori makubwa , sihitaji mpya ila itakayopatikana iwe nzima isivuje, hata kama itakuwa ina michoro , picha au matangazo ilimradi iwe ngumu . Mwenye nayo tafadhali tuwasiliane PM
  7. Nahitaji ushauri wa kisheria?

    Mke wangu alifariki baada ya kilio masheji zangu wamekatalia kwangu hawataki kuondoka kuwatoa kwa nguvu naambiwa sheria inanibana. Je, kisheria nahitajika kufanyaje waondoke? Matumizi yote ya kimsingi yanayoka kwangu.
  8. Nahitaji freezer used.

    Salama wandugu......nahitaji freezer used Yale ya biashara...njoo na ofa Yako tufanye biashara Leo Leo.
  9. Nahitaji LOGO ya Biashara, Motion na Logo ya kawaida Wakufunzi wa After Effect naomba mnisaidie

    Biashara yangu ina Jina lakini haina Logo nimekua nikiwaza kuhusu hili muda mrefu lakini sikua nalipa kipaumbele sana ila sasa naona linaelekea kuni cost huko mbeleni. Sina pesa wakuu naommba yeyote ataechukua MUDA wake kunipa design nzuri ya LOGO zile za motion kama maandishi ya ITV...
  10. Nahitaji wahudumu mabinti warembo watatu(3) wenye uzoefu wa utengenezaji wa fresh juice aina zote

    Habari wanajamii... Natoa fursa kwa mabinti warembo watatu(3) wenye uzoefu wa utengenezaji wa fresh juice aina zote kwa kiwango cha juu na wanaozingatia usafi sana. Eneo ni Bar maarufu iliyopo Dar Es Salaam, maeneo ya Tabata inafahamika kwa jina BARACUDA BAR & LOUNGE. Malipo ya kazi nalipa...
  11. Kwa msukumo wa POMBE kajikuta kamropokea mkewe kuwa anachepuka na Rafiki wa mkewe, mkewe kanitafuta, Shemu nahitaji kesho unikule kisawasawa!!

    Huyu Jamaa ni Jamaangu , ni Mpiga pombe sana. Sasa ana Mke na watoto. Mke wake ana rafiki yake ( shosti) kindaki ndaki wa kusindikizana mpaka saluni. Kumbe jamaa alimzunguka mkewe akawa anakula Shost wa mkewe ( Shem). Sasa Jamaa Jana alikua kalewa pombe, wamegombana na mkewe, mwisho jamaa...
  12. L

    Nahitaji mchungaji mwenye upako/ miujiza ya kutosha mahali nitaona matokeo

    Nahitaji mtu mwenye sifa tajwa,Kwa ajili ya kupata ufumbuzi wa changamoto zangu. Ni vizuri asiwe mwamposa Wala kuhani musa Wala manabii uchwara. Natanguliza shukrani zangu za dhati
  13. Nahitaji Dereva wa Pulling na Semi-trailer

    Habari wakuu, Nina vacant position za madereva wa Pulling na Semi-Trailer. Gari zinafanya local trips na base ya kampuni ni Dar es salaam. Kama wewe ni dereva au unamfahamu dereva mzuri, please ni PM CV yake na number yake ya simu. Kigezo kingine cha kupewa kazi ni kuwa na mdhamini...
  14. K

    Nahitaji kupigwa brashi kwenye Microsoft Word, Excel na Email

    Ndugu wanajamii nimepata mchongo la saba mimi ambao unahitaji niwe vizuri kwenye hayo niliyoyataja hapo.sina komputa ya kusema nitajifunzia ndo maana natafuta mtu ambaye anadesktop anipige msasa kiasi. Nipo Mwanza na siku nayoweza kuwa free ni jumapili. Malipo tutakubaliana. Karibu PM.
  15. Nahitaji kuangalia Fainal ya UEFA Champions nyumbani kwangu kupitia Laptop.

    Wakuu naomba kujuzwa jinsi nitakavyo faidika kuangalia Uefa nikiwa kitandani na Laptop yangu. Msaada pliz
  16. Nahitaji bag moja la safari kama haya, huko Town/Kariakoo yanauzwa bei gani?

    Wadau, hizi bag nazikubali sana.. naona zitanitoa sana kwenye safari zangu za pale na kule.. So nahitaji kujua begi zake wakuu..
  17. Nahitaji developers watatu (3), mshahara laki 4 kwa mwezi

    Heshima kwenu wakuu! Nahitaji developers watatu (3) wasio na ajira rasmi, kuna kazi watatakiwa kuifanya na baaada ya hapo kutakuwa na ajira rasmi kwao kwaajili ya kukiendesha walichokiunda, ajira rasmi itakuwepo endapo watafanikiwa kukamilisha kazi hiyo ya awali. Wanatakiwa devs 3 wenye ujuzi...
  18. Nahitaji mke wakuu

    Hello getlemen and ladies i'm coming ti you once again for another request but this mostly for only mind girl mostly beutiful girl but even there man or boys who love mteremko it si fine na problem Nakuja kwenu nahitaji mke wowote yuke imradi mke even malaya tutajuana mbele kwa mbele haina...
  19. Nahitaji kupungua Mwili/ Kilo. Naumia sana

    Khabari zenu, Nimekuwa mtu wa kujisikia vibaya sana nikiuangalia mwili wangu. Mimi ni kijana wa miaka 28, nina kilo 93. Nimenenepa sana. Nina kilo nisizozipenda, nimetumia mbinu ya mazoezi Ila nahisi kushindwa cuz ratiba za kujitafutia ridhiki zinabana. Natamani Nipungue nifikie hata kilo 75...
  20. Nahitaji mwanamke

    Habar Kama mada ilokuepo juu nahitaji mwanamke wa kuchat nae
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…