nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. instinct desire

    Nahitaji mwanamke wa kuoa njoo inbox Moja kwa Moja awe Dodoma na viunga vyake

    Husika na kichwa cha habari hapo juu nahitaji mke awe na umri kuanzia 35+ njoo inbox
  2. BarakaMkekusi

    Aliyefanikiwa kutumia dawa za kuongeza uume nahitaji msaada

    Aliyewahi tumia dawa za kuongeza uume na kufanikiwa nahitaji anipe recommendation. Kama hutaki kucomment unaweza kuja PM Kama hujawahi tumia tafadhali achana na hii thread 🤣🤣 Ushauri wa kipuuzi sihitaji. Side effects nazijua kwahyo sitaki comment zakijinga
  3. V

    Nahitaji mwenza

    Mambo vipi wakuu, hivi hii changamoto kuna wengine wanapitia kama mimi, iko hivi ... Kipindi uko na umri mdogo, yaani early &/ mid 20's unakua hujihusishi sana na mapenzi ukitegemea kujitafuta. Ila mwisho wa siku unafika early 30's kama mimi unakuta kupata mwenza wa sifa zako ni ngumu mno...
  4. itagata

    Nahitaji mashine ya kutengeneza sabuni za miche.

    Wadau Salaam! Ninahitaji mashine ya kutengeneza sabuni za miche pamoja na mixer angalau ya lite 200. Mwenye nayo au mwenye uelewa naweza ipata wapi naomba anisaidie kwa kunitumia ujume PM. Asanteni sana.
  5. Noah the lastborn

    Nahitaji muongozo namna ya kulipwa youtube

    Naombeni muongozo wa namna ya kuwa monetized youtube kwa kupost na kucreate content ,nahitaji muongozo kidogo
  6. Kitambi chakufutia tachi

    Nahitaji matajiri wa kuwanunulia korosho.

    Salaam wakuu. Mimi ni kijana umri wangu 28 nipo Mtwara nahitaji mabosi wa kuwanunulia korosho ambazo kwa huku tunaita za kuoka ambazo kwa huku zinanunuliwa kwa Kg 1 Tsh 14000- 16000 malipo juu ya kazi tutaelewana .
  7. R

    Nahitaji mtu wa kinifanyia Config ya DOCKER, PORTAINER, CONTAINERS kama vile Pi hole, Nextcloud, Tailscale-vpn, Media automation kama vile SONAAR n.k

    Nahitaji mtu wa kinifanyia Config ya DOCKER, PORTAINER, CONTAINERS kama vile Pi hole, Nextcloud, Tailscale-vpn, Paperless ngx, Media automation kama vile SONAAR kwenye NAS SERVER. 0715 240140
  8. Chizi Maarifa

    Nahitaji Msaada please, nimebahatika kupata huyu Jidada ila kitendea kazi

    Kuna dawa gani zitaongeza urefu na unene wa mashine? Jana nmebahatika kupata jidada lenye kinu kipana sana na mchi wangu umekuwa mwembamba na mfupi. Je kuna dawa za kuongeza size ambazi hazina madhara? Maana nmelijaribu aaaaargh wapi hatusikizani kabisa. Mimi sisikiii na lenyewe halisikiii...
  9. MakinikiA

    Nataka kununua za kumwagilia mpunga

    Kwa mwenendo huu wa changamoto za maisha huku maporini nahitaji kama 10 zitanisaidia kwenye ukombozi. US$20,000 = 50,000,000tsh
  10. DOM_LEADER

    Nahitaji connection au links za magroup ya WhatsApp yanayohusu technology kuhusu simu, PC na mengineyo kama hayo

    Habari wakuu Kiukweli nahitaji kuongeza uelewa kuhusu mambo mifumo ya sim na mambo ya computer like androids, OS, Linux, bypassing and other like that. Hivo nilipendelea sasa kisaidiwa kupata connection hasa za whatsapp ili kukutana na wataalamu mbalimbali katika group hizo. ASANTENI SANA.🙏🙏🙏
  11. U

    Nahitaji mkopo kwa ajili ya kuboresha shule yangu ya day care

    Habari ndugu wanaJF wenzangu mimi ni mgeni humu ndani. Nimejulishwa jukwaa hili na rafiki yangu wa karibu baada ya kumuelezea changamoto nazopitia katika ofisi yangu. Kiufupi ni kwamba mimi ni msichana umri miaka 25 nimemaliza shahada ya ualimu mwaka juzi. Baada ya kukaa mtaani kwa takrban...
  12. ormystatus

    Nahitaji mdhamini(muwekezaji) kwenye biashara ya samaki, pweza, kamba, ngisi, dagaa wakavu na simbi

    Simu: 079 531 536 9 Nimerudi tena, baada ya andiko la kwanza naona wawekezaji mnakuja na kuondoka. Habari; Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25. Ninahitaji mdhamini kwenye biashara ya mazao ya bahari. Kwasasa nimeanza kufanya hii biashara nikishirikiana na Mama angu mzazi, lakini mimi...
  13. B

    Maisha ya UPWEKE yamenichosha - Nahitaji Mke

    Kichwa cha habari hapo juu cha husika. Maisha ya upweke ymenichosha hivyo nahitaji mwanamke wa kuishi nae maisha ya kumpendeza Mungu. Sifa kubwa awe na uhitaji wa mume kweli na pia awe mwanamke mwenye maono kuhusu maisha na awe mwanamke anayejitambua. On top of that, elimu yake isipungue...
  14. K

    Nahitaji Mkopo kwa dhamana ya gari

    Habari wakuu. Nahitaji mkopo wenye riba kutoka mtu binafsi, nitaweka gari kama dhamana. Mkopo kwa muda wa miezi 2. Kwa mawasiliano zaidi tuzungumze
  15. P

    Nahitaji Mawakala wa mauzo Daresalaam

    Hello wakuu,. Nahitaji maafisa mauzo (Mawakala wa mauzo) kwenye bidhaa ya mikopo kwa dhamana ya gari,. Awe ni mchangamfu na mwenye uzoefu kwenye mauzo na kukutana na wateja wapya. Awe anaekaa mkoa wa Dar es salaam. Kwa mawasiliano anaweza tuma CV au kupiga simu 0757962335
  16. mtoto wa kibopa

    nahitaji vifaa vya simu aina ya huawei mate 20 pro viwe used au vipya

    nahitaji vifaa vya huwei used hata kama ni vipya itakuwa sawa tu...vifaa ninavyovi hitaji ni mfuniko wa batri uwe na muonekano kidogo mzuri kama ni used,camera ya mbele na nyuma...au hata ikipatikana hii simu iliyokufa display nitanunua.
  17. Mwanamke wa mithali 31

    Nahitaji kiwanja Dar es Salaam/pembezoni mwa mji kwa ofa ya Tsh 5m

    Nahitaji pembezoni mwa mji au kiluvya
  18. Mtu Asiyejulikana

    Nahitaji msaada wa kisaikolojia nimeathirika

    Kwa kweli nmeathirika sana kisaikolojia. Mwanamke akiwa na tumbo kubwa binafsi nashindwa kabisa kupata hamu ya kufanya naye mapenzi. Hili jambo limeniathiri sana. Kuna dada mmoja nampenda ananipenda mara kadhaa najaribu kufanya naye najikuta natumia nguvu kubwa sana ili nimalize. Inanidi ni...
  19. S

    Nahitaji mbinu ya kupata milioni 2 kabla mwaka haujaisha

    Habari zenu, Mimi ni Kijana wa miaka 23 nipo chuo. Ombi la kuandika uzi huu ni kutaka mbinu nayoweza kuitumia ili kujikusanyia kiasi cha pesa hizo. Sina kazi zaidi ya kuwa mimi ni mwanafunzi tu. Nahitaji pesa, pesa, pesa. NB: Kama una mawazo ya kimaskini usichangie mada hii, na wale...
  20. stan john

    Nahitaji ndoo za plastic

    Habari, Nahitaji ndoo za plastic kwa Bei ya jumla, na naomba kujua viwanda vinavyotengeneza ndoo za plastic Nina uhitaji mkubwa ,asanteni
Back
Top Bottom