nafuu

  1. mkanyikivega

    JamiiForums Tanzania Kukopi Files kutoka HDD/SSD moja kwenda nyingine kwa gharama nafuu sana

    Angalia scenarios zifuatazo 👇: Una Hard disk (HDD) ambayo unatumia kwenye computer lakini unataka ubadilishe utumie Solid state drive (SSD) kwa sababu mbalimbali kama performance, lakini unataka uhamishe kila kitu kilichomo kwenye HDD ya zamani kuanzia OS yenyewe, programu zote na files au...
  2. hery_edson

    JamiiForums Tanzania Karibu tukutengenezee ramani za umeme kwa majengo mbalimbali kwa gharama nafuu

    Habari wana Jamiiforums mimi ni mhandisi umeme upande wa ushauri, kwa yeyote mwenye uhitaji wa kuandaliwa na kutengenezewa michoro ya umeme(lighting with power system) pamoja na mfumo wa vifaa vidhibiti moto (fire detection system), karibu tukuhudumie tunafanya kazi ya kuandaa michoro kwa muda...
  3. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Nataka kujua vyuo vya afya vyenye bei nafuu katika ada

    Habari za siku, nataka kujua vyuo vya afya vinavyotoa elimu ngazi ya degree (DOCTOR OF MEDICINE) vyenye ada nafuu ukiachana na 1. MUHAS, 2.UDSM, 3. UDOM, 4........., 5........... 6.........
  4. G

    JamiiForums Tanzania Neti za kisasa kwa Bei nafuu

    Lala usingizi mnono kwenye neti nzuri na ya kisasa. Neti 1 yenye ukubwa wa 6*6 na Bomba mbili ngumu kuvunjika. Bei 120000 Dar na mikoani tunatuma. Mawasiliano +255 620 301 071
  5. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Ni uhakika; Menya punje tatu za mpunga ambao haujakauka na kuvunwa, tafuna. Utapata nafuu ya misuli na utajisikia vizuri

    Mpunga ambao upo shambani chuma shina moja, kisha chukua punje tatu tu za chuya ya mpunga, menya maganda kisha tafuna, muda huo huo utajisikilizia hali kubadilika na kujisikia hali ya utulivu ambayo unaweza kuangalia mechi ya mpira bila kuchoka Utafiti huu ni wangu ukitaka kuzalisha na kufungua...
  6. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania BBC: Tanzania kuingia uchumi mdogo wa kati wajipange, misaada na mikopo nafuu yote itakoma na haitapata misaada kama zamani na upendeleo wa kifedha

    Kwa furaha tunayofurahia ndio tujipange kwa sababu maumivu yanayokuja kwa kupanda daraja ni makubwa. 1. Misaada iliyokuwa inapata kama nchi maskini itakatwa 2. Mikopo iliyokuwa inasemwa nafuu itakuwa haipo tena. 3. Mikataba yenye unafuu wa kibiashara itakuwa tofauti ile dhana ya kusaidiwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Guest house za bei nafuu Dar

    Heshima kwenu washikadau Embu kwa wenye uzoefu tutajiane Guest House za bei nafuu kwa hapa Dar hasa maeneo ya Sinza na Manzese na hata maeneo mengine Bei kuanzia 10k,15k au 20k Karibuni
  8. T

    JamiiForums Tanzania Namna ya kujenga hostel ya wanafunzi, nzuri lakini kwa gharama nafuu

    Wakuu, Kuna sehemu vijijini nimeona wanafunzi wa shule ya sekondari (day) wanapata shida sana, tatizo mojawapo nililoliona ni makazi yao ya kupanga kuwa duni. Sasa nikawaza kuwasaidia hawa wanafunzi kwa kujenga hostel simple kwa ajili yao. Plan yangu ni kila mwanafunzi awe na chumba chake --...
  9. genius mvivu

    JamiiForums Tanzania Nauza tiles kwa bei nafuu

    Wewe mtanzania ambaye bado unaendelea na ujenzi jipatie frool tiles kwa bei nafuu ukubwa wa tyles ni 50×50 bei ni 3000 kwa kila moja :mawasiliano ni 0788274721 na utaletewa popite ulipo ndani ya Dar es Salaam
  10. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Viwanja Kibaha mjini vinauzwa bei nafuu

    Kampuni ya Drone Ads inakutangazia wewe unayependa kujenga maeneo jirani na kitovu cha mji, kwamba inauza viwanja 150 vilivyopimwa vilivyopo nyuma ya stendi kuu ya Kibaha, eneo la Pangani kilomita 1.5 toka stend, karibu kabisa na hospital ya wilaya Kibaha. Hivyo huduma zote muhimu zipo...
  11. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Marekani: Afisa wa polisi aliyefutwa kazi Derek Chauvin ashitakiwa kwa mauaji ya George Floyd. Mkewe ataka talaka

    Afisa wa polisi aliyefutwa kazi Minneapolis Derek Chauvin amekamatwa na kufunguliwa mashitaka ya mauaji juu ya kifo cha George Floyd, mwendesha mashitaka wa kaunti ya Hennepin Mike Freeman alisema. Afisa huyo wa zamani alionekana katika video akiikandamiza kwa goti lake shingo ya Floyd kwa...
  12. mamayoyo1

    JamiiForums Tanzania Ufaransa yaipatia Serikali mkopo nafuu kujenga mradi wa maji mjini Morogoro

    Serikali ya Tanzania na Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) zimetiliana saini mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu wa Euro milioni 70, sawa na takriban shilingi za Tanzania bilioni 175.6 kwa ajili ya kugharamia Mradi wa Maji Safi na Usafi wa Mazigira Mjini Morogoro (MORUWASA). Mkataba wa...
  13. I

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba bora za Ghorofani za kupanga za kisasa zinapangishwa Kinondoni

    Nyumba nzuri na zina mvuto na mwonekano mzuri wa kupendeza zikiwa na vyumba viwli vya kulala, jiko, sebule na mahala pa kula. Kodi TZS 750,000 kwa mwezi. Kuziona piga simu au whatsapp +255755312233
  14. D

    JamiiForums Tanzania Onions Suppliers from Tanzania

    Natokea Kenya nataka kuanza biashara ya vitunguu natafuta mtu atakaye nisaidia kupata supplier wa vitunguu kutoka Tanzania kwa bei nafuu. Asante
  15. Huntsman

    JamiiForums Tanzania Agiza spea za Magari ya Ulaya aina zote hapa kwa bei nafuu

    habari wakuu? Ninajihusisha na uagizaji wa Spea za magari ya Ulaya... Kwa muhitaji yeyote anaweza kuni PM au akacomment hapa nitakusanya request kisha nitareply kwa Bei zetu. Bei ni nafuu na spea ni Original Kwa sababu ya changamoto ya mtaji hatuna stock bali tunaagiza moja kwa moja Ulaya kwa...
  16. Fatma Abrahman1

    JamiiForums Tanzania Nawashwa kwenye makalio, yametokea kama mashilingi naombeni ushauri

    Habari zenu jamani, Naombeni msaada mimi nawashwa kwenye makalio na nimefanya kama mashilingi ni mwezi wa 6 sasa nipo na hilo tatizo nmetumia dawa kibao za ngozi za kupaka na kunywa lakini hadi leo hamna nafuu naombeni mnisaidie.
  17. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Kipi ni nafuu kati ya Vinyl wrap na Paint job?

    Wakuu nilivutiwa na idea ya kufanya Vinyl Wrap business about 3 years ago ila sikuendelea na hii plan kutokana na mambo kadhaa yaliokuwa nje ya uwezo wangu. So far nataka kufanya comparison kati ya Vinyl Wraps na Paint job kipi kitakuwa na gharama nafuu zaidi? Kwa wale mliopiga rangi za gari...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Upande upi ni nafuu

    Habari za wakati huu Kutokana mimi ni mwananchi mwenye kipato cha kawaida Naombeni ushauri wenu kuhusu hili,kwa sasa nataka nianze kuweka saving ,Sasa wakuu naombeni kuuliza Hivi unafuu upo wapi kati ya kutunza fedha Benki au Kwenye Mitandao ya Simu kama Mpesa/Tigopesa Uzi tayari
  19. Urban77

    JamiiForums Tanzania Welding machine na grinder machine za Bei nafuu zinahitajika

    Welding machine na grinder machine za Bei nafuu zinahitajika.
  20. J

    JamiiForums Tanzania Vifaa Vya stationery vinauzwa bei nafuu mno

    Habari wakuu, Tunabadili matumizi ya ofisi na kuuza vifaa vya ofisi vifuatavyo 1. Meza mbili za plastic - zote 140,000 (@ 70,000) 2.Viti 3 vya plastic -vyote -30,000 3.laptop ya hp - 300,000 4. Min laptop bytespeed (haikai na chaji,utabadili battery) - 120,000 5.Printer - 60,000 6...
Back
Top Bottom