Lakini si kuna namba zao za simu pale kwenye website kwanini usipige simu direct kwao upate majibu ya uhakika.ukiondoa vyuo vya serikali ivyo vingine hawajaweka ada mkuu
Habari za siku, nataka kujua vyuo vya afya vinavyotoa elimu ngazi ya degree (DOCTOR OF MEDICINE) vyenye ada nafuu ukiachana na 1. MUHAS, 2.UDSM, 3. UDOM, 4........., 5........... 6.........
Nikikumbuka nilikuwa naenda Chuo na begi la nguo tuu aisee...!!
shukrani mkuu ubarikiwe sanaKuna chuo kingine iko Zanzibar kinaitwa SUZA( State University of Zanzibar) campus of Mbweni tution fees inatofautiana course na course lakin Ina range 2M had 4M.
Jaribu hicho hautojuta... Hila Kam una mpunga mrefu Kairuki kitakufaa tution fees 8M bado accommodation, Registration fees, stationery na mengineo
Sorry ukosawa, zamani walikuwa wanaweka ada na pia cut off point za mwaka uliopita. Itabidi ujue vyuo kupitia guide halafu uingie kwenye website zao upate hizo taarifa.hawajaweka ada
Nimejaribu kutafuta sana sana kujua ada zao bila mafanikio yeyote, sasaivi wanaweka cut off point na capacity ya watu wanaowataka tu basiSorry ukosawa, zamani walikuwa wanaweka ada na pia cut off point za mwaka uliopita. Itabidi ujue vyuo kupitia guide halafu uingie kwenye website zao upate hizo taarifa.
ata kwenye website ya vyuo vyao hawajaweka ada kiasi gani mkuu
Tafuta guidebook za TCU miaka ya nyuma kuanzia 2015 kushuka chini,hizo zilikuwa zinaonyesha fees kwa kila course.hakuna kitu icho ndugu
Mkuu samahani, Kwenye Avatar huyo ni wewe!? Na hilo lote lako au umebeba na la jilani, afu hujawahi kusababisha ajari hata kwa mbalii hv!?Kairuki 6.9M, Cuhas 4.3M , KCMUco 3.8M, St. Francis 4.3M lakini ada ya vyuo hubadilika kutokana na mwaka wa masomo inaweza kuwa zaidi ama pungufu ya hapo kikubwa hiyo ni kama avarage na hapo sijaongeza direct cost unazolipa kwa chuo km TCU, NHIF, Hostel, examination fee na mengineyo kikubwa tembelea vyuo husika karibu medicine,,,,,,,,,, kila la kheri