nafuu

  1. H

    Amazon Firestick lite, tv box original kwa bei nafuu

    Umechoshwa na Tv box za kichina ambazo zipo slow, ngumu kutumia na hazina features nyingi? Karibu kwenye ulimwengu mpya wa Android kwenye Tv yako kwa kutumia Fire stick. Fire stick ni tv Box ambayo inaweza kubadili tv yoyote ambayo sio smart kuwa smart, pia wale wenye smart tv wanaweza kuitumia...
  2. Car4Sale Suzuki Swift Bx inauzwa bei nafuu

    Habari jf Suzuki swift bx iko sokoni, magomeni Dar Transmission: Automatic Engine; Petrol, cc 1300 Milleage: 110,000kms Year made: 2000 Bei 4 million Piga simu 0744033555
  3. H

    Jipatie SSD kwa ajili ya laptop na desktop yao kwa bei nafuu

    nauza SSD mpya zenye ukubwa wa GB 240 kwa ajili ya laptop na desktop, SSD hizi ni brand ya kingston (A400) unafungua mwenyewe zipo sealed na hazijawahi kutumika. hii model imetoka amazon na sasa hivi ndio ssd inayouzika kwa sana Duniani, kwa wale wanaotaka kuhama toka HDD. unaweza kuiangalia...
  4. D

    Mchele safi toka kyela unapatikana kwa bei nafuu

    Ewe mkazi wa Dar es salaam karbu tukuhudumie Mchele safi toka kyela. Tutakuletea mchele popote ndani ya Dar es salaam kwa bei 1400/Kg hapo ni pamoja na gharama za usafiri. Kwa mawasiliano zaidi tutumie ujumbe kwa wasap au kutupgia kupitia 0757160773 Ah karbu kituo chetu cha mauzo kilichopo...
  5. Heavy duty blenders kwa bei nafuu

    Call/WhatsApp 0788622610 Brand new heavyduty commercial blender. Zinaweza kusaga matunda, juice,pilipili nk Zinatengeneza smoothie Zinauwezo wa kufanya kazi mda mrefu Ina jagi lita 2 Ina power watts 2200 Zina warranty miezi 12 Unaipata kwa bei ya 135,000 tu Tupo kkoo Kwa Dar free delivery
  6. Vyama vya Siasa ndio wawakilishi na watetezi wa wanyonge. Fikirieni suala la makazi nafuu mijini

    Vyama vya Siasa ndiyo wawakilishi wa wananchi, ndiyo sauti ya wengi. Katika sera zenu wengi wameongelea Afya ya Jamii, maji, umeme, elimu, kilimo, biashara, nk. Wananchi ambao ni wapiga kura wenu, hasa wanaokaa mijini wengi ni wenye kipato chini ya Tsh 500,000 kwa mwezi. Wengi wako kwenye...
  7. INAUZWA Ofa baab kubwa: T-shirt kali zinauzwa kwa bei nafuu

    Ofa ofa ofa T-shirt kali zinauzwa kwa bei nafuu, bei karibu na bure, Kuanzia 5-10 bei ni Tsh 6900 . 11-30 bei ni Tsh 6600 . 31 + bei ni Tsh 6400 Mkoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa sana Wahi ofa hii mapema kabla mzigo haujaisha Kwa mawasiliano zaidi ## 0715477041
  8. M

    INAUZWA Ninauza vitambaa, mito na foronya kwa bei nafuu sana

    Vitambaa set moja ni sh.70,000 kwa 80,000. Mto na foronya moja ni sh.15000 karibuni sana wateja ninapatikana Tunduma Songwe. Kwa mawasiliano ni kupitia namba 0758267513.
  9. S

    Kama hatujui kilichomo katika mkataba wa ujenzi wa Bwawa la Umeme huko mto Rufiji, tuna uhakika gani bei ya umeme itakuwa nafuu?

    Japo ni kweli kuwa umeme unaotokana na maji huwa ni wa bei nafuu kulinganisha na umeme unaotokana na vyanzo vingine kama vile mafuta, gesi, nuclear, n.k , lakini je,si kweli kuwa mkataba wa ujenzi wa chanzo husika cha umeme unaweza kufanya bei ya umeme kuwa kubwa kuliko inavyotarajiwa? Kwa...
  10. Kukopi Files kutoka HDD/SSD moja kwenda nyingine kwa gharama nafuu sana

    Angalia scenarios zifuatazo 👇: Una Hard disk (HDD) ambayo unatumia kwenye computer lakini unataka ubadilishe utumie Solid state drive (SSD) kwa sababu mbalimbali kama performance, lakini unataka uhamishe kila kitu kilichomo kwenye HDD ya zamani kuanzia OS yenyewe, programu zote na files au...
  11. Karibu tukutengenezee ramani za umeme kwa majengo mbalimbali kwa gharama nafuu

    Habari wana Jamiiforums mimi ni mhandisi umeme upande wa ushauri, kwa yeyote mwenye uhitaji wa kuandaliwa na kutengenezewa michoro ya umeme(lighting with power system) pamoja na mfumo wa vifaa vidhibiti moto (fire detection system), karibu tukuhudumie tunafanya kazi ya kuandaa michoro kwa muda...
  12. Nataka kujua vyuo vya afya vyenye bei nafuu katika ada

    Habari za siku, nataka kujua vyuo vya afya vinavyotoa elimu ngazi ya degree (DOCTOR OF MEDICINE) vyenye ada nafuu ukiachana na 1. MUHAS, 2.UDSM, 3. UDOM, 4........., 5........... 6.........
  13. G

    Neti za kisasa kwa Bei nafuu

    Lala usingizi mnono kwenye neti nzuri na ya kisasa. Neti 1 yenye ukubwa wa 6*6 na Bomba mbili ngumu kuvunjika. Bei 120000 Dar na mikoani tunatuma. Mawasiliano +255 620 301 071
  14. Ni uhakika; Menya punje tatu za mpunga ambao haujakauka na kuvunwa, tafuna. Utapata nafuu ya misuli na utajisikia vizuri

    Mpunga ambao upo shambani chuma shina moja, kisha chukua punje tatu tu za chuya ya mpunga, menya maganda kisha tafuna, muda huo huo utajisikilizia hali kubadilika na kujisikia hali ya utulivu ambayo unaweza kuangalia mechi ya mpira bila kuchoka Utafiti huu ni wangu ukitaka kuzalisha na kufungua...
  15. BBC: Tanzania kuingia uchumi mdogo wa kati wajipange, misaada na mikopo nafuu yote itakoma na haitapata misaada kama zamani na upendeleo wa kifedha

    Kwa furaha tunayofurahia ndio tujipange kwa sababu maumivu yanayokuja kwa kupanda daraja ni makubwa. 1. Misaada iliyokuwa inapata kama nchi maskini itakatwa 2. Mikopo iliyokuwa inasemwa nafuu itakuwa haipo tena. 3. Mikataba yenye unafuu wa kibiashara itakuwa tofauti ile dhana ya kusaidiwa...
  16. M

    Guest house za bei nafuu Dar

    Heshima kwenu washikadau Embu kwa wenye uzoefu tutajiane Guest House za bei nafuu kwa hapa Dar hasa maeneo ya Sinza na Manzese na hata maeneo mengine Bei kuanzia 10k,15k au 20k Karibuni
  17. T

    Namna ya kujenga hostel ya wanafunzi, nzuri lakini kwa gharama nafuu

    Wakuu, Kuna sehemu vijijini nimeona wanafunzi wa shule ya sekondari (day) wanapata shida sana, tatizo mojawapo nililoliona ni makazi yao ya kupanga kuwa duni. Sasa nikawaza kuwasaidia hawa wanafunzi kwa kujenga hostel simple kwa ajili yao. Plan yangu ni kila mwanafunzi awe na chumba chake --...
  18. Nauza tiles kwa bei nafuu

    Wewe mtanzania ambaye bado unaendelea na ujenzi jipatie frool tiles kwa bei nafuu ukubwa wa tyles ni 50×50 bei ni 3000 kwa kila moja :mawasiliano ni 0788274721 na utaletewa popite ulipo ndani ya Dar es Salaam
  19. Phone4Sale Viwanja Kibaha mjini vinauzwa bei nafuu

    Kampuni ya Drone Ads inakutangazia wewe unayependa kujenga maeneo jirani na kitovu cha mji, kwamba inauza viwanja 150 vilivyopimwa vilivyopo nyuma ya stendi kuu ya Kibaha, eneo la Pangani kilomita 1.5 toka stend, karibu kabisa na hospital ya wilaya Kibaha. Hivyo huduma zote muhimu zipo...
  20. Marekani: Afisa wa polisi aliyefutwa kazi Derek Chauvin ashitakiwa kwa mauaji ya George Floyd. Mkewe ataka talaka

    Afisa wa polisi aliyefutwa kazi Minneapolis Derek Chauvin amekamatwa na kufunguliwa mashitaka ya mauaji juu ya kifo cha George Floyd, mwendesha mashitaka wa kaunti ya Hennepin Mike Freeman alisema. Afisa huyo wa zamani alionekana katika video akiikandamiza kwa goti lake shingo ya Floyd kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…