nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi 525 za Kazi Tabora Municipal Council (Mshahara Mnono)

    Tabora Municipal Council is the capital and head quarter of Tabora Region as well as an administrative and commercial center of the region. The municipality is the commercial hub in western part of Tanzania, located on the crossroads of the main railway lines connecting Dar es Salaam on the...
  2. JamiiForums Tanzania Kama mmefikia kuwa na hoja duni kama hizi, mtapata nafasi ya kupata sapoti tena toka kwa wananchi?

    Sasa huku ni kukengeuka au kutokuwa na watu makini maana mnashupalia hoja zisizo na mashiko kabisa na kuonekana kama majuha. Hivi rais wa JMT kupanda dege la Emirates ni hoja ya kuishupalia ili mpate kick? Sakata la Ngorongoro je? Mbona mnalielezea vingine kabisa? Sakata la Ngorongoro nalo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi 400 za Kazi Kigoma Ujiji, Mshahara Tsh 300,000/=

    Kigoma is a city and lake port in northwestern Tanzania, on the northeastern shores of Lake Tanganyika and close to the border with Burundi and The Democratic Republic of the Congo. It serves as the capital for the surrounding Kigoma Region and has a population of 215,458. Nafasi za kazi za muda
  4. F

    JamiiForums Tanzania Viongozi tumieni nafasi zenu kwa manufaa ya taifa nzima, Madaraka yanapita

    Kichwa cha habari kinajieleza hapo juu kwenye post hii.Ndugu zangu wanajamii forum great thinker naomba kujilipua msemo wao. Katika taifa letu kuna viongozi wanapokuwa madarakani wanajisahau katika majukumu yao wanafikili watabaki madarakani daima na mambo hayatabadilika. Viongozi nawaasa na...
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta kijana ambaye ana uwezo wa kufanya kazi ya barbershop aliyepo Mbeya mjini

    Habari zenu wakuu, Natafta kijana ambaye anauwezo wa kufanya kazi ya barbershop aliyepo Mbeya mjini kwajili ya kazi ya kunyoa. Natanguliza shukrani Mawasiliano 0655087675
  6. JamiiForums Tanzania Swali: Kama Mbowe na wenzake wamekutwa na kesi ya kujibu, nafasi ya kujitetea ni kuomba adhabu ipunguzwe?

    Hili ni swali ambalo bila shaka sisi tusio na uelewa wa sheria kwa mapana yake tunajiuliza. Katika hukumu iliyosomwa na Jaji Tiganga, mahakama imewakuta na kesi ya kujibu watuhumiwa wanne. Maana yake ni kuwa hatia imeonekana. Je, wanapaswa kujitetea adhabu ipunguzwe ama wafutiwe makosa? Je...
  7. JamiiForums Tanzania Kufufuka kwa wafu - Ni maajabu yanayoendelea kwa kasi nchini huku wanahabari/jamii wakizipa nafasi ndogo kama habari zinazohitaji uchunguzi wa kina

    Habari za watu kufa na kuzikwa na baadae kupatikana wakiwa hai ni za kushangaza mnooo. Yaani mtu amekufa kwa kuugua au ajali au ghafla tuu, hospitalini wanahakikisha amekufa na wanatoa cheti cha kifo na mwili mnakadhiwa, mnaenda kuzika na viongozi wa serikali za mtaa, viongozi wa dini na...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna nafasi nzuri zaidi ya kujenga Taifa linalozingatia haki na Rais Samia

    Ukiyatazama yaliyofanyika wakati wa Samia, ukiacha doa kubwa la kesi ya inayoaminika ni ya kumbambikia Mbowe na makomandoo, kuna nafasi nzuri zaidi ya kuijenga Tanzania ya haki na demokrasia, katika utawala huu wa Samia, pengine kuliko utawala wa mwingine yeyote. Kuna mengi positive yamefanyika...
  9. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za kujitolea Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Mbeya

    TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA KUJITOLEA. Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya inatangaza nafasi 45 za ajira ya kujitolea katika Kada mbalimbali kama ifuatavyo; I. Afisa Ugavi Daraja la Il (supplies Officer Il)- Nafasi 1 Awe wenye Shahada/Stashahada ya juu ya ununuzi/Ugavi kutoka katika chuo...
  10. N

    JamiiForums Tanzania IFFHS: Simba ya 361 Duniani, Ligi ya Tanzania ya 8 kwa ubora Afrika

    Hawa jamaa hawana affiliation na FIFA ni watu wa takwimu za michezo SINCE 1984 jana wametoa takwimu zao za teams 400 bora duniani simba ikiwa nafasi ya 361 na ligi ya Tanzania ikiwa ya 8 barani afrika bila shaka kutokana na libeneke la simba sc kwa melezo zaidi ngia kwenye website yao. Na...
  11. JamiiForums Tanzania Kagera Sugar 1 - 0 Simba SC | Ligi kuu bara | Kaitaba

    NBC Premier League leo kwa mechi moja ya kiporo. Ni Kagera Sugar watakuwa uwanja wa nyumbani kuwaalika mabingwa watetezi Simba SC. Je, ni Kagera ama Simba SC nani kukila kiporo hiki? Mechi hi itaruka mubashara Hapa Hapa JF UPDATE Mpira Umeshaanza hapa Dimba La Kaitaba. 17” Kagera Sugar 0...
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya internship kwenye NGOs ama Serikalini

    Habari wanaJF! Mimi ni kijana, mwenye umri wa miaka 24. Nimehitimu 2021 shahada ya Usimamizi wa Mifumo ya Afya (Bachelor's Degree in Health Systems Management) ya chuo kikuu Mzumbe. Kwasasa natafuta mahali pa kujifunza zaidi kwa vitendo. Interest yangu ni kwenye NGOs lakini hata nikipata...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu una kiporo Wizara ya Mambo ya ndani. Sasa una nafasi kimalize

    Mh. Mwigulu ulikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na ulifanya kazi kubwa sana ya kuwatembelea na kuwasikiliza askari wa vyombo mbali mbali vilivyopo wizara ya mambo ya ndani. Moja wapo ya madai yao unayajua vizuri sana, Posho ya Maji, Umeme na Pango. Sasa upo wizara ya fedha kwenye bajeti hii askari...
  14. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Wanachama 11 wametia nia kugombea nafasi tatu zilizotangazwa kuwa wazi, ikiwemo ya Mwenyekiti

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Mnamo tarehe 17/2/2020 Chama chetu kiliondokewa na aliyekuwa Mwenyekiti wake wa Taifa hayati Maalim Seif Sharif Hamad. Kwa mujibu wa ibara za 84(4) na116(4) za Katiba ya ACT Wazalendo (Toleo la 2020) nafasi hiyo inapaswa kujazwa ndani ya miezi kumi na mbili (12)...
  15. JamiiForums Tanzania Hii habari ya kulazimika kudhaminiwa na chama cha siasa ukitaka kugombea nafasi yoyote inatakiwa ikome

    Hii ishu siyo ya kidemokrasia kabisa. Kwanza inamnyima haki ya kidemokarisia mwananchi mpaka alazimike kuwa kwenye haya magenge ya siasa. Pia inawanyima wananchi kuchagua wampendae, badala yake ni kama kwa sehemu wanachaguliwa na haya magenge. Fikiria kuna wagombea labda 3. Kila mtu/watu...
  16. JamiiForums Tanzania Mwaka 2021 umeshika nafasi ya sita kwa joto zaidi

    Utafiti wa hali ya joto duniani na mashirika mawili ya Marekani umeonyesha kuwa mwaka 2021 umeshika nafasi ya sita wenye joto zaidi duniani. Takwimu za hivi karibuni zilizokusanywa na Shirika la taifa la Marekani linaloshughulikia utafiti wa anga za mbali, NASA na Idara ya Bahari na Anga ya...
  17. JamiiForums Tanzania Sio kwamba muziki wetu uko juu bali gharama nafuu za data zilitubeba, Afrika Kusini ndiye mrithi mpya wa nafasi ya Tanzania kushindana na Nigeria

    Kwa sasa amapiano inapewa sana promo hapa Bongo na mbaya zaidi hata hao wanaimba amapiano hawaitwi Afrika Kusini ama kutrend vilivyo huko bondeni. Hapo zamani mpinzani mkuu wa Nigeria alikuwa Tanzania lakini hii ilikuwa kwajili ya silaha yetu ya bei rahisi ya data, kwa sasa mambo yamebadilika...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Mwijaku achukua fomu ya kuteuliwa kugombania Uspika

    Habari nilizozipata mtangazaji wa Clouds FM kachukua fomu ya kugombania uspika baada ya spika wa bunge la Tanzania kujiuzulu.
  19. JamiiForums Tanzania Chama anaenda kuchukua nafasi ya nani Simba?

    Ukiangalia kwa jinsi Simba ya sasa inavyocheza, mfalme wa zamani wa timu hiyo Chama ambaye atatambulishwa muda wowote kuanzia sasa, je ni nani atampisha Chama kwenye kikosi cha kwanza? Vipi nafasi ya Pape Sakho haipo shakani kweli?
  20. JamiiForums Tanzania Kitendo cha makumi ya watu kujitokeza kuwania nafasi moja tu uspika kimedhihirisha kuwa Taifa hili halina dira wala halijitambui

    Hatuwezi kujisifu kuwa hii ni demokrasia bali ni fujo na ukosefu wa mwelekeo na sera za Taifa. Hadi sasa kama Taifa hatujui kama tunafuata ujamaa au ubepari. Viongozi huandaliwa, hufunzwa na kulelewa. Haiwezekani mtu anakurupuka usingizini akiwa na matongotongo machoni anachukuwa fomu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…