nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia alisema wajiuzulu/wapishe nafasi zao. Akina nani hao? ebu tuwataje...

    Wana JF habari zenu. Mh. Rais wetu Mama Samia, jana akiongea baada ya kupokea ripoti ya CAG Ikulu, Dar es Salaam, alisema kwa ukali sana, waliohusika na ongezeko la bei ya ndege ya mizigo ya ATCL kutoka $ 37 mil hadi $ 86 mil wajiuzulu haraka, yaani wapishe nafasi zao haraka sana. JF tuweke...
  2. JamiiForums Tanzania FIFA yaivua Indonesia nafasi ya kuwa mwenyeji wa Michuano ya Kombe la Dunia U20

    Shirikisho la Soka Duniani (Fifa) limechukua maamuzi hayo baada ya Serikali ya Indonesia kukataa kuipokea timu ya Israel kutokana na mgogoro wa Kidiplomasia baina ya Mataifa hayo. The Football Association of Indonesia (PSSI) said Fifa was forced to cancel the draw after Bali's governor Wayan...
  3. JamiiForums Tanzania Nafasi anayocheza Samatta pale Taifa Stars awe anawekwa Kibu Denis

    Japo Kibu hana akili ya mpira lakini anakupatia kitu kinaitwa work rate. Yaani akiwepo uwanjani anakuwa na pilikapilika nyingi ambazo zinaweza kuleta matokeo chanya. Huyu Samatta ameshapitwa na wakati.. hana chochote anachoiongezea timu awapo uwanjani.. Kibu anaweza kufanya link ya viungo...
  4. JamiiForums Tanzania Wenye ndoto za kugombea nafasi za uongozi 2025 watakiwa kuzijua kwanza changamoto za wananchi wao

    ZANZIBAR KATIKA kuhakikisha lengo la ushiriki sawa wa wanawake kwenye nafasi za uongozi linafikiwa, wanawake wenye nia ya kugombea na kushika nafasi hizo wametakiwa kutumia muda wao kukaa karibu na jamii zao ili kubaini changamoto zinazowakabili wananchi na kusaidia kuzitaftia ufumbuzi badala...
  5. JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Mwanaume mrefu nina nafasi kubwa zaidi ya kuvutia wanawake wengi kimapenzi kuzidi mwanaume mfupi

    Tufanye kwamba factors nyengine zote zinafanana kati ya mwanaume mfupi na mrefu isipokuwa kimo cha urefu pekee. Mwanaume mrefu mfano akiwa futi 6'2 ana uwezo wa kuvutia wanawake wengi kimapenzi kuzidi mwanaume mwenye urefu wa 5'5. Wote hao wanaweza kuwavutia wanawake wenye urefu sawa na chini...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kwenye ekaristi takatifu ni Yesu au Mungu katika nafasi tatu??

    Kwa wakristo wanaoamini Imani ya TRANSUBSTANTIATION, kwenye mkate na divai, pale ni Yesu peke yake yupo? Maana Mungu ni mmoja na hagawanyiki. Basi tulipaswa kusema pale Yuko Mungu katika ukamilifu wake, katika nafsi zote tatu, ama sivyo basi yupo Yesu katika Hali yake ya kibinadamu tu na umungu...
  7. JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi katika Mgodi Wa Barrick Shinyanga-Fundi Mitambo (HD Mechanics)

    HD Mechanic Shinyanga, Tanzania, United Republic of TRENDING JOB DESCRIPTION JOB ADVERT - HD MECHANICS (01 VACANCY) Bulyanhulu Gold Mine is seeking to recruit HD Mechanics to join our team. The successful candidate for this position is expected to align with the Barrick DNA and drive a change...
  8. JamiiForums Tanzania Nafasi iliyopatikana kwenye uchaguzi wa 2020 ikitumika vizuri ni faida kubwa kwa CCM

    Uchaguzi wa mwaka 2015 ulikuwa mgumu mno kuwahi kutokea tangu vyama vingi vya siasa vianzishwe. CCM ilipita kwenye tundu la sindano kushinda ule uchaguzi. Chama kilikuwa hoi mno. Kabla hata ya Lowassa kuhama tayari upinzani ulikuwa una nguvu mno kutokana na kuwepo vichwa hatari mno kisiasa...
  9. JamiiForums Tanzania Siasa za maandamano zinataka kuchukua nafasi ya uchaguzi

    Kenya, Afrika Kusini, Nigeria, na Tunisia kuna maandamano yanayoongozwa na wanasiasa walioshindwa katika uchaguzi. Hii inaashiria kuwa hatuna wanasiasa ambao wanakubali kushindwa katika uchaguzi;ikitokea wanashindwa wanahamia kwenye maandamano na kuhujumu utendaji wa serikali zilizoshinda na...
  10. JamiiForums Tanzania Bila ya kumpa mumeo nafasi yake ya Ufalme, ndoa yako haitakuwa na furaha

    Mwanaume ni mfalme ndani ya nyumba, usipompa heshima yake, hiyo ndoa iko mashakani. Hamna mfalme asiyetaka kuheshimiwa.
  11. U

    JamiiForums Tanzania Eneo lililo wazi pembezoni mwa Barabara ya Morogoro linaweza kufanyiwa biashara na likazalisha pesa nyingi kwa serikali

    Je, Waziri wa fedha anahangaika kutafuta kodi wakati eneo hilo la pembezoni mwa barabara ya Morogoro lililo wazi linaweza kufanyiwa biashara na likazalisha pesa nyingi sana kwa serikali? Kwani huyu Daktari wa uchumi hawezi kushauriana na Waziri wa Ujenzi wakawatumia wataalamu wa Mipango miji na...
  12. JamiiForums Tanzania Mbowe amedhihirisha kuwa ukipewa nafasi ya kusema na ukasema sana utakosea

    Katika mchakato wa maridhiano baina ya CCM na CHADEMA Mbowe ameonekana kujipa nafasi ya usemaji, ameitumia, ameitumia sana, ameitumia sana kiasi cha kuanza kukokesea. Mfano mzuri ni pale alipofikia kuumuelekeza RJMT aondoe kesi ya Mdee na wenzake vs CHADEMA mahakamani. RJMT anawezaje kuondoa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hasara ipi ningepata nisingekuwa Mtanzania?

    Nimekuwa najiuliza ni hasara ipi ningeweza kupata nisingekuwa Mtanzania au ni faida gani special ambazo napata kuwa Mtanzania. Nikitazama maisha ya nchi nilizowahi kupita naona zina fursa zaidi ya Tanzania kwa utafutaji mfano Malawi, Zambia, Botswana, South Africa, huku biashara zinalipa kuliko...
  14. JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuhusu Mgombea wa nafasi ya Uweka Hazina Taifa Chama cha Walimu Tanzania Protas Magesa

    Ndugu walimu na wanajamii kwa ujumla wa Taifa hili Tukufu, nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Naomba nianze kuweka bayana taarifa ambazo huenda hamzifahamu kuhusu Mgombea wa nafasi tajwa hapo juu Mwalimu Protas Magesa. Huyu ni mwalimu mwakilishi kwenye Kamati ya Utendaji...
  15. JamiiForums Tanzania Rushwa yavuruga Uchaguzi wa Mwenyekiti mpya TLP

    Uchaguzi wa kuziba nafasi ya aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, marehemu Augustine Mrema, umeshindwa kufanyika leo Machi 6, 2023 kwa kile kinachodaiwa kuwepo kwa viashiria vya rushwa, maelewano mabaya baina ya wagombea. Machi 5 Halmashauri Kuu ya TLP ilipitisha majina ya wagombea watano...
  16. JamiiForums Tanzania Simba tutamaliza Nafasi ya pili kundi C

    March 7, tunachukua point 3 Vs Vipers pale kwa mkapa. Tutafikisha point 6. Hiyo siku kama Horoya watajitahidi sana, watavuna point 1 Vs Raja. Watafikisha point 5. March 17, Horoya kwa mkapa hatoki. Tunavuna kwake point 3. Tutakuwa na jumla ya point 9. March 23 najua tutapoteza kwa Raja, ila...
  17. JamiiForums Tanzania Tujiulize uchawi, ramli na mazindiko vina nafasi gani kwenye siass za Tanzania? Je wasomi hawaamini taaluma zao?

    Amani iwe kwenu wachambuzi jadidifu. Ninaleta hoja kwenu ili tuelimishane ikibidi tukosoane ama kuwajibishana Wanasiasa wengi kama siyo wote, wamekuwa wakionesha matendo yao fulani fulani kwa kificho au kwa uwazi kabisa. Wamejenga mazoea ya kutumia watu wanaoitwa waganga wa kienyejj ili...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Pamoja na tozo lakini Samia anastahili sifa kutupa nafasi tulale usingizi mtamu

    Hofu Imetoweka Wakati huu hata nikisikia kelele nje ya nyumba/geti najua kabisa hawa ni vibaka au wanga wapo kwenye mbishe zao, na ninao uwezo wa kufungua mlango na kutoka nje kuangaza macho kulikoni. Enzi za Bwana yule, kwa sababu ya watu ninaohusiana nao kijamii na kikazi nilikuwa na hofu...
  19. JamiiForums Tanzania Yanga atapita hatua ya makundi, Simba atashika nafasi ya mwisho kwenye kundi lake

    Day 3. Vipers anamkaribisha simba na raja anamkaribisha horoya ambapo wenyeji wote watashinda. Day 4: Simba anamkaribisha vipers game itaisha sare, horoya anamkaribisha raja na mgeni atashinda. Day 5: simba anamfata raja mwenyeji atashinda na vipers anamfata horoya game itaisha sare. Day 6...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Makamu wa Rais wa CWT yaondolewa baada ya uteuzi wa kuwa DC

    14 February 2023 Dodoma, Tanzania Makamu wa Rais Chama cha Walimu Tanzania CWT aondoa kesi yake ya Kupinga kungolewa Mbele ya jaji wa Mahakama Kuu mheshimiwa jaji Mdemu, pingamiza aliloweka makamu wa rais CWT bi . Dinah Mathamani kupinga kuvuliwa cheo na mkutano mkuu wa CWT kesi imeondolewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…