Nafasi ya kazi-digital markerting

KIDTVTC

Senior Member
Jan 8, 2019
173
30
NAFASI YA KAZI KWA DIGITAL MARKETING AND CUSTOMER CARE OFFICER

TAREO (MIT & KIDT) inatangaza nafasi ya kazi mhudumu na masoko kwa njia ya teknolojia ( digital marketing officer )

SIFA.
√ Elimu kuanzia ngazi ya cheti, shahada au stashahada
√ Awe anaifahamu vizuri digital marketing
√ awe na uwezo wa kuanda matangazo ya aina mbalimbali
√ uwezo wa kuongea lugha ya kiswahili na kiingereza kwa ufasaha.
√ uwezo wa kuwasiliana ( communication skills na matumizi mazuri ya computer )
√ uwezo wa kutafuta masoko na kuwasilina kutumia simu na mtandao

Kazi, ( job description )
√ kuanda na kutanga matangazo ya bidhaa zetu pamoja na za wateja kupitia mitandao ya kijamii.
√ kusimamia akaunti zote za tasisi na za wateja.
√ kuandaa promotion na kutafuta wateja wapya
√ kusimamia idara nzima ya masoko,uhudumu na kupoke wageni.
√ kufanya kazi wakati wowote ukapohitaji kwa shughuli za ofisi.

Namna ya kutuma maombi:
Tuma maombi yako ( CV ) kupitia email: info@tareo-tz.org

(copy mitcomputingtz@gmail.com na kidtcollege@gmail.com
 
Mmmh mbona hzo kaz anazoenda kufanya ni kama anaenda kuwa mmiliki wa kampuni sasa maana kila ktu anafanya yeye halafu nyie wamiliki mnakua mnafanya kaz gani sasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom