nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    JamiiForums Tanzania Nani amefanya mwaka wako kwenda vizuri hata pale ambapo uliona hutatoboa? Chukua nafasi hii kumshukuru kila aliyesafisha njia yako ukapita bila shida

    Habari Wanajf? Kuna kipindi tunakutana na magumu kwenye maisha mpaka unaweza kufikiria kukata tamaa, lakini kwenye yote hayo kuna watu wamekuwa msaada kwetu kutunyanyua kila tunapoanguka, kutupangusa vumbi na kuhakikisha tunafika tunapotakiwa kufika. Watu ambao ushauri wao umekuwa msaada...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie kupata Nafasi ya Kazi kwenye Ofisi yoyote, NGO au Microfinance

    Asante sana. Nilishafanikiwa kupitia jamii forum kupata nafasi
  3. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) Oktoba, 2023

    Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) linatangaza nafasi kama ifuatavyo:
  4. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi Tanga-Pasadit OVC-kizazi hodari -hho position

    EMPLOYMENT OPPORTUNITY – PASADIT TANGA PASADIT is a non-governmental organization operating under the Catholic Diocese of Tanga. PASADIT strives to ensure that the Most Vulnerable and Marginalized groups have dignity and secure life through social accountability, capacity building, service...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Nape atambue nafasi yake ni kipimo cha utu na utimamu wa akili hasa kiutendaji

    Habari ya zuio ama masharti ya matumizi ya VPN kutoka kwa Waziri Nape na wizara yake kwa ujumla inasikitisha hasa inapotokea Waziri anakosa statements zenye substance na credibility, si vema watu wenye dhamana kama ya ndugu Nape kutoa statements zenye mzaha mzaha, Tanzania sio kisiwa vinywa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Gavana wa Benki Kuu inaweza kutangazwa wageni, diaspora na wananchi wakaiomba?

    Nimetafakari kuhusu nafasi za kitaaluma kama Gavana wa Benki kuu, nini madhara zikiruhusiwa kuombwa na mtu yeyote mwenye sifa? Teua tengua zimekuwa nyingi jambo linaloashiria kuna shida ya wale wanaopatikana. Sisi tumekuwa hodari wa kukuza watu wasiotumika wanaondoka kwenda kujitafutia huko...
  7. JamiiForums Tanzania Japan: Watanzania 6 kuchuana katika Riadha leo ili kuwania nafasi ya Kushiriki Michezo ya Olimpiki 2023

    Wanariadha hao ni Paul Makiya, Fabian Naasi, Peter Sulle, na Sarah Ramadhan wanaoshinda katika Mbio za Kilomita 42 (Full Marathon), huku Joseph Gisemo na Transfora Mussa watashindana katika Mbio za Kilomita 21 (Half Marathon) huko Nagai leo Oktoba 15, 2023. Endapo Wakimbiza Upepo hawa watafanya...
  8. JamiiForums Tanzania Misri yaiomba Israel iachie nafasi ya misaada kutoka Uarabuni kuwafikia Wapalestina

    Mpaka sasa Israel inaendelea kusambaratisha kila kitu na kukata huduma zote, wakimbizi 250,000 wamekusanyika wakitegemea UN, misaada inaendelea kukata, mataifa ya Kiarabu yametanguliza Misri ibembeleze Israel iachie nafasi kidogo ya kufikisha misaada. Hii ni hali ya hovyo sana, kuanzisha choko...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya nafasi za kazi zinazotangazwa zinakosa watu

    Habari wanajamvi Nimefuatilia placements nyingi za kazi lakini kuna jambo nimegundua unakuta wakati tangazo la kazi linatoka serikalini labda linahitaji watu 20 lakini watakaoajiriwa ni 12 tu shida ni nini...? Ni kwamba vijana sikuizi hawajiriki ndoo maana baadhi nafasi kukosa watu na kua...
  10. JamiiForums Tanzania Yanga sc na Kmc watauana kugombea nafasi ya tatu Nbc premier league.

    Kama msmaimo unavyoonekana kumeibika mapigano makali kati ya Kmc na yanga kugombania nafasi ya tatu.
  11. L

    JamiiForums Tanzania AIIB yachukua nafasi kubwa katika maendeleo endelevu barani Afrika

    Hivi karibuni, Waziri wa Fedha wa Misri Mohamed Maait alipongeza nafsi muhimu inayochukuliwa na Benki ya Uwekezaji wa Miundombinu ya Asia (AIIB) katika maendeleo endelevu barani Afrika. Akizungumza kabla ya mkutano wa Bodi ya Magavana wa AIIB uliofanyika mjini Sharm El-Sheikh nchini Misri...
  12. JamiiForums Tanzania Republical wafikiria kumuomba Trump agombee nafasi ya Spika wa Bunge la Marekani

    Baada ya aliyekua Spika wa bunge (House) la Marekani kuondolewa, Wabunge wa Bunge la Marekani, ambalo wabunge (Representatives) wake wengi ni kutoka Chama cha Republican, wamependekeza waongee na Donald Trump aweze kuwa Spika wa bunge hilio. Wabunge hao waliweza kufikisha ombi hilo kwa Trump...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Betting hadi katika mabadiliko ya nafasi za viongozi, Wizara, Mkoa na Wilaya.

    Nimeshuhudia jamaa waki-bet kuwa ndani ya siku 100 kutoka Mosi Oktoba, yatafanyika mabadiliko ya viongozi kutoka Wizara moja kwenda nyingine, Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya. Endapo atafanya mabadiliko kwenye Wizara atatoa fungu lake, na kama atabadilisha mkuu wa mkoa kuna fungu lake, pia...
  14. JamiiForums Tanzania Msimamo wa NBC: Timu lako lipo nafasi gani?

    Yanga mnaendeleaje. Nimeambiwa mna unbeaten 4 kasoro moja(unbeaten kasoro Ihefu)
  15. JamiiForums Tanzania Wao wakishinda magoli ya offside na nyie shindeni pia ya hivyo hivyo. Mambo ya kulalamika wakati wewe umeshindwa kutumia nafasi hayana maana

    Kitendo cha mashabiki wa Yanga kuanza kulalamikia bao la John Boko kuwa alikuwa offside naona ni kupotezeana muda tu, Boko kafanya home work yake iliyomfanya awe uwanjani na kaikamilisha na refa karuhusu kuwa ni goli halali makekele ya nini? Ukiona mwenzako anatumia mbinu za kimafia kushinda...
  16. JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa waraka wa mapendekezo ya sheria ili wanawake wengi washike nafasi za uongozi

    Asasi za kiraia zinazotetea haki za wanawake Zanzibar kwa pamoja zitazindua waraka wa mapendekezo ya sheria ambao una lengo la kuwawezesha wanawake wengi kupata haki ya kushika nafasi za uongozi katika ngazi za maamuzi. Uzindizi huo utafanyika siku ya Alhamis tarehe 05 Oktoba, 2023 katika...
  17. JamiiForums Tanzania Chawa wa Mama wamemgeuka Salim Kikeke; wamempora nafasi yake wamempa Mobhare Matinyi

    Hakuna salamu hapa, naingia kwenye mada moja kwa moja. Kama ilivyokuwa kwa Tido Mhando aliyetolewa BBC na kuletwa kusimamia TBC, ndivyo ilivyokuwa kwa Salim Kikeke. Taarifa za kiintelejensia zinapenya kuwa ndugu Kikeke aliombwa kung’atuka BBC ili arudi nchini kuandaliwa kuwa msemaji wa serikali...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais mstaafu Kikwete hakupewa nafasi ya kuongea katika uzinduzi wa Kavazi la Dkt. Salim?

    Jana nilipata wasaa wa kufuatilia mubashara uzinduzi wa Kavazi la Mwanadiplomasia maarufu Dr Salim Ahmed Salim. Watu wengi walipata nafasi ya kusema machache juu ya Dr Salim wakiwepo mawaziri wastaafu na hata wengine kutoka kada mbalimbali za utumishi. Cha ajabu uzinduzi wa Kavazi ulimalizika...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Msaada hints za maswali ya written interview ya utumishi nafasi ya katibu afya

    Msaada wadau maswaya ya written interview ya utumishi nafasi ya katibu afya
  20. A

    JamiiForums Tanzania Kwa ufaulu huu, je naweza kupata nafasi ya kusoma Bachelor Degree in Civil Engineering hapa Tanzania?

    Nina dogo langu kamaliza diploma in civil engineering (DIT) mwaka 2022 hapo tu, ana overall GPA ya 2.8, lakini GPA yake ya mwaka wa mwisho ni 3.1. Sasa swali langu ni kwamba je, TCU wanaangalia overall GPA ya miaka yote mitatu ya diploma aliosoma au ya mwaka wa mwisho? Maana siku za dirisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…