nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania Ni ipi siri ya Yanga hata ikiwa mbovu haijawahi kumaliza ligi nje ya nafasi ya tatu?

    Timu zote isipokuwa Yanga zimewahi kushika nafasi nje ya tatu, Why ? Kwa upande wa Simba imewahi kunusurika kushuka daraja mwaka 1987, 1988 na 1989, kwa mwaka 1988 na 1989 mechi za mwisho zilikuwa dhidi ya Yanga, mara zote hizo Yanga waliombwa wasishinde ili Simba asishuke daraja maana ligi...
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kazi au kibarua

    Habari zenu Wanajukwaa Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza apo juu, Naitwa Eric natafuta kazi yeyote halali ya kuniingizia kipato. Elimu yangu ni Chuo kikuu bachelor degree in logistics and transport management. Ninafahamu humu jamii forum Kuna watu wengi na tofauti tofauti ambao wanaweza...
  3. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe alikuwa na nafasi gani ndani ya ACT Wazalendo?

    Haya wajuba wazee wa siasa za Bongo muje munieleze vizuri. Zitto Kabwe alikuwa na nyadhifa gani ACT Wazalendo? Wanahabari wetu wanaishia tu kutuambia kuwa alikuwa kiongozi wa chama.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi katika nafasi ya civil engineer, foreman na HSE

    ASANTENI SANA TAYARI TUMESHAPATA WAFANYAKAZI KATIKA NAFASI ZOTE TULIZO TANGAZA
  5. JamiiForums Tanzania Je, PhD hewa zipewe kipaumbele kwenye nafasi za uongozi na siasa?

    Miaka ya hivi karibuni Tanzania imekuwa na ongezeko la watumishi wengi wa umma ambao wanaongeza elimu ili kujiweka katika nafasi nzuri za kuwa viongozi katika ngazi mbalimbali za serikali. Asilimia kubwa wakiwa ni watumishi wanaowania Masters na asilimia iliyobaki ni PhD. Hii imepelekea mfumo...
  6. JamiiForums Tanzania SI KWELI Tilisho wametangaza nafasi za wahudumu wa Mabasi yao pamoja na Wakatisha tiketi

    Habari Wadau, Nimekutana na tangazo la kazi likionesha kuwa Kampuni ya usafirishaji ya Tilisho inahitaji Wafanyakazi kwa nafasi ya Wakatisha Tiketi na wahudumu wa ndani ya Mabasi. Nimepata mashaka baada ya kuona ukilifuata tangazo hili ndani yake linahitaji usambaze link kwenye magroup ya...
  7. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi VETA, Machi 2024

    PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT REF.NO. CAC. 79/126/01/489 2nd March, 2024 VACANCY ANNOUNCEMENT On behalf of the Vocational Education and Training Authority (VETA), Public Service Recruitment Secretariat...
  8. JamiiForums Tanzania Abdul Nondo alivyoshinda nafasi ya Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo Taifa

    Abdul Nondo ametangazwa kuwa mshindi wa nafasi ya Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo Taifa kufuatia uchaguzi mkuu wa ngome hiyo uliofanyika jana, Alhamisi Februari 29, 2024 kwenye ukumbi wa Hakainde Hichilema uliopo makao makuu ya ACT Wazalendo (Maalim Seif House) Magomeni, Dar es...
  9. JamiiForums Tanzania Peter Msechu kupewa nafasi ya kutumbuiza Zanzibar?

    Inasemekana baada ya John Komba, Msechu ndio kama karithishwa mikoba . Je Atapewa nafasi ya kutoa wimbo kwa ajili ya Mzee Mwinyi? Ngoja tusubiri .
  10. JamiiForums Tanzania Ungepata nafasi ya kuchagua kuzaliwa wapi na race gani, ungechagua hapo ulipo ?

    Challenge. Binafsi ungepata nafasi ya kuchagua uzaliwe wapi na race gani ? - Je, unge chagua kuzaliwa katika hiyo race uliyopo ? - Je, ungechagua kuzaliwa katika hilo eneo ulilopo( nchi & bara ) ? Binafsi hapana kwa maswali yote. Wewe je ? Na sababu zako zingekuwa ni zipi ?
  11. F

    JamiiForums Tanzania Zifuatazo ni nchi zilizokubuhu katika unywaji wa pombe Afrika; angalia nafasi ya Tanzania, East African Community yatia fora

    Below are African countries with the highest beer consumption per capita: Rank Country Beer Consumption per capita Global Rank 1 Namibia 95.5 L 6 2 Gabon 67 L 25 3 South Africa 60.1 L 28 4 Democratic Republic of the Congo 54.8 L 35 5 Kenya 12 L 52 6 Tanzania 8 L 57 7 Uganda 6 L 58
  12. JamiiForums Tanzania Katika Ibada takatifu St. Theresa Arusha Mizengo Pinda alipewa nafasi ya kusalimia akaanza siasa

    Waziri Mkuu mstaafu bingwa wa kulia hovyo hovyo alishiriki misa takatifu St Theresa Jijini kwa heshima ya wadhifa aliwahi kushika Paroko akampatia nafasi ya kusalimia waumini. Badala ya kusalimia waumini akaanza ohoo Rais Samia alikuwa Vatican 🇻🇦 alikutana na Baba Mtakatifu walifanya mazungumzo...
  13. JamiiForums Tanzania Haya majina ya wanaCCM wanaotaka kuwa maaskari ni ya kweli?

  14. JamiiForums Tanzania Simba inao wachezaji wazuri Ila hawapewi nafasi tofauti na Yanga

    Kinachoibeba Yanga ni kitendo cha wao kuwajaribu wachezaji wao waliowasajili na sio kwa dakika tano bali wanapewa muda mwingi uwanjani tofauti na Simba ambavyo inasajili wachezaji Ila haiwapi nafasi ya kutosha mfano Luiz Miqson ni mtu anayepaswa kupewa muda mwingi uwanjani ili akili + fitness...
  15. JamiiForums Tanzania Nashauri Naibu Waziri Mkuu atenguliwe na nafasi hiyo ifutwe kwa maslahi ya Taifa

    Habari, wanajamvi kutokana kutokua na tija na ufanisi kwa nafasi ya Naibu Waziri Mkuu , ninamshauri Mh Rais atengue nafasi ya Naibu Waziri Mkuu na kwa mamlaka yake na katiba nafasi hiyo ifutwe kabisa na vyombo vya dola vielekezo macho yao katika mipaka hasa nchi jirani mpaka kama Rusumo...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya uokaji

    Nafasi ya kazi ya Baker mwenye uwezo wa kufundisha baking kwa wengine waweze kufanya baking.
  17. L

    JamiiForums Tanzania BRICS ina nafasi muhimu katika usimamizi wa dunia

    Watu wengi wamekuwa wakiifananisha BRICS na NATO, kitu ambacho si sahihi kabisa. Tofauti na NATO, BRICS haina makao makuu, na pia haina uhusiano na makubaliano ya kijeshi, badala yake, kundi hilo linajihusisha zaidi na masuala ya kiuchumi. Kundi hili la BRICS linaunganisha juhudi za nchi...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu solar itakayoweza kuchukua nafasi ya TANESCO nyumbani

    Hali ni tete, joto kali umeme hakuna, Naomba kufahamu badget inayotosha kupata umeme wa solar ambao unaweza kuchukua majukumu yote ya TANESCO 1. Taa 2. Feni tatu na AC 1, 3. Fridge 4. TV mbili 5. Computer mbili za desktop 6. Oven ila haitumik mara nyingi Yaweza ni cost kiasi gani?
  19. JamiiForums Tanzania Ma EX wake hawanihusu muhimu kwangu ni nafasi na muda wa kutosha wa kuwa naye

    Nimevuka mitihani ya stress za mapenzi, sasa moyo wangu ni wa jiwe wenye kuwafaa wanawake wote, hivyo basi mwanamke yeyote sina muda wa kufuatilia nyendo zake wala kukagua simu wala maswali, muhimu ni nafasi na muda wa kutosha wa kumnyandua basi. Hii hali imeongeza utamu na ladha wakati wa...
  20. JamiiForums Tanzania Africa Sub Sahara Best University Ranking; Tanzania yaingiza Muhimbili na Ardhi

    Kwa Mujibu wa Jarida la Higher Education University Ranking,Tanzania imeingiza Vyuo Vikuu 2 kwenye List ya Top 10 Best Universities.. Vyuo hivyo ni Muhimbili University of Allied Sciences nafasi ya 3 na Ardhi University nafasi ya 10. UDSM imeshika nafasi ya 21 kati ya vyuo 25 huku Udom...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…