nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Simba wana nafasi ya kuwa Bingwa Ligi Kuu

    Yanga wanaanza kuandamwa na majeruhi, wakitoa draw mbili na kufungwa mechi moja Simba anakuwa bingwa asipopoteza mechi hata moja, au yanga akipoteza mechi mbili simba akashinda zote basi Simba bingwa. Ligi bado sana Yanga msijipe 100% ya ubingwa.
  2. JamiiForums Tanzania Inawezekana tuna watu wasio na uwezo katika nafasi wanazozitumikia?

    Mahojiano aliyofanya CDF Mstaafu Venance Mabeyo yamenifundisha kitu. Nchi hii tuna shida kubwa sana ya watu kuwa kwenye nafasi za juu za maamuzi na uongozi ambao hawastahili kuwepo kwenye nafasi hizo kwa kukosa uwezo. Hivi inakuwaje kwenye nchi tena yenye miaka zaidi ya 60 ya uhuru watu...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ni ipi ilikuwa nafasi ya mwanasheria Mkuu wa Serikali baada ya kifo cha Hayati Magufuli? Kwanini aliacha vyombo vya dola vitafsiri katiba?

    Mshauri wa kisheria wa serikali ni mwanasheria Mkuu wa serikali. Ilipotokea kifo cha Hayati Magufuli alipaswa kutoa dira ya kikatiba na kisheria. Alipaswa kusimamia uandaaji wa tangazo la kifo kwenye vyombo vya habari kujielekeza katika vifungu vya sheria vya kutangaza kifo, maambolezo na...
  4. B

    JamiiForums Tanzania DW: Nafasi ya chama cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania

    Hii ilikuwa ni katika kipindi chao cha "maoni mbele ya meza ya duara" jana: Kuliangazia hilo yafuatayo yalimulikwa: 1. Madai ya kuwa ACT kinafanya siasa zisizo na uhalisia kikipendelea ukaribu usiofaa na watawala. 2. Kupachikwa jina CCM B. 3. Ipi hasa ilikuwa sura halisi ya ACT? 4. Vipi...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa Kuna nafasi ya kujaribu urais tungewapa miaka mitano upinzani ya kuwajaribu ila kwakuwa ni matarajio ya watu CCM inatosha

    Kuongoza nchi si kitendo Cha kusema tumpe nani nafasi tujaribu kuona atafanya nini ila kitendo Cha kuwa na Imani nani kabeba matarajio ya wapiga kura na wananchi Kwa ujumla. Vyama vya upinzani Bado ni vichanga kiuongozi na ni mapema mno kutaka kuaminiwa Kwa Urais nafasi inayoamua hatima ya...
  6. JamiiForums Tanzania Fahamu Sababu za Watu Wengi Hupata Stroke(Kiharusi) Bafuni

    Kawaida, nafasi za kupata Stroke (kiharusi) ni kubwa kutokea Bafuni kwa sababu tunapoanza kuoga, tunaanzia Kichwani, ambayo ni njia mbaya. Ikiwa unaanzia kichwa kwanza, damu hupanda kwa haraka kichwani na mishipa ya damu inaweza Kupasuka. Hivyo Stoke(Kiharusi) hutokea na unakuta watu hujikuta...
  7. JamiiForums Tanzania John Heche: Magufuli aliniahidi kunipa nafasi ya Uwaziri kama ningekubali kuhamia CCM

    Leo kwenye Clouds 360° akihojiwa na Masoud Kipanya amesema kuwa kabla ya Mbunge Mtulia wa CUF Kinondoni yeye Heche alikuwa approached na Magufuli mwenyewe. Magufuli alimuambia kuwa kama atahamia CCM basi atampa Uwaziri. Heche alimkatalia katakata. Baada ya hapo Magufuli alimuambia kuwa basi...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Mungu fundi: Kutoka kwenye maono ya kuwa Air Hostess hadi kuwa nafasi ya juu

    Binadamu yeyote mwenye akili inayofanya kazi huwa ana maono/ ndoto ya kuja kuwa mtu fulani katika jamii. Maono haya yanatokana na uwezo wa mtu wa kufikiri, mazingira, elimu aliyonayo, vitu anavyoona au kusikia. Katika mazingira yote hayo, mtu mmoja alikuwa na ndoto ya kuja kuwa air...
  9. JamiiForums Tanzania Nafasi za kujitolea NYS Tanzania

    NYS TANZANIA inapenda kuta taatifa ya nafasi za kazi za kujitolea maka ifuatavyo Mwisho wa kutuma maombi ni jumatano tarehe 13/3/2024 SAA 6 usiku.!!
  10. T

    JamiiForums Tanzania Papa Fransisco anaisihi Ukraine ipandishe bendera nyeupe

    MKUU WA KANISA Katoliki duniani, Papa Fransisco, katika mahojiano na chombo cha habari cha Uswisi, RSI, amesema Ukraine inapaswa kuwa na ujasiri wa bendera nyeupe, ambayo ni alama ya kukubali yaishe kwa kupisha mazungumzo ya amani. _______________ Pope Francis: Ukraine should have the courage...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Ni ipi siri ya Yanga hata ikiwa mbovu haijawahi kumaliza ligi nje ya nafasi ya tatu?

    Timu zote isipokuwa Yanga zimewahi kushika nafasi nje ya tatu, Why ? Kwa upande wa Simba imewahi kunusurika kushuka daraja mwaka 1987, 1988 na 1989, kwa mwaka 1988 na 1989 mechi za mwisho zilikuwa dhidi ya Yanga, mara zote hizo Yanga waliombwa wasishinde ili Simba asishuke daraja maana ligi...
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kazi au kibarua

    Habari zenu Wanajukwaa Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza apo juu, Naitwa Eric natafuta kazi yeyote halali ya kuniingizia kipato. Elimu yangu ni Chuo kikuu bachelor degree in logistics and transport management. Ninafahamu humu jamii forum Kuna watu wengi na tofauti tofauti ambao wanaweza...
  13. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe alikuwa na nafasi gani ndani ya ACT Wazalendo?

    Haya wajuba wazee wa siasa za Bongo muje munieleze vizuri. Zitto Kabwe alikuwa na nyadhifa gani ACT Wazalendo? Wanahabari wetu wanaishia tu kutuambia kuwa alikuwa kiongozi wa chama.
  14. P

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi katika nafasi ya civil engineer, foreman na HSE

    ASANTENI SANA TAYARI TUMESHAPATA WAFANYAKAZI KATIKA NAFASI ZOTE TULIZO TANGAZA
  15. JamiiForums Tanzania Je, PhD hewa zipewe kipaumbele kwenye nafasi za uongozi na siasa?

    Miaka ya hivi karibuni Tanzania imekuwa na ongezeko la watumishi wengi wa umma ambao wanaongeza elimu ili kujiweka katika nafasi nzuri za kuwa viongozi katika ngazi mbalimbali za serikali. Asilimia kubwa wakiwa ni watumishi wanaowania Masters na asilimia iliyobaki ni PhD. Hii imepelekea mfumo...
  16. JamiiForums Tanzania SI KWELI Tilisho wametangaza nafasi za wahudumu wa Mabasi yao pamoja na Wakatisha tiketi

    Habari Wadau, Nimekutana na tangazo la kazi likionesha kuwa Kampuni ya usafirishaji ya Tilisho inahitaji Wafanyakazi kwa nafasi ya Wakatisha Tiketi na wahudumu wa ndani ya Mabasi. Nimepata mashaka baada ya kuona ukilifuata tangazo hili ndani yake linahitaji usambaze link kwenye magroup ya...
  17. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi VETA, Machi 2024

    PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT REF.NO. CAC. 79/126/01/489 2nd March, 2024 VACANCY ANNOUNCEMENT On behalf of the Vocational Education and Training Authority (VETA), Public Service Recruitment Secretariat...
  18. JamiiForums Tanzania Abdul Nondo alivyoshinda nafasi ya Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo Taifa

    Abdul Nondo ametangazwa kuwa mshindi wa nafasi ya Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo Taifa kufuatia uchaguzi mkuu wa ngome hiyo uliofanyika jana, Alhamisi Februari 29, 2024 kwenye ukumbi wa Hakainde Hichilema uliopo makao makuu ya ACT Wazalendo (Maalim Seif House) Magomeni, Dar es...
  19. JamiiForums Tanzania Peter Msechu kupewa nafasi ya kutumbuiza Zanzibar?

    Inasemekana baada ya John Komba, Msechu ndio kama karithishwa mikoba . Je Atapewa nafasi ya kutoa wimbo kwa ajili ya Mzee Mwinyi? Ngoja tusubiri .
  20. JamiiForums Tanzania Ungepata nafasi ya kuchagua kuzaliwa wapi na race gani, ungechagua hapo ulipo ?

    Challenge. Binafsi ungepata nafasi ya kuchagua uzaliwe wapi na race gani ? - Je, unge chagua kuzaliwa katika hiyo race uliyopo ? - Je, ungechagua kuzaliwa katika hilo eneo ulilopo( nchi & bara ) ? Binafsi hapana kwa maswali yote. Wewe je ? Na sababu zako zingekuwa ni zipi ?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…