nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Mhadhara wa Uprofesa: Machungu ya MV Bukoba, Dola na soko

    Katika tukio la kipekee ambalo linakipa Kiswahili nafasi iliyopokwa siku nyingi ni tukio la muhadhara wa uprofesa kuendeshwa Kwa lugha ya Kiswahili. Mchango mkubwa wa Profesa Mkandala katika hili siyo jambo dogo. Ni dhahiri kuwa ana mchango mkubwa yeye binafsi na kupitia historia yake ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ndugu yangu Freeman Mbowe jiandae, Tundu Lissu anajiandaa kupambana na wewe kwenye nafasi ya Uenyekiti

    Hii kumchangia changia ili anunue gari ni danganya toto tu lkn ukweli ni kuwa Maria na wanaharakati wenzake ndani ha Chadema wanamshawishi Lissu agombee uenyekiti wa Chama wakidhani kwa akili zao finyu ana uwezo wa kuingiza watu barabarani na kuiondoa serikali kwa njia za kihuni. Kumchangia...
  3. Smt016

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya pili inatafutwa kwa kila namna hata kwa magoli ya offside

    Humu kulikuwa na wimbo wa waamuzi kuwabeba timu fulani ili kubeba ubingwa, lakini waimba wimbo huo hawaonekani pale timu yao ya Simba ikibebwa na waamuzi na kupata matokeo. Leo Simba imepata point 3 kwa goli la offside, wakati Freddy Michael funga funga anapokea mpira alikuwa katika eneo la...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Azam Fc nafasi ya pili ni ya kwao iwapo wataamua kushinda vishawishi vya simba

    Naushauri uongozi wa Azam kuitetea Brand yao. Hata kama kuna baadhi wana vinasaba na Kolo. Haiwezekani Klabu yenye rasilimali muhimu katika soka halafu inasuasua kama Mtibwa na Ihefu. Mechi 3 zilizobaki ikitokea Azam afungwe au atoke sare ITAKUWA NI UJINGWA ULIOPITILIZA
  5. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Waziri ana nafasi ya kujua mambo mengi, wanayosema wanakuwa wameshauriwa na wataalamu wengi. Hawasemi tu kwa kuropoka

    Kwanini unchallenge mtu wa rais? Mnaoponda Waziri wa Rais maana yake hapo una mchallenge Rais na Rais hapingwi. Ukimdharau mtu pengine awe na madhaifu ndio tumpelekee Rais ili akae na watu wake. Washauri wake mtaandika mengi ila Waziri hata kama angekuwa na elimu ndogo ana washauri wake...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Leo ukipewa nafasi ya kuwa Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira utafanya nini kuongeza Ajira nchini?

    Mara nyingi tumekuwa tukishauri viongozi vitu vya kufaya ili kusaidia maboresho katika Wizara na Serikali kwa ujumla. Sasa leo ukipewa wewe nafasi ya kuwa Waziri wa Kazi na Ajira, utafanya nini cha tofauti ili kusaidia kuongeza Ajira katika nchi yako?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tunaisaka nafasi ya pili kwa udi na uvumba na tukishaipata TFF ,mtutaeleza kwanini Yanga imefungiwa na FIFA kusajili vinginevyo itakuwa kama Sigara

    Sisi sasa hivi tumeweka kiporo hoja ya Yanga kufungiwa kusajili kutokana na kumchezea mfumo, lakini tutakapomaliza nafasi ya pili mtatueleza ilikuwaje kuwaje hadi mkafungiwa, tumeshaandaa wanasheria kabisa wa kushughulikia hoja hiyo na wametuhakikishia ushindi upo dhidi ya uhuni katika soka hapa...
  8. vvvv

    JamiiForums Tanzania Je Coastal Union akishika nafasi ya nne ataenda kombe la shirikisho?

    Wakuu naomba kufahamu, Je iwapo Coastal Union akabaki kwenye nafasi ya nne ligi kuu ataenda kushiriki kombe la shirikisho Africa? Je bingwa wa CRDB Confederation akiwa Azam au Coastal ataenda club bingwa au shirikisho? Na je Yanga kama bingwa wa ligi kuu na akawa wa bingwa wa shirikisho...
  9. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Waambien Azam,huwez kua unataka kumaliza nafasi ya pili halaf unacheza kwa kumdharau mpinzani

    Habara mwanajukwaa la michezo. Kiukweli nianze kwa kusema maneno mafupi tu Azam haistahili kucheza Champions League msimu ujao..Mi shabiki wa mpira naufahamu mpira vizur. Jana baada ya ile Half time nilienda kwa mshikaji wangu wa M-Pesa nikata kuweka 50k ila akasema kwa sababu ya protocal zake...
  10. Ileje

    JamiiForums Tanzania Azam inatakiwa ihamie Zanzibar ili ipate mataji na nafasi za kucheza kimataifa

    Azam inaonekana timu kubwa katika makaratasi lakini ukweli ni timu ndogo kutokana na viongozi waliopo na hata wajao. Kuendelea kubaki kucheza mechi za ligi zinazoandaliwa na TFF kutaimaliza kabisa Azam. Hivyo ni vema ikahamia Zanzibar ambako itapata ufuasi mkubwa na kuna timu nyoronyoro ambazo...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania B Dozen (B12) achukua nafasi ya Captain G Habash kwenye Jahazi

    Kituo cha Redio cha Clouds FM kimetangaza kuwa Mtangazaji wa Show ya Mchana (XXL), Hamis Mandi (B Twelve) atamrithi aliyekuwa Meneja na Mtangazaji wa Show ya Jioni ya Jahazi marehemu Gadner G. Habash aliyefariki wiki chache zilizopita. Ikumbukwe, B 12 ni zao la Gadner kwenye utangazaji ambapo...
  12. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Masoud Djuma: Sio rahisi kucheza na kupata matokeo dhidi ya timu inayotafuta nafasi ya pili

    Kocha wa Tabora United Masoud Juma akihojiwa mara baada ya match na 5imba aka Ubuntu Botho amesema sio rahisi kupata matokeo na timu inayotafuta nafasi ya pili,amesema hayo baada ya timu yake kunyimwa goli halali mnamo dakika ya 77 ya mchezo. Source: Kwa hisani ya Tatu Malogo.
  13. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kocha Mgunda ana moyoo ati badoo tuko kwenye nafasi ya ubingwa

    Dahhhhhh dunian tamuu Sanaa Namsikia redion mgunda l kocha anasemaa hakuna shidaa badoo tukoo kwenye nafasi ya kuchukua ubingwa wala atujakata tamaaa kha
  14. H

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kinana, Kama uchaguzi sio tume, basi wapinzani wapewe nafasi ya kuunda tume ya uchaguzi

    Tumemsikia Kinana akisema uchaguzi sio tume, na kwamba hoja ya wapinzani kulilia tume huru haina mashiko. Kama Kinana na CCM wanaamini hivyo, embu wajaribu kuwapa fursa wapinzani kipindi hiki waunde tume ya uchaguzi. Kama watakuwa tayari kwa hili tutaamini kauli ya Kinana kuwa uchaguzi sio...
  15. Smt016

    JamiiForums Tanzania Vita ya nafasi ya pili imepamba moto haswa

    Mechi baina ya Simba dhidi ya Azam ndio itakayotoa mwanga ni timu ipi inaweza kucheza klabu bingwa msimu ujao. Azam wakiwa wameshuka dimbani mara 25 wakijikusanyia alama 57 wanapigana vita dhidi ya Simba ambayo imecheza michezo 24 wakiwa na point 53. Timu hizo zitakutana wenyewe kwa wenyewe...
  16. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Vijana waandaliwe katika mazingira rafiki ili waweze kutambua nafasi yao katika kuleta maendeleo katika jamii

    Katika ulimwengu unaobadilika haraka leo, kuwawezesha vijana ni muhimu kuliko wakati wowote. Vijana wanawakilisha mustakabali wa jamii, na sauti zao, mawazo, na hatua zao zina uwezo wa kuleta mabadiliko chanya. Hata hivyo, ili kutumia uwezo huu, ni muhimu kutekeleza mikakati ambayo inawapa...
  17. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema: Nikiwa na Wenje, Heche na Msigwa makamu Tundu Lisu alituhakikishia Nafasi atakayogombea Mbowe basi Yeye hatachukua fomu!

    Godbless Lema ameandika ukurasani X Halafu wakitoka hapo wanasema CCM inatoa Fomu Moja Siasa za Tanzania pasua kichwa sana aiseee ==== Nimeona andiko la BOB Wangwe na maandiko mengine ya watu wengi pamoja na ushauri wake. Jibu langu kwenu ni hili ,tukiwa Arusha mahali fulani kwenye...
  18. Lumbi9

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi

    Location ni kinondoni Morocco kwenye majengo ya Morocco Square, mengineyo yanajieleza hapo kwenye bango.... Kama huelewi unaibuka tu utajieleza hukohuko sio mpaka uitwe
  19. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Media ni Mhimili Muhimu kama ile mitatu ila ni dhaifu kiuchumi. Je, imefika wakati wapewe Ruzuku au iachwe ipambane na hali yake?

    Wanabodi Wiki hii nzima, nimekuwa jijini Dodoma kuhudhuria mikutano 3 muhimu ya mambo ya habari. Tulianza na Mkutano Mkuu wa 13, wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Mgeni rasmi ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dotto Biteko. Ukaja Mkutano wa Baraza la Habari Tanzania...
  20. BabuKijiko

    JamiiForums Tanzania Simba akipoteza mchezo wa leo dhidi ya Mtibwa sugar siawaoni nafasi ya pili NBC PL

    Simba akipoteza mchezo wa leo dhidi ya Mtibwa sugar siwaoni nafasi ya pili nbcpl msimu huu 2023/2024 Simba watacheza leo mchezo wao mwingine wa ligi kuu ya NBCPL na ikitokea kupoteza mchezo wa leo atakuwa na wakati mgumu wa kumaliza nafasi ya pili msimuu huu. kwahiyo Kocha Mgunda anakazi kubwa...
Back
Top Bottom