Aen Urner
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 388
- 380
Kuna interview nimeitwa hapo kiwandani, mwenye idea na hicho kiwanda kuhusu hali ya maisha (huduma muhimu) huko, nimeambiwa kipo kibaha, vipi kuhusu utamaduni wa kampuni husika kama unafanya/ulishawahi fanya hapo kazi n.k
Mawazo/michango yenu inahitajika
Karibu.
Mawazo/michango yenu inahitajika
Karibu.