nafaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    JamiiForums Tanzania Mwenye ufahamu kuhusu biashara ya kuku wa kienyeji au nafaka kutoa Dodoma kuja Dar es Salaam

    Mwenye Ufahamu Juu Ya Biashara Ya Kuku Wa Kienyeji Au Nafaka Kutoa Dodoma Kuja Dar es Salaam. Naomba Tuwasiliane
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha kusaga na kukoboa Mahidi kilichopo Mbezi Louis DSM kinakodishwa

    Kiwanda kipya cha kusaga na kukoboa nafaka kilichopo Mbezi Luis DSM kinakodishwa. Kiwanda hiki kina machine za kusaga, kukoboa, na kupeta mahindi. Pia kina machine ya kushona mifuko/viroba. Kina uwezo wa kusaga Tani moja kwa kila lisaa. Pia kuna godown/stoo ya kuhifadhi nafaka tani zaidi ya...
  3. MKEHA

    JamiiForums Tanzania Sakata la mahindi litaondoka na serikali?

    Kumekuwa na kelele sana juu ya anguko la bei ya mahindi kote nchini. Kiasi ambacho imebidi CCM iingilie kati. Nimewaona wabunge wote hasa wa CCM wakionyesha kutorodhishwa kwao jinsi NFRA inavyonunua mahindi toka kwa wakulima. Ongezekeo hili la wingi wa mahindi ni mwitikio wa wakulima kwani...
  4. Reginald L. Ishala

    JamiiForums Tanzania Hizi mboga na nafaka kiingereza chake ni kipi?

    Habari za muda huu wa wanaJF! Kama yalivyo maelezo hapo juu. Naomba kufahamu kwa Kiingereza majina ya mboga na nafaka zifuatazo:- Mlenda, Bamia, Nyanyamshumaa, Mchicha, Kunde, Mbaazi, Dengu, Majani ya Kunde, Matembele, Bilinganya, Msusa, Figiri, Choroko, na Pilipili Hoho. Natanguliza...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Wapi hapa Dar naweza kupata motor/mashine bora zaidi za kusaga nafaka?

    Habari zas sasa, Naomba kujua kutoka kwa wabobezi humu, wapi hapa Dar naweza kupata motor/mashine nzuri kwa ajili ya kusaga na kukoboa nafaka? Aina ipi ya ya motor, na vifaa vingine associated ni bora zaidi? Bei ni kiasi gani, na duka gani ambalo halina vifaa fake na la kuaminika naweza...
  6. MWAMUNU

    JamiiForums Tanzania Kipo wapi kiwanda cha kutengeneza viroba vya kuhifadhia nafaka?

    Naombeni msaada wandugu. Nataka kujua kilipo kiwanda Cha kutengeneza mifuko ya plastic yaani Yale maroba kama yale wanauzia mkaa na kuhifadhia mahindi. Natanguliza shukrani.
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa Milioni 5, ninaomba mwongozo biashara ya nafaka

    Habari za mchana. Naomba msaada wa mwongozo kuhusu biashara ya nafaka. Nipo Mwanza. Mtaji wangu milioni tano. Naomba kupata dondoo zote ikiwemo changamoto na wapi nitachukua mzigo kuja kuuza
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mchele ndiyo nafaka inayoliwa zaidi duniani ikifuatiwa na ngano

    Mchele uligundulika miaka 15,000 iliyopita katika mabonde nchini ya milima huko China na Brazil. Mbegu za awali Brazil zilipotea wenyeji hawakuwa makini sana katika kilimo cha mpunga. Mchele ni nafaka iliyowatajirisha wafanyabiashara kwa miaka mingi. Miaka ya mwanzoni mchele ulikuwa ni...
  9. YoungIsrael

    JamiiForums Tanzania Mnunuzi wa nafaka hasa Mahindi

    Awali ya yote npende ktanguliza salamu, kwa yeyote mwenye connection za biashara za nafaka hasa mahindi, yaani nahitaji kuwa mnunuzi wa jumla kwa sehemu kama Geita, Rukwa na Shinyanga
  10. Star onair

    JamiiForums Tanzania Natafuta partner wa kusafirisha naye mazao ya nafaka

    Habar zenu jamani. Kama kuna mtu anauzoefu wa kusafirisha mazao kwa kutumia mafuso katika mikoa hii Morogoro, Mbeya na Iringa. We can join together na ku-transport mzigo. Nimechoka Kusafirisha mahindi kwa njia ya bus coz inanifanya nashindwa kusupply mzigo mwingi. Kwa wiki najikuta naleta...
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Choo ni kipimo cha ustaarabu katika jamii

    Choo ni sehemu ya muhimu sana, iwe nyumbani, hotelini, ofisini, sokoni, safarini, nk. Utunzaji wa choo unahusisha usafi wake. Ukitaka kufahamu ustaarabu wa jamii angalia mpango lip wa vyoo na usafi wake. Hata uishi kwenye nyumba yenye thamani ya mabilioni, kama choo chako ni kichafu...
  12. B

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mashine ya kusaga na kukoboa nafaka

    nauza mashine ya kusaga na kukoboa nafaka aina ya deer kutoka India. unauziwa mashine ikiwa na mota zake pamoja na control boxes na switches na waya za kutoka kwenye mota kwenda kwenye control boxes na switches mota zake ni made in german na moja ni ya hp 50 na nyingine ni hp 30 na zote ni nzima...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa siku 14 kwa Bodi ya Nafaka kukamilisha malipo ya Wakulima wa Korosho

    Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga ametoa siku 14 kwa Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Nafaka na Mazao mchanganyiko Dkt Anslem Moshi kukamilisha malipo ya wakulima wote waliouza korosho msimu wa mwaka 2018/2019. Waziri Hasunga ametoa agizo hilo wakati alipotembelea na kukagua shughuli za utendaji kazi...
  14. Bhbm

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Ninaomba kujuzwa wanajf wenzangu, je ni nafaka aina gani zinaweza kuwa na soko zuri hapa mjini Dar? Na je ni mtaji kiasi gani naweza kuanzia nao? Natanguliza thanks. WADAU WANAOHITAJI MIONGOZO KUHUSU BIASHARA HII IFAHAMU BIASHARA YA MAZAO YA CHAKULA Haijalishi watu ni masikini kiasi...
  15. miamiatz

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa tzs milioni 10 biashara kwa wale walio busy sana yenye faida ya tzs 1.5m

    A friend of mine aliguswa na makala yangu ya biashara ya nafaka kwa wenye mtaji mdogo. Alipoguswa akaamua kuingia kwa akiba yake ya TZS 10M aliyokuwa nayo benki. Akanunua gunia 300 kwa wastani wa TZS 30,000 kwa gunia. Alitumia TZS 1M kwenye madawa na usafiri. Alikuwa na room aliyoiita ya wageni...
Back
Top Bottom