nafaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Nafaka hizi zinahitajika haraka

    Habari, Nahitaji Nafaka Hizi Hapa Chini. Ulezi Msafi (Grade 1) Tone 20 Ufuta Msafi (Grade 1) Tone 20 Weka Namba Za Simu Nikupigie Kama Una Nafaka Husika Na Mmiliki Mwenyewe
  2. L

    JamiiForums Tanzania Wizi wa nafaka na mafuta ya Syria, “polisi” amegeuka kuwa “mwizi”?

    Shirika la Habari la Syria hivi karibuni liliripoti kuwa jeshi la Marekani "limeiba" kiasi kikubwa cha ngano kaskazini mashariki mwa nchi hiyo na kuisafirisha kwenye kambi yake ya kijeshi nchini Iraq. Katika miaka ya hivi karibuni, jeshi la Marekani ambalo linajidai kuwa “polisi duniani”...
  3. Kizibo

    JamiiForums Tanzania Natafuta wauza nafaka kwa jumla jijini Mwanza

    Habari za mchana wakuu. Mimi niko ukerewe-Nansio. Natafuta wafanyabishara wa nafaka wa jumla walioko jijini Mwanza. Nafaka ninazotaka ni kama vile maharage, karanga, kunde, dengu, choroko n.k Nataka wawe wananitumia mzigo kwa njia ya meli. Asante. Halafu moderators mbona mnafuta sana nyuzi...
  4. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Wachuja Nafaka Na Albamu Yao Kali Kuwahi Kutokea Tanzania

    WACHUJA NAFAKA Tusisubiri Wapotee wote.....ndiyo tuseme waliwahi kutoa Moja ya Albamu kali, Narudia Tena Albam kali kuwahi kutokea Tanzania. Fatilia Uzi Huu utajua kwanini nakuambia Ilikuwa moja ya Albam Kali Tanzania. WACHUJA NAFAKA lilikuwa kundi la Muziki wa RAP lililoundwa na wasanii Juma...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta kifaa cha kupimia ukavu wa mahindi na nafaka

    Habari natafuta kifaa cha kupimia ukavu wa nafaka, yaani kupima mahindi au nafaka nyingine zimekauka au zina ubichi kiasi gani Anayejua vinapatikana na bei zake anijuze
  6. HERY HERNHO

    JamiiForums Tanzania Erdogan amshukuru Putin kwa kurefusha mkataba wa nafaka

    Rais wa Uturuki, RecepTayyip Erdogan amefanya mazungumzo na Rais wa Urusi Vladmir Putin na kujadili namna ya kuboresha mahusiano kati ya mataifa yao Katika mazungumzo yao ya Jumamosi, yaliyofanyika kwa njia ya simu, viongozi hao wamejadili pia juu ya yanayoendelea katika vita nchini Ukraine...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Muhuni akopa milioni 50 CRDB awaachia pumba likidhaniwa ni duka la nafaka

    Muhuni akili mingi inadaiwa kama inavyoonekana kwenye video kuwa amekopa milioni 50 CRDB kwa kuwa alijua lazima wakague biashara yake, aliweka magunia mengi yakionekana yana nafaka kumbe ni uchafu tu, na yeye ametokomea yaani ameyeya.
  8. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Ngano ni nafaka hatari sana

    Ngano ni nafaka hatari sana na watz wengi hatufahamu. Tofauti na nafaka zingine kama mahindi, ulezi, mtama na mchele, ngano ina aina fulani ya protin inayoitwa Gluten. Protin hii ndiyo hufanya ngano ikikandwa iwe kama banzoka wakati ukikanda unga wa mahindi hauwi namna ile. Sasa hii protin...
  9. New HIZ O

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kupeleka nafaka nije ya nchi

    Mimi ni kijana mwenye umri wa 30 ninamtaji wa milion 8 .Nilikuwa naomba ushaur, muongozo na jinsi gani ya kufanya biashara ya nafaka kupeleka nije nchi .Asanteni
  10. OLS

    JamiiForums Tanzania Kulikuwa na upungufu wa tani 44,342 za nafaka mwaka 2021/22

    Mwaka wa fedha 2021/22 ulikumbwa na uhaba wa nafaka kama ambavyo imeripotiwa na Benki Kuu ya Tanzania kuwa katika mwaka huo kulikuwa na uhitaji wa chakula tani 9,537,752 hata hivyo tuliweza kuzalisha tani 9,493,410 ambapo tofauti ni tani 44,342. Suala la kuwa na upungufu wa chakula limeripotiwa...
  11. Ubungo Mataa

    JamiiForums Tanzania Biashara ya bodaboda vs biashara ya duka la nafaka na mahitaji ya nyumbani

    Wanabodi.. Heshima mbele! Moja kwa moja kwenye msada, kuna 10M iko mahali, nawaza niiweke wapi kati ya kununua bodaboda nne niwape watu wakuleta hesabu kwa siku/ week ama nifungue duka ambalo roughly litakuwa kama la 8M maana 2M itaendwa kwenye running cost na kodi. Msaada!
  12. Philemon2008

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya nafaka

    Habari za wakati huu wapendwa. Naomba kufahamu Bei halisi ya ununuzi wa gunia za Mahindi, mchele, maharage. Pia gharama za usafirishaji kutoka mikoa mbali mbali Nchini Tanzania 🇹🇿 Asante.
  13. Mkulima na Mfugaji

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha Mama Samia ndio kipindi cha Wakulima wa Mazao ya Nafaka kutoka kimaisha

    Tokea Awamu hii iingie Madarakani naona imeamua kuwachia wakulima hasa wa nafaka wanufaike, kila siku ukienda sokoni bei ya nafaka iko juu, kwani mipaka imefunguliwa na ukichanganya na Athari za mabadiliko ya Tabia ya nchi. Kama Mkulima umeweza kuhifadhi angalau gunia 20 za Mahindi mwezi...
  14. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Uturuki na Urusi wakubaliana kupeleka nafaka bila malipo kwa nchi Masikini - Erdogan

    Wapokeaji watakuwa nchi maskini kama vile Djibouti, Somalia, na Sudan, Ankara inasema Marais wa Urusi na Türkiye walikubaliana katika simu ya hivi majuzi kuhusu kutuma nafaka kwa mataifa maskini zaidi duniani bila malipo, kiongozi wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, amefichua. Alisema hayo...
  15. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Bei ya ngano yapanda juu baada ya mpango wa nafaka wa Bahari Nyeusi kuvurugwa

    Urusi ilisitisha makubaliano hayo baada ya Ukraine kushambulia meli zilizokuwa zikihakikisha usalama wa njia za baharini. Hatima ya ngano iliongezeka kwa karibu 8% siku ya Jumatatu baada ya Urusi kujiondoa kutoka kwa makubaliano ya usafirishaji wa nafaka na Ukraine kufuatia shambulio dhidi ya...
  16. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Tusipotoshe: Meli za nafaka zilizoondoka jana zilikuwa ndani ya eneo la Uturuki

    Quote: "On Monday, the Joint Coordination Centre (JCC) in Istanbul said the UN, Türkiye and Ukraine had agreed on a movement plan for 16 vessels that are located in Türkiye's territorial waters despite Russia’s decision to suspend the deal." Tuache upotoshaji wa Simba na Yanga hasa kwa Pro West...
  17. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Nataka kujua mawili matatu kuhusu biashara ya nafaka mpakani sirali (mpaka wa mara na kenya)

    Habari za muda huu wakuu, Swali kutoka kwa mwanetu yeye ana Account JF "Naomba kuuliza bei ya sasa ya maindi, maharagwe na mchele mpaka ni sirari" Mwisho wa nukuu
  18. Jelavic

    JamiiForums Tanzania Ziko wapi nafaka za Ukraine mlizo dai ni kwaajili ya nchi masikin na zinazoendelea?

    Tukirudi nyuma kidogo, Tareh 22/6/2022 urusi na Ukraine kwa usimamizi wa uturuki na umoja wa mataifa waliingia mkataba wa makubaliano ambao urusi iliridhia nafaka za Ukraine ziruhusiwe kutoka Ukraine kupitia bahari nyeusi kwaajili program ya umoja wa mataifa ya kuhami nchi masikini dhidi ya...
  19. Balozi limited

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuanzisha na kufanya biashara ya nafaka

    Ndugu zanguni naomba kueleweshwa na kupata uzoefu wa namna ya kuifanikisha biashara ya kuuza nafaka kwenye frem, mfano Michele, unga, marage, dengu nk. Naomba kuelewa 1. Risks zake 2. Faida yake 3. Mtaji wake 3. Mahali pazuri kokote tz 4. Masoko na mauzo jumla na rejareja That is all...
  20. Balozi limited

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wenye ujuzi wa biashara ya nafaka

    Naomba kujuzwa namna ya kufanya biashara ya nafaka, kufungua frem kuuza nafaka kama vile Michele, Unga, kunde, maharage nk Nijue namna inavyofanywa, risk zake, naweza pata haswa wapi, mtaji, masoko, faida nk any thing about it. Thanks
Back
Top Bottom