mzee

An honorific is a title that conveys esteem, courtesy, or respect for position or rank when used in addressing or referring to a person. Sometimes, the term "honorific" is used in a more specific sense to refer to an honorary academic title. It is also often conflated with systems of honorific speech in linguistics, which are grammatical or morphological ways of encoding the relative social status of speakers. Honorifics can be used as prefixes or suffixes depending on the appropriate occasion and presentation in accordance with style and customs.
Typically, honorifics are used as a style in the grammatical third person, and as a form of address in the second person. Use in the first person, by the honored dignitary, is uncommon or considered very rude and egotistical. Some languages have anti-honorific (despective or humilific) first person forms (expressions such as "your most humble servant" or "this unworthy person") whose effect is to enhance the relative honor accorded to the person addressed.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    JamiiForums Tanzania Mzee Shamte umenyamazishwa lakini haki ni asili, itadaiwa tu

    Haki daima huwa ni ya asili ni vigumu kuzuia isidaiwe. Sheria ya maisha ya binadamu huonesha ukweli huo. Marekani walidhani kuwa kumuua Martin Luther King na Malcolm X watakuwa wamefanikiwa kunyamazisha ujumbe wao. Likawa ni kosa lililofanywa na CIA, wakaibuka wapigania haki wengine wa miaka ya...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Dah! kwahiyo wadau Mzee Yusuph ndo basi tena na taarab yake!

    Hasikiki kabisa huku mtaani, japo nilimuona katika TV kama mwezi au miezi miwili hivi iliyopita akihojiwa. Licha ya kulirejesha jina la zamani la Jahazi (maana alirudi na Safina) katika bendi bado mirindimo haisikiki kabisa huku mtaani. Nini hiki jamani ili wengine wajifunze?
  3. JamiiForums Tanzania Yusuf Bakhressa na Mzee Bakhressa hiki ndicho kinaisibu Azam FC yenu kwa 99%

    1. Kuna wapigaji wengi. 2. Kuna wanafiki wengi. 3. Kuna Uyanga na Usimba mwingi. 4. Kuna usaliti na kutumika kuanzia kwa viongozi na wachezaji. 5. Majungu mengi kutoka kwa wachezaji wazawa na mafaza. 6. Ushirikina na kurogana sana. 7. Mchoyo wa kuhonga kwa waamuzi (marefa) ambao wanahongwa...
  4. JamiiForums Tanzania Moshi: Mzee wa miaka 70 akatwa uume

    Katika hali ya kustaajabisha mzee wa miaka 70, mkazi wa kijiji cha Uru Shimbwe, mkoani Kilimanjaro, Uruban Paul amevamiwa nyumbani kwake usiku na watu wasiojulikana na kisha kumkata sehemu zake za siri. Akielezea tukio hilo lililotokea Oktoba 16, mzee huyo alisema kuwa alikuwa akitoka kwenda...
  5. JamiiForums Tanzania Mzee Mpili wa Ikwiriri kwa Mkapa umeenda kufanya nini?

    Hawa jamaa zetu mpira umeshawashinda, kazi kutumia wazee wacheze nje ya uwanja, watakuja kufa bure. Wewe siyo mchezaji unakuja kuangalia nini? Hawa utopolo humu ndipo walipowekeza; uchawi, uchawi, uchawi, tu! Na waarabu hawarogeki "Mbwa nyinyi". - Lucy Eymael
  6. JamiiForums Tanzania TANZIA Mzee Mwinyihaji Makame Mwadini afariki dunia

    Inna lillah waina ilayhi rajiun Mhe Mwinyi Haji Makame ametangulia mbele ya haki saa hivi ameanguka ghafla nyumbani kwake amekimbizwa hospital hakufika. Marehemu ni Mwakilishi wa ACT zanzibar
  7. JamiiForums Tanzania Mzee Wenger Alikua na Jicho sana

    Hii ni Mwaka 2013 Mzee wenger alimuona Big Benz kipindi Hicho akataka kumsajili. Jana Big Benz katwaa Mpira wa Dhahabu...Huenda labda matajiri wa Arsenal wangekubali kile alichokua anakiona mzee wenger Jana Tungeshuhudia Mchezaji wa Arsenal Akitwaa Mpira wa Dhahabu😂😂
  8. JamiiForums Tanzania Huyu mzee anamaliza kwa vitimbi sana maisha yake akiwa ikulu!

    Pascal Mayalla ... hii uliwahi kukutana nayo kweli ?
  9. JamiiForums Tanzania Maana ya maneno niliyoambiwa Mzee Afande

    Kuna kipindi wakati niko Rombo nakumbuka nilienda kumuoji mzee mmoja anaitwa mzee Afande kuhusu maswala ya zamani. Yule mzee alinambia kuwa kat ka maisha yake amemwona babu yangu (nami namfahamu), baba yake babu yangu (alifariki 1983 simfahamu) na babu yake baba yake babu yangu (simfahamu). Na...
  10. JamiiForums Tanzania Sitaki nifike mbali leo nataka niongee na mzee nimwambie jambo

    nimemaliza chuo mwaka 2005 . nikafanya kazi maeneo kadhaa wakinizingua naacha. huwa sipendi kuzinguliwa kazini. kwahiyo usitegemee uniajiri alafu ulete za kuleta eti nikuache kama sijakuwamba makofi basi naweza kukupa maneno hauwezi kunisahau maisha yako yote mpaka unadead. so kuna sehemu...
  11. JamiiForums Tanzania Mjue Paul Biya, Rais mzee zaidi Barani Afrika

    PAUL BIYA: RAIS MZEE ZAIDI BARANI AFRIKA Jina kamili: Paul Barthélemy Biya'a bi Mvondo Ana miaka 89 Ni Rais wa Cameroon tangu Novemba 6, 1982 Amewahi kuwa Waziri Mkuu kwa miaka 7 2008 Aliondoa Ukomo wa kukaa Madarakani ili atawale kwa muda anaotaka 2018 alishinda Urais kwa 80% dhidi ya...
  12. JamiiForums Tanzania Afande Meki wa Oyster Bay Polisi, kwa kumrusha kichura babu yangu (73) lazima upatwe na la kukupata

    Afande Mecky, mwembamba mrefu na mweupe, ulikuwa bodyguard wa RPC, juzi umemusha babu yangu kichura na umri wake wa miaka 73. Mzee sasa anaumwa na hawezi hata kwenda kujisaidia haja ndogo. Sababu ya mateso yote hayo eti kapita kwenye nyumba za polisi. Sisi mambo ya shirki hatuna na hatuyajui...
  13. JamiiForums Tanzania Pwani: Mzee wa miaka 80 aanza shule wilayani Kisarawe ili ajue kusoma

    Mzee Ramadhan Rashid mwenye umri wa miaka 80, mkazi wa wilayani Kisarawe, amekuwa mmoja kati ya watu 300, waliojitokeza kuanza shule ya awali inayotolewa kupitia mpango wa elimu ya watu wazima MUKAJA na ule wa waliokua nje ya mfumo rasmi wa elimu MEMKWA. Mzee Ramadhan, amejiunga na wenzake...
  14. JamiiForums Tanzania Mzee wa Upako: Watanzania hawana ustashi kuchangia maendeleo ya nchi yao

    Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) nchini Tanzania, Anthony Lusekelo ‘Mzee wa Upako’ ameonyesha sura mbili katika sakata la tozo za miamala ya kielektroniki. Amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imeonyesha usikivu kwa umma baada ya kupungua na kufuta...
  15. JamiiForums Tanzania Mzee mwenye miaka 52 afungwa miaka 30 kwa kubaka mtoto wa miaka 7

    Hukumu hiyo imetolewa na Mahakama ya Wilaya ya Kiteto dhidi ya Charles Lemje mwenye miaka 52, Mkazi wa Kijiji cha Pori Namba Moja mbele ya Hakimu Mosi Sasy. Mshtakiwa alikumbushwa kosa lake na Mwendesha Mashtaka wa Serikali Willfred Mollel kuwa Septemba 23, 2021, alimbaka mwanae wa kufikia...
  16. JamiiForums Tanzania Mzee wa mikwara alimaanisha nini hapa????

    'Eti' ni kweli???????? In Friday's comments, Mr Putin threatened a "more serious" response if Ukrainian attacks continue. "I remind you that the Russian army isn't fighting in its entirety... Only the professional army is fighting." Source:BBC
  17. JamiiForums Tanzania Mzee wa miaka 60 akiri kulawiti mtoto wa miaka 7, afungwa jela maisha

    Mzee wa miaka 60, Dickson Njau au ‘Babuu Saluu’, mkazi wa KDC Mbokomu katika wilaya ya Moshi, amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kukiri kosa la kumlawiti mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka saba. Mshitakiwa ambaye hakuisumbua mahakama, alikiri kumwingiza mtoto huyo chumbani, kumvua...
  18. JamiiForums Tanzania Ni muhimu sana Mzee Hafidh kuambatana na mama Samia kesho nchini Kenya

    Bila shaka nadhani kesho mama Samia aende na mzee Hafidhi katika sherehe za kuapishwa Rutto. Siti mbili zaidi kwenye ndege sio mzigo mkubwa Sana kwa taifa. Sio kwa sababu binafsi ila ni sababu za kidiplomasia zaidi. Uwepo wa Hafidhi utasaidia katika kufungua nchi.
  19. S

    JamiiForums Tanzania Pinda: Badala ya kuwaza maendeleo, tunawaza nani atakuwa Rais 2025

    Pia Aliwahi kusema "hakuna namna wapigwe tu".
  20. K

    JamiiForums Tanzania Huyu mzee kwanini hataki kuzeeka?

    Anajiita babloon kisauji, vitu anavyofanya huko Instagram na umri wake haviendani kabisa. Ni utoto na ujinga mtupu. Naona anaimba kwenye mabaa tu, anavyoimba vyenyewe hata havieleweki. Sijui hata kama anawashauri huyu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…