Mzee mwenye miaka 52 afungwa miaka 30 kwa kubaka mtoto wa miaka 7

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,364
8,096
Hukumu hiyo imetolewa na Mahakama ya Wilaya ya Kiteto dhidi ya Charles Lemje mwenye miaka 52, Mkazi wa Kijiji cha Pori Namba Moja mbele ya Hakimu Mosi Sasy.

Mshtakiwa alikumbushwa kosa lake na Mwendesha Mashtaka wa Serikali Willfred Mollel kuwa Septemba 23, 2021, alimbaka mwanae wa kufikia kinyume na kifungu cha 130, kifungu kidogo cha (1) (2) (e) na kifungu cha 131 cha kanuni ya adhabu sura ya 16.

Mshtakiwa aliomba kupunguziwa adhabu kwa madai ya uzee ambapo Hakimu kwa kuzingatia ombi la mshtakiwa na upande wa mashtaka juu ya kukithiri matukio ya ubakaji, alimtia hatiani mtuhumiwa kwa kumpa haki ya rufaa ndani ya siku 30.
 
Wakati wa kubaka hakujiona mzee, lakini wakati anakula mvua kwa pilato anajitetea kama yeye ni mzee...

Hawa watu wangekuwa wanaenguliwa viungo vya siri kabisa iwe moja ya adhabu au wawe wanapondwa pu.mbu na nyundo kabla ya kuingia jela...
 
Hukumu hiyo imetolewa na Mahakama ya Wilaya ya Kiteto dhidi ya Charles Lemje mwenye miaka 52, Mkazi wa Kijiji cha Pori Namba Moja mbele ya Hakimu Mosi Sasy.

Mshtakiwa alikumbushwa kosa lake na Mwendesha Mashtaka wa Serikali Willfred Mollel kuwa Septemba 23, 2021, alimbaka mwanae wa kufikia kinyume na kifungu cha 130, kifungu kidogo cha (1) (2) (e) na kifungu cha 131 cha kanuni ya adhabu sura ya 16.

Mshtakiwa aliomba kupunguziwa adhabu kwa madai ya uzee ambapo Hakimu kwa kuzingatia ombi la mshtakiwa na upande wa mashtaka juu ya kukithiri matukio ya ubakaji, alimtia hatiani mtuhumiwa kwa kumpa haki ya rufaa ndani ya siku 30.
Kuwekwa ndani Kwa ajili ujingaujinga ni kupoteza rasilimali ya matukio,yaan huyo angejitolea kuua fisadi Moja at least kwenda kwakejela kungekuwa na mashiko🙄
 
Ila i hope hajasingiziwa, unajua kwa jinsi wanawake walivyojaa hivi hadi ufikie kubaka mtoto ni kitu kigumu sana
 
Sijui huko jela ataeleza kosa lake ni lipi? Bora angekuwa mwizi ningemuona,wa maana
 
mimi sometimes hua siamini haya mambo maana mtoto wa miaka 7 unakulaje mzigo ?

au hua ni mambo ya visasi vya hapa na pale ?🤔
 
Back
Top Bottom