mzee

An honorific is a title that conveys esteem, courtesy, or respect for position or rank when used in addressing or referring to a person. Sometimes, the term "honorific" is used in a more specific sense to refer to an honorary academic title. It is also often conflated with systems of honorific speech in linguistics, which are grammatical or morphological ways of encoding the relative social status of speakers. Honorifics can be used as prefixes or suffixes depending on the appropriate occasion and presentation in accordance with style and customs.
Typically, honorifics are used as a style in the grammatical third person, and as a form of address in the second person. Use in the first person, by the honored dignitary, is uncommon or considered very rude and egotistical. Some languages have anti-honorific (despective or humilific) first person forms (expressions such as "your most humble servant" or "this unworthy person") whose effect is to enhance the relative honor accorded to the person addressed.

View More On Wikipedia.org
  1. Nazjaz

    JamiiForums Tanzania Afande Meki wa Oyster Bay Polisi, kwa kumrusha kichura babu yangu (73) lazima upatwe na la kukupata

    Afande Mecky, mwembamba mrefu na mweupe, ulikuwa bodyguard wa RPC, juzi umemusha babu yangu kichura na umri wake wa miaka 73. Mzee sasa anaumwa na hawezi hata kwenda kujisaidia haja ndogo. Sababu ya mateso yote hayo eti kapita kwenye nyumba za polisi. Sisi mambo ya shirki hatuna na hatuyajui...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Pwani: Mzee wa miaka 80 aanza shule wilayani Kisarawe ili ajue kusoma

    Mzee Ramadhan Rashid mwenye umri wa miaka 80, mkazi wa wilayani Kisarawe, amekuwa mmoja kati ya watu 300, waliojitokeza kuanza shule ya awali inayotolewa kupitia mpango wa elimu ya watu wazima MUKAJA na ule wa waliokua nje ya mfumo rasmi wa elimu MEMKWA. Mzee Ramadhan, amejiunga na wenzake...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Upako: Watanzania hawana ustashi kuchangia maendeleo ya nchi yao

    Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) nchini Tanzania, Anthony Lusekelo ‘Mzee wa Upako’ ameonyesha sura mbili katika sakata la tozo za miamala ya kielektroniki. Amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imeonyesha usikivu kwa umma baada ya kupungua na kufuta...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mzee mwenye miaka 52 afungwa miaka 30 kwa kubaka mtoto wa miaka 7

    Hukumu hiyo imetolewa na Mahakama ya Wilaya ya Kiteto dhidi ya Charles Lemje mwenye miaka 52, Mkazi wa Kijiji cha Pori Namba Moja mbele ya Hakimu Mosi Sasy. Mshtakiwa alikumbushwa kosa lake na Mwendesha Mashtaka wa Serikali Willfred Mollel kuwa Septemba 23, 2021, alimbaka mwanae wa kufikia...
  5. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Mzee wa mikwara alimaanisha nini hapa????

    'Eti' ni kweli???????? In Friday's comments, Mr Putin threatened a "more serious" response if Ukrainian attacks continue. "I remind you that the Russian army isn't fighting in its entirety... Only the professional army is fighting." Source:BBC
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mzee wa miaka 60 akiri kulawiti mtoto wa miaka 7, afungwa jela maisha

    Mzee wa miaka 60, Dickson Njau au ‘Babuu Saluu’, mkazi wa KDC Mbokomu katika wilaya ya Moshi, amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kukiri kosa la kumlawiti mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka saba. Mshitakiwa ambaye hakuisumbua mahakama, alikiri kumwingiza mtoto huyo chumbani, kumvua...
  7. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Ni muhimu sana Mzee Hafidh kuambatana na mama Samia kesho nchini Kenya

    Bila shaka nadhani kesho mama Samia aende na mzee Hafidhi katika sherehe za kuapishwa Rutto. Siti mbili zaidi kwenye ndege sio mzigo mkubwa Sana kwa taifa. Sio kwa sababu binafsi ila ni sababu za kidiplomasia zaidi. Uwepo wa Hafidhi utasaidia katika kufungua nchi.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Pinda: Badala ya kuwaza maendeleo, tunawaza nani atakuwa Rais 2025

    Pia Aliwahi kusema "hakuna namna wapigwe tu".
  9. K

    JamiiForums Tanzania Huyu mzee kwanini hataki kuzeeka?

    Anajiita babloon kisauji, vitu anavyofanya huko Instagram na umri wake haviendani kabisa. Ni utoto na ujinga mtupu. Naona anaimba kwenye mabaa tu, anavyoimba vyenyewe hata havieleweki. Sijui hata kama anawashauri huyu.
  10. Slowly

    JamiiForums Tanzania Mzee wa tozo Enzi hizo akiwa Shule

  11. M

    JamiiForums Tanzania Nabi: Mrudishe mzee wa kazi chafu Yanick Bangala acheze number 6, Bigirimana na Aucho watakufelisha mapema

    Wakuu salama, Nimeangalia mechi ya timu yangu pendwa ya wananchi jana nikagundua beki yetu inaonekana mbovu na kujichanganya simply because viungo wakabaji hawafanyi kazi yao vizuri Bigirimana na Aucho ni wazito sana wanashindwa kuendana na kasi za vijana! Nabi mrudishe Bangala number sita...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wale wana Simba SC tuliomchoka CEO Barbara Gonzalez na Upuuzi wake tujuane ili Kesho tukaiteke Timu tumpe Mzee Bakhressa tupumzike na Kero

    Andika ID yako hapa au nifuate PM ili tukamilishe hili Zoezi kwani wana Simba SC tumeshavumilia vya kutosha kufanywa Wapumbavu na Fidodido Mifito Mingoko Mmoja tu. Imetosha sasa. Nina hasira sana!!!!!
  13. Vugu-Vugu

    JamiiForums Tanzania MADINI: Dotto Biteko uso kwa uso na Mzee Kinana, atamani thamani ya dhahabu ionekane Geita

    KINANA "GEITA IENDANE NA THAMANI YA DHAHABU YA MKOA HUO" Makamu mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali mstaafu Abdulrhaman kinana amemshauri mkuu wa mkoa wa Geita Martin Shigella kuangalia namna nzuri ya kuupanga mji wa Geita uwe na Muonekano mzuri na wa kisasa na si...
  14. Vugu-Vugu

    JamiiForums Tanzania Hii Combination baina ya Mzee Kinana na Shaka ni dhahiri huu ni mwanzo wa mwisho wa Upinzani Tanzania

    👇👇 Tazama siasa inayopigwa na hawa mabwana then njoo uniambie nafasi ya Upinzani iko wapi kwa sasa. 👇👇 KINANA NA SHAKA WATEMBELEA SHAMBA LA MBEGU BORA ZA MAHINDI WILAYANI MISENYI Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana ametembelea...
  15. Jerlamarel

    JamiiForums Tanzania Usidhani hii ni "Nasty Paiting", huyu mzee alipewa adhabu ya "Kifo kwa Nja"

    "Upendo wa Kirumi" ni kisa cha kielelezo cha mwanamke, Pero, ambaye alimnyonyesha baba yake, Cimon, kwa siri baada ya kufungwa na kuhukumiwa kifo kwa njaa. Picha hii ya mwanamke akimnyonyesha mzee ndani ya Selo aliyokuwa amefungwa iliuzwa kwa Euro 30 Milioni sawa na Bilioni 69.5 Fedha ya TZ...
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mzee Kinana, chama kinachojali wanyonge na masikini kisingekubali tozo kama hizi. Hii sio CCM aliyoiasisi Mwl. Julius

    Kwamba hata mama aliye kijijini anakatawa tozo akitumiwa pesa na mwanae anayeishi mjini? Kwamba hata mwalimu wa shule anyefundisha kijijini kwenye mazingira magumu ya kijijini anakatwa kodi ya PAYE, na hata akitoa mshahara wake benki anakatwa kodi! Mzee kinana CCM hii iko vipi? Ni mali ya...
  17. Wilson Gamba

    JamiiForums Tanzania ANATAFUTWA: Michael Juma anatafutwa na mwanae. Alikuwa askari magereza, mkazi wa Masasi na Mtwara mjini

    Kama mada inavyojieleza hapo juu, huyu ndugu alikuwa askari magereza katika gereza la Musoma miaka ya 1980 na aliondoka Musoma mwaka 1983. Anatafutwa na kijana wake anaitwa Matiku alimzaa na mama mmoja anaitwa Monika mwenyeji wa Musoma Vijijini,alizaliwa miaka ya 1981.Kwa mujibu wa mama...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mpambano kati ya Mzee Steven Wassira vs Tundu Lissu kuhusu uchaguzi mkuu wa Kenya pamoja na tume yao ya uchaguzi

    Huu ni mjadala ambao ulihusisha wanazuoni mbalimbali wa Afrika Mashariki, lakini hoja za Steven Wassira na Tundu Lissu ndizo zilizosababisha cheche ktk mjadala huo. Wanzuoni walioshiriki mdahalo huo ni pamoja na Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya Willy Mutunga, Mh.Zitto Kabwe, Dr.Ahmed Yassin...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Mzee Lowassa wapi jamani, mbona kimya sana

    Nauliza mzee Lowassa yupo wapi? Mbona hatumsikii kabisa. Tumezoea kumuona mzee Lowassa akitoa maoni yake kuhusu mwenendo wa Serikali aidha kukosoa au kusifia lakini amekuwa kimya muda mrefu sijui yupo wapi?
  20. E

    JamiiForums Tanzania Website ya JATU naona picha kubwa ya Mzee Pinda na Waziri Mhagama

    Ilikuja Q-NET tukaona Waziri Kigwangala akihusika ufunguzi wa ofisi Ukienda Website ya JATU unakutana na picha kubwa ya Mzee Pinda na Waziri Mhagama. Lakini mwisho wa siku ni wananchi kulia kutapeliwa pesa zao. Hawa viongozi wametumika kujenga imani za wananchi kutoa pesa zao. Bado najiuliza...
Back
Top Bottom