Nimefurahi sana ile tunu ya kuwa kiongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar anatokea upande wa pili wa Muungano huu, yaani anatokea kwenye visiwa vinavyonuka marashi ya karafuu.
watesi wengi walikuwa wakitubeza kuwa Zanzibar tusahau kupata nafasi ya Mzanzbaari mkaazi kuongoza...