mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pengine huu ni uzi wa mwisho kuandikwa na mimi kukuhusu wewe kipenzi changu Marry

    Tangu tumekubaliana kuhusu ndoa sikuoni ukilifurahia hili jukwaa kama zamani, nadhani huu ni utii kwangu mume wako mtarajiwa na utii kwa ajili ya ndoa pia. Nilitegemea mwezi huu nikipokea rejesho ndiyo niibuke huko jijini daresalama lakini mipango sio matumizi mambo hayakwenda sawa. Niseme tu...
  2. E

    Rais Samia aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri cha mwisho kwa Awamu ya Sita

    Rais Samia Suluhu Hassan leo Julai 14, ameongoza kikao cha mwisho cha Baraza la Mawaziri cha Serikali ya Awamu ya Sita kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma. Kikao hicho kimehudhuriwa na Makamu wa Rais Dk Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim...
  3. Huu wimbo umfikie Raisi Samia sikiliza hadi mwisho Kuna watu walimwona Kabla.

    GT Sanaa ilikuwa zamani siyo sasa wanashindana kutingisha makalio tu hawana ubunivu wowote. Kwa wimbo huu nadhani Prof J alimwona Samia ndotoni anakuja yanayotendeka sasa ni yaleyale 100% kwenye wimbo huu. Kiufupi watawala kuanzia awamu ya tano hadi sasa wana dhambi nyingi sana japo...
  4. M

    Imebaki miaka kama 553 Dunia ifike mwisho

    Nimewaza tu mpaka kufika mwaka 2578 dunia utakuwa imefika ukingoni, Kuna vitu naona vya ajabuajabu vinaendelea sasa hivi duniani mpaka unajiuliza mpaka kufika miaka hiyo hali sijui itakuwaje.
  5. GE2025 Mwita Mwikwabe Waitara, mwisho wa enzi

    Analia baada ya kukatwa jina na Kamati ya Siasa ya Wilaya. Hii ndiyo dalili kwamba hahitajiki tena baada ya kutumika kumsaliti Tundu Lissu mwaka 2017 Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
  6. Sikiliza hadi mwisho vita kati ya GSM na Mo, Simba wanapoteana

    Mo na Mangungu wanataka kupinduana, lakini mo ameshaanza kuvuta punzi ya moto ya GSM kibiashara. Baada ya Simba kufungwa mara 5 mfululizo bidhaa za mo zimeingizwa chaka na bidhaa za GSM; kunywa maji ya masafi badala ya maji ya GSM ni kichekesho siku hizi. Mangungu anataka kumuondoa mo kutoka...
  7. Tukifanikiwa kuipatia uhuru Tanganyika, kuna watu tunapaswa kuja kuwachapa viboko. Kama wafuatao na wa mwisho ni Rais

    Ndugu zangu wanajamii forums wenzangu na wasalimu kwa jina la uhuru kamili wa Mtanganyika. Nichukue nafasi hii kuja kumchapa viboko Padre Kitima. Sababu kubwa kuu 1, kuona tunapoelekea kubaya kama Taifa halafu bado anaongea lugha nyepesi ambayo watawala wanapuuza. Kwa muda huu tunahitaji zaidi...
  8. T

    Moles mlio wekeana mwisho utakuwa mbaya sana

    Moles kila mahali mnafitiana mnasemana vibaya mkifikiri ni sifa uhuru wa mawazo umbea na uzandiki kwa wengine. Haya sasa mmoja katangaza nia... mwingine kasifia nia ya mwenzake ila mwisho kajitoa ina manisha nini kwa wasomi wa alama za siri.... Haya mwingine ana endelea ila wengine wana drop on...
  9. UJUE MWISHO WA KUSUBIRI.

    --- ## Lini Mwisho wa Kusubiri Jambo Kwenye Maisha? Hii ni swali zito na la kifalsafa, na jibu lake mara nyingi hutegemea mtazamo wa mtu na hali halisi anayopitia. Hakuna "mwisho" mmoja maalum wa kusubiri katika maisha kwa sababu maisha yenyewe ni mchakato endelevu wa matarajio, malengo, na...
  10. Je huu ndio ulikuwa mwisho wa Hananja

    Alipendwa sana mitandaoni kutokana na maudhui yake na namna alivyowasilisha hoja zake.. Ni mwerevu na tajiri wa maneno ya Kiswahili... Akijua vema kuyachagiza anapofanya uwasilishaji.. Hakukauka mitandaoni Waswahel wanasema ngoma ikivuma sana hupasuka! Aidha kwa kujua ama kutojua.. Ama kwa...
  11. Biashara ya mbao za Miti aina ya Pines: Njoo ujifunze toka Miti inanunuliwa mpaka Mbao zinamfikia mtumiaji wa mwisho

    Natumaini ni wazima wa afya watumiaji wote wa jf. Leo nitaandika kila kitu nachojua kuhusu biashara ya mbao laini zinazotokana na mti aina ya pine. Nitazungumzia kuanzia manunuzi ya miti kutoka kwa mkulima hadi namna mbao inamfikia mtumiaji wa mwisho. Kabla sijaendelea ningependa kuweka...
  12. Zitto Kabwe simuoni akitoboa Kigoma na itakuwa ndio mwisho kabisa wa siasa zake. Kamanda Silo lazima alipe fadhili.

    Kamanda Silo lazima alipe fadhili kwa alioe .teua na hapo ndio pagumu kwa Zitto Kabwe. Simuoni akitoboa Kigoma na itakuwa ndio mwisho kabisa wa siasa zake, atakuwa na optional moja tu, ya kuwa kama Mrema. Hata wale wenzake wa ACT sioni Jimbo la wao kushinda labda kule Pemba.
  13. R

    Elimu haina mwisho: kwanini inaitwa: Law Reform (Fatal Accidents and Miscellaneous Provisions) Act Chapter 310

    Kwanini inaitwa Law Reform? Mbona chapters zingine za sheria zetu haziitwi hivyo? (hazianzi na Law Reform)
  14. Drone za Mwisho kurushwa na Iran asubuhi kabla ya usitishaji wa Vita hatimae za karibia kufika Israel zadunguliwa

    28m ago Israel claims intercepting drones ‘apparently from Iran’ Live Update From the Liveblog of Tuesday, June 24, 2025 IDF downs 2 drones likely launched from Iran before ceasefire By Emanuel Fabian Today, 11:24 pm Two drones launched from Iran at Israel were intercepted by the Israeli...
  15. Nauza kiwanja makongo mwisho

    Nauza kiwanja makongo mwisho njia kwenda kanisa la katoliki kina ukubwa sqm 2231 bei ni ya kutupa 300m karibu sana eneo tambalale
  16. Eneo linauzwa makongo mwisho kuelekea kanisa katoliki karibu na josam apartment

    Wadau eneo linauzwa lipo makongo mwisho njia kwenda kanisa katoliki lina ukubwa sqm 2231 lina hati ya wizara.halina shida yoyote ni tambalale na bei ya kutupa linuzwa kwa ajili ya shida tu bei ni 300m Karibu
  17. Mkeka wa mwisho wa mama umetoka bila jina la Mayalla, Msigwa na Lucas Mwashamba. Je hao chawa hawaaminiki?

    kKwenye dakika za jioni kabisa, mkeka wa mama umetoka bila majina ya chawa maarufu kupenya. Nimepitia ule mkeka zaidi ya mara tatu lakini sijaona jina la Pasco Mayalla, Mchungaji Peter Msigwa na Lucas Mwashamba. Sitaki kuamini kama mama hana taarifa zao, sijui inakuwaje watu wengine wa ajabu...
  18. Hivi kuwa boda boda mwisho umri gani nataka nikajribu upande huo maana hali tete

    Wadau msaada maana hali tete sikujipanga kimaisha naona naelemewa na maisha sasa naona kazi ya haraka ni boda boda Ila mimi umri umeenda sasa sijui naweza pambana uko
  19. M

    Mashabiki wa Simba hawakumwelewa Ahmed Ally alipowaambia kesho ni mechi ya mwisho Simba kucheza nyumbani na Kagera Sugar, alimaanisha hivi

    Washabiki wa soka nchini ni mtihani mkubwa sana, wana uelewa mdogo sana wa mambo, juzi Ahmed Ally amewaambia washabiki wajazane na familia zao kuwaaga wachezaji kwa sababu itakuwa mechi ya mwisho kwao kucheza nyumbani, wengi wametafsiri kauli hii kuwa Simba inamaliza mechi kesho.La hasha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…