mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Israel yagongomelea msumari wa mwisho kwenye Jeneza la Magaidi wa Hamas!!!

    Baada ya Majeshi shupavu ya Israel kushusha kipondo kikali kwa magaidi wa Hamas hatimaye usiku wa kuamkia leo wamekubali kwa hiari yao kuwaachia mateka waliowateka Oct 07,2023. Kukubali kwao kunatokana na mbinyo uliofatana na kipigo cha mbwa-koko wali ho kuwa wanapata toka walipofanya uvamizi...
  2. GE2025 Oktoba 29 hatutachagua mtekaji. Damu hizi zitakulilia mpaka mwisho wa uhai wako

    Wewe unayeteka watu nakwambia hautachaguliwa kwa matendo Yako haya. Na hizi damu za watu wasio na hatia wana wa Mungu zitakulilia mpaka mwisho wa uhai wako. Huwezi kuteka watanzania hivi halafu ukalala usingizi. Mungu huyu wa mbinguni tunamuomba kila siku akutendee adhabu kwa kiwango Cha...
  3. GE2025 Duniani kote wenye Mamlaka ya mwisho juu ya Nchi yao huwa wananchi

    Mamlaka ya mwisho kabisa iko kwa wananchi siku wananchi wa Tanzania wakijitambua dharau za Viongozi zitaisha viongozi wamejaa dharau sana kudharau wananchi kuwaona kama takataka. Hiyo inatokana na wananchi kutojua kwamba wao ndo wenye mamlaka ya mwisho ya kuweza kuondoa yale yanayowaumiza...
  4. Y

    Kutoa shahawa mwisho wa haja ndogo

    Habari Wana JF Naomba anaefahamu hilitatizo linasababishwa na nn aniambie Kwani kunawakati nikienda haja ndogo kujisaidia wakati namaliza zinatoka shahawa naomba msaada
  5. Mambo niliyoyaona kuelekea robo ya mwisho ya mwaka huu (vuli).

    1.Bomu/kombora au ndege ya vita kutoka angani kufyatuka na kwenda kuteketeza makazi ya watu... Tukio hilo litafuatiwa na au litaambatana uvamizi wa watu wenye silaha za moto sehemu flani. 2.Mvua kubwa inayoambatana na radi nyingi, inayoweza kuleta madhara kama yale ya hanang na baadae anga...
  6. R

    Guinea yafikia Mwisho wa Kampeni za Marekebisho ya Katiba, huku Upinzani Wakikosekana

    Septemba 18, 2025 mji mkuu wa Guinea, Conakry, ulijaa shughuli za kampeni huku wananchi wakijiandaa kupiga kura ya marekebisho ya katiba ambayo inaweza kumruhusu kiongozi wa mapinduzi Col. Mamadi Doumbouya kutafuta urais. Shughuli mbalimbali zikiwemo kusoma Quran, tamasha za reggae na sala...
  7. W

    POTOSHI Museveni asema hii ndiyo mara yake ya mwisho kugombea Urais, kisha atamuunga mkono Bobi Wine

    Uganda president Yoweri museveni says this is the last time he is vying for presidency in Uganda, urges Ugandans to come in large numbers and vote for him for the last time.
  8. Tunaweza tengeneza dawa ya ebola na marburg ya kutibu symptoms hii fedheha inatakiwa ifike mwisho

    Maginjwa ya ebola, na marbug yamekuwa yakiitesa sana East afrika hasa DRC, kwa mbali Rwanda, Burundi na Uganda ila kituko tunasubiria huruma za nchi za magharibi watutengenezee dawa to be honest hiki ni kituko Yaani tatizo lipo nyumbani kwako unamsubiria mtu wa mbali ambaye hata haishi hapo...
  9. Polepole: Wanatubagaza, wanatubananga, na mwisho wanatutindinganya

    Comprado... Hatutaki matajiri wapiga Dili, mtu mmoja anafanya kitu kinaitwa Transfer price faida anapata yeye in return kuwaumiza watanzania haswa wenye kipato Cha chini Kumbe yule bwana ndio alimshauri Mkapa mambo ya bima ya afya...dah..ndio mana bima ya afya ni kizungumkuti Jana Leo na...
  10. Ndege zilizotengenezwa na Watanzania kuanzia mwanzo hadi mwisho

    Kuna siku niliwahi kuandika mada humu kuhusu jinsi Tanzania ilivyo na magenius wengi, lakini hawavumi. Haya, kuna ndege za Skyleader zimetengenezwa na vijana 13 wa Kitanzania kuanzia mwanzo hadi mwisho. Mind you, sio ku assemble bali ni kutengeneza ndege kabisa Ila haoa kuna kitu...
  11. Haya nyie ambao Polepole ndio karata yenu ya mwisho vipi kuna matumaini?

    Wapinzani wengi katika nchi hii ni watu waliochanganyikiwa. Ukimuondoa Lissu the Real hero wengine wako tu upinzani kwakuwa hawajui wafanye nini au hawajui wanataka nini. Wengine wako upinzani kwakuwa wamekosa ajira rasmi. Wanadhani kuwa kinyume na serikali kutawaondolea stress. Hizo press za...
  12. Pastor Daniel Mgogo kapigilia msumari wa mwisho

    Kudadadeki....!!
  13. Kwa Mara ya Tatu na ya mwisho; Naiomba Serikali imuachie Tundu Lissu Kabla ya Septemba 7

    Anaandika, Robert Heriel Kuhani Katika Hekalu Jeusi Kwa heshima yote isiyo na hila, nilianza kuiomba serikali tangu august 13 kuona namna ya Kumuachia Tundu Antipas Lisu. Hii ni kusema mpaka tarehe 7 septemba, zitakuwa sio chini ya siku 24 tangu nitoe ombi hilo. Lilikuwa Ombi la heshima na...
  14. Huenda H.Polepole akawa na shida kubwa zaidi ya hii kimaadili na kiakili, na huenda mwisho wake ukawa mgumu zaidi ya mwanzo wake katika historia

    Wewe Polepole hebu msikilize vizuri hapa Mgombea Urais wa CCM Dkt Samia Suluhu, Mtakumbuka nimeingia madarakani kukiwa na changamoto kubwa ya Uhuru wa habari nchini. Nimechukua hatua za makusudi kuhakikisha uhuru wa habari unaimarika kwa kuweka wazi utashi wa kisiasa na misingi ya kisheria...
  15. R

    Tarehe ya mwisho ya kupokea maombi ya mikopo 2025/2026 yasogezwa

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwafahamisha Waombaji wa mikopo na Umma kwa ujumla kuwa tarehe ya mwisho ya kuwasilisha maombi ya mikopo imesogezwa mbele kutoka tarehe 31 Agosti hadi tarehe 14 Septemba, 2025. Hatua hii imechukuliwa ili kuwapa fursa wale ambao kwa sababu...
  16. Nimefikia kikomo cha mwisho cha uvumilivu huu ujinga sasa basi

    Kwa hali hii siwezi endelea kuwa mhanga wa mambo ya kijinga ambayo hayana mwisho. Imetosha.
  17. Xiaomi inatarajia kuzindua flagship tatu mwisho wa mwaka huu 2025

    Kawaida kampuni ya Xiaomi huachia flagship mbili mwisho wa mwaka huko China lakini mwaka huu ni tofauti, wataachia flagship tatu Kutakuwa na Xiaomi 16, 16 Pro na 16 Pro Max, yani kama iPhone Xiaomi 16 na Xiaomi 16 Pro zitakuwa na vioo vyenye ukubwa sawa na Xiaomi 16 Pro Max itakuwa kubwa zaidi...
  18. Mama Mwenye nyumba wangu anafungulia redio mpaka mwisho NIFANYEJE ahame?

    Waungwana na wenye busara naomba mnishauri maana sasa hii imenizidi. Iko hivi 👇 Nimehamia kwenye hii nyumba mwezi wa 7 nikitokea mkoani huko nimekuja Dar kutafuta maisha. Sasa siku za awali kila kitu kilikuwa poa ila nilipolipa tu kodi mama mwenye nyumba akaenda kununua sabufa mpya Kariakoo...
  19. Hukumu ya Mwisho itakua kwaajili ya Wachawi, Wazinzi na Wote Wanaofanya dhambi za machukizo mbele za Mungu

    Ndugu zangu, msidanganyike! Dhambi si mchezo, na kila dhambi inaleta madhara makubwa kwa mtu binafsi, kwa jamii, na kwa taifa. Wacha tuchambue kwa mwanga wa Neno la Mungu. 1. Wachawi Biblia inasema wazi, “Wala msijihusishe na wachawi.” (Walawi 19:31). Uchawi unaharibu kizazi kizima, unavunja...
  20. Mwisho wa Chama Chama Cha Mapinduzi hauna Afya

    Akizungumza kwa njia ya mtandao mbunge wa Zamani wa Kawe kupitia CCM Askofu Josephat Gwajima amesema mwisho wa CCM hauwezi kuwa na Afya.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…