mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kipa Khomein atutaki tukuite mara tatu kama magori alivyomuita camara,,makosa ya kijinga uliyofanya leo iwe mwanzo na mwisho!

    Kipa aliyefundishwa na kuiva vizuri awezi kufungwa goli kama lile la pili,,unapoona Mpira umekuzidi inatakiwa kutanua mikono yako kuusukumiza mbali na sio kutaka kudaka namna Ile utadhani unadaka senene🚮🚮 Yanga ni timu kubwa na mahitaji yake ni makubwa ivyo usidhani unachezea kmc ama Dodoma...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa Atoa Maagizo kwa IGP Wambura Kuelekea Sikukuu za Mwisho wa Mwaka

    BASHUNGWA ATOA MAAGIZO KWA IGP, WAMBURA KUELEKEA SIKUKUU ZA MWISHO WA MWAKA. 📌 Kuimarisha ulinzi, doria na ukaguzi vyombo vya moto usiku na mchana. 📌 Kuondoa vizuizi na vituo vya ukaguzi maeneo hatarishi barabarani. 📌 Kufanya Operesheni maalum nchi nzima kupambana na wahujumu miundombinu ya...
  3. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Kauli mbalimbali za mwisho za Marubani kabla kupoteza maisha kwa ajali

    Hizi ni kauli za mwisho za binadamu baada ya kuona hamna tena matumaini ya kuendelea na uhai wake pindi anapokumbana na hitilafu au ajali inayompata wa nini kifuatacho
  4. cairnegie

    JamiiForums Tanzania Lini tutaona mwisho wa kusherehekea uhuru ?

    Enzi za ujinga zilifika mwisho , uchifu ,udini , ubarbari ,utumwa ,ukoloni pia zilifika mwisho , suali la kujiuliza ;JEE HUU UTAWALA WA UHURU UTAFIKA MWISHO ???!
  5. Scars

    JamiiForums Tanzania Je, kweli ni bora kuamini Mungu yupo halafu siku ya mwisho usimkute, kuliko kutoamini halafu ukamkuta?

    Makala hii nitaiweka kwa vipande kuepusha kero ya usomaji. Moja ya hoja maarufu kutoka kwa watu wanaoamini Mungu (Theists). Ni hoja ambayo imelenga kuweka matumaini ya mwelekeo katika maisha ili kuwafanya watu waone kuamini Mungu yupo ndio uchaguzi bora zaidi (rational) kwasababu haitakupa...
  6. Superbug

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hakuna mpasuko wala mgawanyiko ni weweseko la CCM na mwisho wa siku CHADEMA itaibuka imara zaidi ya jana

    Ukiona adui Yako anafwatilia mambo Yako ya ndani jua anakuogopa na pia ukiona anachochea migogoro dhidi Yako ujue uko IMARA kuliko yeye. CHADEMA hakuna MPASUKO kama wengi wanavyodhani hizo ni siasa za ndani na ni kawaida. Hivyo ccm kuchochea moto ionekane CHADEMA Kuna migogoro LISSU VS MBOWE ni...
  7. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Hivi kulingana na biblia nani alikuwa ni nabii wa mwisho na nani alikuwa ni mitume wa mwisho ?

    kulingana na mtiririko wa biblia wa manabii unaishia kwa yohana kama ndie nabii wa mwisho yani yule alieandika kitabu cha ufunuo ambacho ndio kitabu cha mwisho kwenye biblia na ukiangalia manabii wote katika mtiririko wa biblia walikuwa ni waisrael na sio wa mataifa tofauti na hilo na hawakuwai...
  8. Shanily

    JamiiForums Tanzania Aya 2 za mwisho za suratil Baqarah, kwa ulinzi na Kinga wakati wa kulala.

    Aya hizi ni muhimu sana kwa Muislamu kuzisoma pindi anapotaka kulala. Huleta ulinzi na Kinga dhidi ya Shari za usiku za mashetwani, majini na watu biidhnillah. Kama unawatoto ambao wamenyanyukia jitahidi uwahifadhishe wawe wanazisoma Kila siku kabla ya kulala.
  9. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaovaa condom haifiki mwisho! Ile sehemu inayobaki wazi haiwezi kukupelekea kupata maambukizi?

    Wakuu swali hili. Kama ushawai tumia kondom utaungana na mimi sehemu ya mwishi karibu na shina condom huwa haifiki na hii kupelekea wakat wa tendo kulowa au kugusana maji maji Je, hii haiwezi sababisha maambukiizi?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mwisho ya Profesa Kabudi ndani ya masaa 24 akahamishwa Wizara

    Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi amesema kuwa Serikali ina mpango wa kuanzisha chombo cha kuratibu na kusimamia mikataba ambayo Serikali inaingia. Prof. Kabudi ameeleza kuwa kuanzishwa kwa chombo hicho kutaisaidia nchi kutokuingia mikataba yenye masharti hasi na...
  11. Mngoni asiyepiga gambe

    JamiiForums Tanzania Naangalia Al Hilal na TP Mazembe hapa itoshe kusema Depotivo de Utopolo (Yanga SC) jiandaeni kumaliza wa mwisho kwenye kundi

    Kama kuna mtu aliwadanganya deportivo de utopolo kuwa Mazembe ameshuka kiwango basi mjiandae kushenyetwa nje ndani jamaa wanapeleka moto sio poa.
  12. Decruise

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Una hakika mahusiano yako yatafika sikukuu za mwisho wa mwaka.

    Kinachonifanya nijiulize hili swali nikwamba nimeshaombwa sana pesa ya sikukuu mara out na mm sina pesa ndio maan nimeona nijiulize swali kama hili je wew una uhakika wa kufika mwisho wa mwaka salam kwenye mahusiano yako.
  13. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video:Vijana wa hovyo hii Code Ni ya mwisho sitawaambia tena.

    Vijana akiingia geto hakikisha harudi salama. Siyo demu anakuaga unaanza kujiuma uma tu... Mwamba kapita mle mle. Hii ni ya mwisho sitawaambia tena 🙌🙌😋😋
  14. S

    JamiiForums Tanzania Naishauri Simba kukata rufaa kupinga uamuzi wa kupigwa faini ya milioni 5, uonevu ufike mwisho sasa

    Taarifa inasema Pamba imepigwa faini milioni 5 kwa kufanya vurugu, kwa kosa la maafisa wake kuingilia mazoezi ya klabu ya Simba siku moja kabla ya tarehe ya mchezo tajwa hapo juu katika uwanja wa CCM Kirumba Mwanza. Taarifa inasema pia walinzi wa Simba walisababisha vurugu pia kwa walinzi wake...
  15. figganigga

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Taarifa za Watu waliopotea au kuchukuliwa na “Watu Wasiojulikana”

    Salaam Wakuu, Nimeanzisha uzi huu ili tushikamane kama Watanzania kutafuta au kutoa taarifa ya watu waliopote. Kumeibuka wimbi la Watu wa kupotea katika mazingira ya kutatanisha. Rais ndo Mwenyekiti wa kwanza wa usalama, kupitia thread hii ataweza kujua ni kiasi gani watu wanapotea bila hatua...
  16. G

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mkikutana Kamati Kuu, jadilini njia mbadala ya kupambana na CCM. Dhulma ifike mwisho

    Kwa kuwa ccm wao wanaua, wanateka na kudhulmu haki za uchaguzi, basi chadema iangalie namna ya kukabiliana kivitendo na mauaji, utekaji na dhulma ya haki ya kuchagua na kuchaguliwa. Dawa ya moto ni moto, na dawa ya figisu ni figisu. Wenyewe husema "ubaya hujibiwa kwa ubaya". Ili majogoo...
  17. econonist

    JamiiForums Tanzania Ni muda wa silver revolution nchini Tanzania

    Kwa Sasa CCM na serikali yake dhalimu wamezidi dharau nyingi. Wanafanya udhalimu wa wazi mchana peupe wakijua hakuna wa kuwafanya chochote. Chaguzi ndio njia pekee ya kukabidhiana madaraka kwa amani. Pale ambapo uchaguzi hauheshimiwi na kura za wananchi hazipewi uzito unatakiwa basi njia...
  18. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Boniface Jacob: CCM wamechagua mwisho mbaya

    Jana usiku nimempigia Mzee mmoja mstaafu wa serikali aliyewahi kuhudumu kama msaidizi wa mambo ya ulinzi na usalama wakati wa Rais Julius Kambarage Nyerere. Nimemlalamikia namna serikali ya CCM, CCM yenyewe na vyombo vya dola jinsi vilivyochezea uchaguzi wa serikali za mitaa tangu zoezi la...
  19. Magical power

    JamiiForums Tanzania Maswali mengi yaibuka baada ya kupotea kwa mkazi wa Kigamboni Vicent Masawe. Mkewe asimulia kilichotokea. Jeshi La Polisi latoa tamko!

    Kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii kumezuka na tarifa kuwa Vicent Peter Masawe, anayejulikana pia kama Babuu au Bright, amepotea tangu Novemba 18, 2024. Kulingana na taarifa zilizopo, siku ya tukio, Vicent alidai kufuatiliwa na watu wasiojulikana kabla ya kupoteza mawasiliano. Vicent...
  20. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Mara ya mwisho kuokota pesa lini

    Eti mala yako ya mwisho wewe kuokota pesa lini na ulikota shingapi? Na ushawai oupoteza pesa kiasi gani mpaka ukajilaumu sana Mimi mara ya mwisho kuotoka pesa ilikuwa juzi shilingi 100 niliokota Na nilipoteza pesa 10000 na iyo ndio ilikuwa kilinda mfuko ugenini nikaona aibu kuomba nauli...
Back
Top Bottom