Nchi hii hakuna sheria wala utaratibu wa polisi kupangia mtu aende wapi, au asiende wapi..
Polisi Tanzania hawana mamlaka kisheria wala kikatiba kuingilia uhuru wa watu kwenda wanapotaka wao wenyewe..
Polisi Nchi nzima wameweka barriers wanakamata viongozi na wanachama wa Bawacha waliokua...
Zamani wakati tunasoma tulikuwa na Kauli mbiu kuwa "Education is a Key To Success" au "Education is a key to life"
Ikiwa na maana ya Elimu ni ufunguo wa Maisha au ufunguo wa mafaniko.
Lakini cha kushangaza tena Elimu sio tena ufunguo wa mafaniko ya maisha au kitasa cha mafanikio...
Watumishi wa Umma, Idara ya Elimu hasa Sekondari Wilaya ya Liwale Mkoani Lindi hawalipwi fedha zao za likizo kwa wakati, wakati mwingine inaweza kuchukua hata miaka miwili ndio wanakuja kupata malipo.
Hata wakiomba kiwango fulani cha nauli, wahusika wanaolipa na malipo wanachofanya ni kukadiria...
Anonymous
Thread
baada
elimu
fedha
hata
idara
idara ya elimu
likizo
liwale
miaka
mwingine
umma
wakati
watumishi
watumishi wa umma
wilaya
zao
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza wajumbe wa Kamati Mapokezi na Kamati za Ujenzi za mradi wa ujenzi wa ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza wakamatwe na kuhojiwa mara moja ili watoe taarifa juu ya upotevu wa vifaa vya mradi huo.
“Kuna nondo 700, Marine boards 500 na matofali...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ametoa wito kwa viongozi wa kisiasa, wanaharakati, na jamii kwa ujumla kuacha kurejea matukio yaliyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, ili kuruhusu Tume ya Rais kukamilisha uchunguzi wake bila upendeleo...
Hamjambo wote!
1. Watibeli tunafuatilia Kila hatua inayoendelea.
2. Kwenye Haki, kile unachotendea wengine hata kama hakistahili nawe unatakiwa kutendewa kitu hichohicho. Hiyo ni HAKI.
3. Haki ni nzuri kwenye kuitamka na inavutia Sana lakini utekelezaji wake haufurahishi ingawaje unaleta...
https://youtu.be/aVlUdCvR93Q?si=quqP1lgRF2pBKGJw
Sijui ile Tume ya mchongo chini ya Jaji Othumani Chande inatafuta nini tu wakati ushahidi wa ushiriki wa vyombo vya dola (Polisi, TISS, magereza, KMKM na UVCCM waliovikwa magwanda ya polisi pamoja na Mercenaries kutoka nchi za Uganda, DRC, Zambia...
KATAA NDOA sio suluhisho na kuzalisha mwanamke na kumkimbia sio suluhisho pia. Katika maamuzi yote utakayotaka kufanya usikubali kuona mtoto wako anapewa malezi na baba mwingine, kama unampenda mtoto wako kwel na unataka apitie katika mema ya maisha basi hakikisha uyo mtoto unamlea wewe na mama...
MJUMBE maalum wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Dk. Naledi Pandor, aliyeshughulikia mgogoro nchini Tanzania, ametinga nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …
Dk. Pandor, aliteuliwa na SADC kuwa mwalikishi wake maalum wa kushughulikia mgogoro wa kisiasa nchini Tanzania...
It's very unlikely hiyo D25 kwa watu kotoka na kuandamana kwa wingi kama ilivyokuwa O29.
Ila hilo ndio lengo halisi, serikali ijitutumue kisha ionekane inakandamiza haki za wakristo, siku ya Krismasi wamefungiwa ndani.
Ukisoma kwa makini matamko ya serikali ya Marekani pamoja na baadhi ya...
Mtavunjiwa heshima bure kwa ajili ya uroho wa kula na kunya!
1. Utekaji
2. Uuaji
3. Ufisadi
4. Kuiba uchaguzi
5. etc
hivi havimvunjii mwalimu heshima.
Bure kabisa mabichwa mazee makubwa hamna kitu
Kenya and Uganda will jointly own shares in the Kenya Pipeline Company once the privatisation process is completed, President William Ruto has announced.
Speaking on Sunday during an investment tour in Uganda, Ruto announced that the government will publicly list KPC shares on the Nairobi...
D9 Police inatakiwa Disiplini yetu iwe juu nidhamu ya hali ya juu sana huu ni mtego kwenu.
Tumeona mauji ya October 29 police na vyombo vya dola vimefanya mauaji makubwa ya watoto...
Haya makampuni yanataka yawauwe vijana. Wamewapiga kwenye Aviator sasa naona ujinga mpya wa Plinko unaanza kushika kasi.
Ukiona idea simple tu, achia kampira (kekundu) kapite kwenye izo maze then kaje kagonge izo ods chini, unapata pesa kulingana na stake uliyoweka na odds kimpira kimegonga...
Kuharibu Mali za Umma au za mtu yeyote sio njia nzuri ya kufanya demonstration.
Hizi Mali za Umma, ni kodi zetu ndio zinatumika kujenga.
KWa akili ya kawaida tuu kituo cha mwendokasi au kituo cha polisi hakuna faida yoyote ukikichoma moto, zaidi ya hasara.
Maandamano kwa watu waliostarabika...
Sina maana ya kusema maisha hayawezekaniki kabisa kwenye miji midogo lakini there is a good chance of you kutoboa ukienda nje ya mji.
Mji mdogo unaweza kukufanya ujihisi salama (confort zone), hata hivyo unaweza kukubana kwa ndoto zako zikose pumzi huku ukioza taratibu.
Katika maisha, mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.