mwingine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Video: Msiba Urusi, imepoteza kamanda mwingine kule Ukraine

    Haijatokea kwa muda mrefu kwa taifa kupoteza majenerali kama Urusi, ni hatari sana na hasara kubwa na aibu kuu....
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mambo gani umeyafanya au kuyapitia maishani mwako ambayo hutamani mwanao/mtu mwingine kuyapitia?

    Ahlan wa sahlan Ukiwa kama mwanadamu lazima kuna mambo mabaya umeyapitia katika maisha yako ambayo hutamani mwanadamu mwingine (mwanao,ndugu n.k) aje kuyajua na kuyapitia. Binafsi sitapenda mtu yeyote hususani wanangu aje kujua kuhusu Kamari (kubeti). Why? Ni ulevi ambao mtu akishauonja ni...
  3. JamiiForums Tanzania Uonevu mwingine Jeshi la Polisi; Wafanyabiashara wasota mahabusu siku 563 na kuporwa mali zao

    Ni mwendelezo wa mateso kwa wananchi. ======= Hali ya hewa katika Jeshi la Polisi bado haijakaa sawa baada ya hivi karibuni kushutumiwa katika matukio kadhaa ambayo yanaonekana kuwa kinyume cha utaratibu wao, leo tena Machi 14, Gazeti la Mwananchi limeandika juu ya sakata jipya. Santus...
  4. JamiiForums Tanzania Kufutwa kesi ya Mbowe ni ushahidi kuwa kila mhimili uko huru na imara hauingiliwi na mhimili mwingine

    Kufutwa kesi ya Mbowe ni ushahidi kuwa kila mhimili uko huru na imara hauingiliwi na mhimili mwingine Jaji Tiganga alisimama kidete kama mhimili huru kusema Mbowe na wenzie wana kesi ya kujibu waanze kujitetea kutokana ushahidi uliopatikana Mhimili wa Serikali ukiwa huru ambao ndio washitaki...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wanaume: Hivi ukimwona au kusikia mkeo au girlfriend uliyempenda ana mtu mwingine na furaha unajisikiaje?

    Kanye West tangia ameachwa amechanganganyikiwa kabisa na juzi mahakama imempa ushindi kim kwa mama officially yupo single . Kanye anatishia kumuua huyo boyfriend wa Kim . Je. wewe unaweza tishia?
  6. N

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Sisi binadamu tunakubali kutawaliwa (to be controlled) na binadamu mwingine?

    Hivi kwanini Sisi binadamu tunakubali kutawaliwa (to be controlled) na binadamu mwingine -- Mfano wanasiasa, relationships, lazima mtu awe juu yetu
  7. JamiiForums Tanzania Je, na Rais Hayati Magufuli nae angestaafu angekuwa anaenda Bunju kwa 'Helicopter' kuiangalia Simba kama afanyavyo mwingine huko Kigamboni kwa Yanga?

    Ni matumaini yangu Makubwa kuwa hizo Helicopter huwa zinakuwa Salama na zinafanyiwa Matengenezo makubwa kwani kwa mwaka huu Watanzania hatuhitaji Kuomboleza tena. Halafu wala msihangaike kwenda huko Avic Town Kigamboni ilipo Yanga SC Kisirisiri kwani wengine tunawajua hata mlivyokuwa Uongozini...
  8. JamiiForums Tanzania Je, huyu Rais wetu wa sasa ni Vasco Da Gama mwingine? Ziara za nje zimekuwa nyingi sana kama enzi za Awamu ya Nne

    Awamu ya nne tulishudia Jakaya Kikwete akifanya ziara za nje huku akisahau kabisa masuala ya ndani ya nchi yake mpaka akapachikwa jina Vasco Da Gama. Awamu hii nayo naona ni mwendo uleule. Juzi alikuwa Ulaya. Leo yupo Uarabuni. Hii ishu ya Uarabuni asingeweza kuwakilishwa hata na balozi!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Madaraka ni DHAMANA. Wanaomuonea Mbowe watapukutika mmoja baada ya Mwingine

    Tumekuwa tukisikia malalamiko mengi sana. Mengi sana dhidi ya wenye madaraka wanaobambikia watu kesi za ajabu ajabu hasa za kisiasa. Ingawa watu wanaonewa kila kona, wanauwawa bila hatia na polisi kwa mfano kule Mtwara, kijana asiyekuwa na hatia kauwawa sababu ya dhulma. WAALIFU Kama Urio, na...
  10. JamiiForums Tanzania Nashindwa kupenda mtu mwingine

    Nilimpenda na nampenda sana huyu mwanamke, ni mwaka na miezi 4 toka kaniacha. Nilimkosea mimi akaniacha. Nashindwa kumpenda mtu mwingine kila ninapokaa siachi kumuwaza yeye, kila kitu nachofanya kinanikumbusha uwepo wake ninyeye aliyekua mwanamke wangu wa kwanza maishani mwangu. Nisaidieni...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Haiwezekani jeshi lifanye mauaji na lijichunguze lenyewe

    Rais Samia Suluhu Hassan amezungumzia mauaji yaliyotokea Mtwara ambapo maafisa wa Jeshi la Polisi wanatuhumiwa kuhusika na mauaji ya mfanyabiashara Mussa Hamisi ambapo Jeshi limeunda kamati kuchunguza tukio hilo. Rais amesema haiwezekani Jeshi kutuhumiwa kisha liunde kamati ya kujichunguza...
  12. JamiiForums Tanzania Siioni nafasi ya Lukuvi au mwingine aliyeachwa kwenye Baraza la Mawaziri kuwa Spika wa Bunge

    Ujumbe wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan, kabla ya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, ulikuwa wazi. Ni kuwa mabadiliko ya Baraza yamefanyika ili 'kubaki' na wa kwenda nao pamoja 2025 na 'kuwapa nafasi' ya maandalizi wenye nia na 2025. Ndiyo kusema, waliotarajiwa kuachwa na Rais Samia ni wale ambao...
  13. JamiiForums Tanzania Mwanamke Mwingine auwawa Arusha. Akutwa amepigwa kitu chenye ncha kali.

    Mwanamke Mmoja mkazi wa Njiro mkoani Arusha amekutwa amefariki baada ya kupigwa na kitu chenye ncha kali. Alikiwa akifahamika kwa jina Jenerose Dewasi. unfurl="true"]Mwanamke mwingine akutwa amekufa Arusha[/URL]
  14. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mke kutumia majina haya kwa mwanaume mwingine mbele ya mume wake?

    Hapa nimekaa sebuleni nasoma nyuzi kadha wa kadha huku Jamii Forums Simu ya Mke wangu Iko pembeni. Mara ikaita akiwa nje, nikaona namba haijaseviwa nikauchuna Hadi ikakatika. Ikaita Tena safari hii Mke wangu akaingia ndani akaisikia na kupokea "Niambie Boss Wangu"! Kisha nikafahamu Anayeongea...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi mwingine, PhD zatawala

    Pia, soma: Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya
  16. JamiiForums Tanzania Jeff Bezos akiwa mdogo alikataliwa na baba yake mzazi na akamrithisha kwa baba mwinginekisheria" leo ndiye tajiri namba moja duniani

    Imeandikwa na Ngusa john kutoka Facebook Ted Jorgensen, alipokuwa na umri wa miaka 17, alikutana na binti mrembo aliyekuwa akisoma naye shule moja, Jackyn Gise, aliyekuwa na umri wa miaka 16. Wakapendana. Wakaanza safari ya mapenzi. Jacklyn akanasa ujauzito. Wakati Jacklyn anashika mimba...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba kumjua Mbunifu wa Mtu 'Kuguna' akiwa Msalani ( Chooni ) pale akisikia Mtu mwingine anakuja Kuingia humo humo

    Ni kwanini Mtu aliyeko Chooni hasa akiwa Anakunya ( Wazaramo wanasema Anaukweka ) akisikia kuna Mtu mwingine anakuja Kuingia humo huwa anawahi Kuguna ( tena kwa Nguvu ) kama sehemu ya Kumjulisha ajaye kuwa yupo? Na Ugumu huwa unakuwa wapi kwa Mtu aliyeko Chooni ( Msalani ) kutoa tu Sauti kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Uwekezaji: Sio Kila Uwekezaji na Kujenga Nchi, Mwingine ni Kuvuna tu, Uwekezaji wa Total Energies kujenga Nchi!

    Wanabodi, Jukwaa la Siasa: Hapa Jukwaa la Siasa JF, mada nyingi ni mada za politiking, yaani kupiga siasa, lakini sii wengi wanajua kuwa hata mambo ya uchumi mkubwa ni siasa!, hapa tunazungumzia political economy, Siasa Uchumi. Kila nipatapo fursa, huwaletea zile mada zangu za "Kwa Maslahi ya...
  19. JamiiForums Tanzania Romy Jones amweleza mke wake akitimiza miaka 10 ya ndoa ataongeza mke mwingine

    Romy Jones amewaacha wanamtandao wakimpongeza kwenye mitandao ya kijamii kwa mara nyingine. Hii ni baada ya kushiriki chapisho hili kuhusu maadhimisho ya ndoa yake ambayo yamesambaa mitandaoni. Huku akimtakia kila lakheri mkewe, Romy alimwambia kewe kwamba wakitimiza miaka 10 katika ndoa...
  20. JamiiForums Tanzania Mfahamu Black Alien: Mtu mwenye ndoto ya kufanana na viumbe vya ulimwengu mwingine (Aliens)

    Anthony Loffredo pia anajulikana kama black alien. Anashikilia rekodi ya mtu aliyejifanyia maboresho mengi makubwa kabisa katika mwili wake kuliko binadamu mwingine kwa karne hii. Ameendelea kushika vichwa mbalimbali vya vyombo vya habari kwa ujasiri wake kwa kuamua kutenganisha kati ulimi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…