mwingine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Muda mwingine Mwanamke hudanganya/ hukasirika ili kumjaribu Mwanaume, sio kwamba hapendi

    Ni muhimu kwa mwanamke kumjaribu mwanaume. Ni njia yao ya kujilinda na kujua ujasiri wa mwanaume. Mwanamke hupima ujasiri wa mwanaume mara kwa mara. Haijalishi we ni rafiki yake, mpenzi wake, baba yake au jirani tu. Sababu ndivyo alivyoumbwa. Anahitaji kujua haraka nani atafaa kuwa kiongozi...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia ni binadamu mwenye dalili zote za kutufikisha nchi ya ahadi. Mkimpuuza huyu itapita miaka 100 hajapatikana mwingine!

    Katika vitabu vitakatifu Abraham au Ibrahim alipewa ahadi na mungu ya kumbariki uzao mkubwa kama mchanga wa baharini kwa sharti Moja tu .akubali kuondoka katika nchi ya baba zake ukaldayo aende kuishi kwenye nchi mpya kabisa ya kanaani. Pamoja na ahadi nyingine kedekede kama atakuwa tajiri wa...
  3. JamiiForums Tanzania Mahakama yaamuru Gazeti la The Citizen kumlipa aliyekuwa Bosi wa NHC, Nehemia Mchechu Bilioni 2

    Mahakama Kuu ya Tanzania imeliamuru gazeti The Citizen kumlipa fidia ya shilingi bilioni mbili aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Mchechu kwa kuchapisha habari zilizomshushia hadhi. Hukumu hiyo imetolewa leo Mahakama Kuu, Masijala ya Dar es Salaam, ikielezwa kuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Polisi Mbeya wamnasa mwizi wa ng’ombe, mwingine aponzwa na Bangi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya katika muendelezo wa misako inayofanyika katika maeneo ya Mkoa wa Mbeya, linamshikilia Hewad Jackson (33), Mkazi wa Kijiji cha Ilembo Mbeya Vijijini kwa tuhuma za kupatikana na ng'ombe 10 wa wizi wenye thamani ya shilingi milioni kumi na tano [15,000,000/=]...
  5. JamiiForums Tanzania Ukiacha Dar, kuna mji mwingine wa kula bata nzuri na machimbo makali kama Moshi?

    Kwakweli mimi sijazunguka mikoa mingi sana ila kwa nilipopita bado sijaona sehemu nzuri za kula bata kama Moshi. Isipokuwa Dar es Salaam Kwanza nilichopendea hakuna sehemu ya kiwango cha chini zote ni kama VIP ambazo kwa Dar lazma ukute vinywaji vinauzwa bei juu. Pamoja na kuwapo na wageni...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania kupata mkopo mwingine wa Tsh. Bilioni 353.3 kutoka IMF ili kusaidia Uchumi

    Serikali ya Tanzania imefikia makubaliano na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwa ajili ya kutoa mkopo wa dola milioni 151 ili kusaidia kuimarisha ukuaji wa Uchumi wake uliopata changamoto za majanga ya kimataifa ambayo yamepunguza ukuaji. Ikumbwe tayari Tanzania imekopa kiasi kingine cha...
  7. JamiiForums Tanzania Ameniacha Na Kwenda Kwa Mwanaume Mwingine Baada Kuishi Naye Muda Mrefu. Nifanyaje?

    Mwanamke hupenda na kuacha kupenda taratibu. Ukiachana na mwanamke kicheche au kuwa anakulipizia baada ya wewe kumsaliti, mwanamke mpaka akuache lazima kuna sehemu ulianza kutetereka. Akakuvumilia akiamini utabadilika lakini wapi. Sasa amekuacha unaona ghafla lakini kamwe sio ghafla alianza...
  8. JamiiForums Tanzania Dr Mwaka: Ukiwa nami utakula bata, ukiondoka utaviacha, akakupe Mwingine

    Itoshe tu kusema, Sasa kaanza kujitambua, zile mbwembwe zake óhooo vile ohoooo vile ... Ni mbwembweee Wale Akina Dada mnaolewa kupigia Hesabu Mali ,mkishaona Mali Sasa zanoga mnaanzisha vijisababu ili mvunje Ndoa ,upate nusu Kwa Nusu .. Kaaeni chonjo!!
  9. JamiiForums Tanzania ‘Siwezi kulea mama mwingine, wakati wa kwangu nilishazika’. Kauli ya mke wa Jamaa!

    Wakuu, Hiyo Ndio kauli ya mke wa mshikaji wangu aliyoitamka baada ya jamaa kwenda kumpokea mama yake mzazi stendi! Kilichofuata ni visa sarakasi hadi Mama mtu kaomba nauli na kurudi zake kwake. Jamaa kajiona powerless hovyo na kaaibika vya kutosha Sasa anaomba ushauri kwenu afanye nini! Wana...
  10. JamiiForums Tanzania Kiongozi Mkuu wa Scotland, Nicola Sturgeon atangaza kujiuzulu

    Baada ya New Zealand sasa pia Mkuu wa Serikali ya Scotland amejiuzulu baada ya kushindwa, Nicola Sturgeon ameenda! WAZIRI MKUU WA SCOTLAND ATANGAZA KUJIUZULU Nicola Sturgeon ambaye ni kiongozi wa Chama cha #SNP amesema anaamini akili na moyo wake vimeona ni muda sahihi wa kupumzika baada ya...
  11. JamiiForums Tanzania Mpenzi wako akianza kukuletea msharti, achana naye tafuta mpenzi mwingine; kwani kuachana shilingi ngapi?

    Habari wana MMU? Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Naomba kuwashirikisha kisa kimoja na mpenzi wangu Salma. Tumekuwa kwenye mahusiano kwa takribani miaka 2 ijapokuwa kimtindo. Siku za nyuma nilimfungulia kibiashara akawa anajishughulisha nacho lakini baadaye alikula mtaji...
  12. JamiiForums Tanzania Inakuwaje umeoa halafu unamwambia mwanamke mwingine "I love you?"

    Haya umeoa halafu mchepuko wako unamwambia I LOVE U hivi mnamaanishaga?😆 Au mnamsemaga ili mpewe mzigoo , jingine hamuogopi kuleta magonjwa nyumbani? Unajisikiaje unamke mrembo , anakuheshimu, kukupenda mbwa wewe halafu kutwa gesti na wasichana za watu. Hutulii Tulia maisha haya ni yakuwa na...
  13. JamiiForums Tanzania Mwalimu amchapa mwanafunzi na kumuumiza shule ya Msingi Kinondoni, Walimu mmelogwa?

    Huyu wa leo naomba akapimwe akili jamani Yaani kwa kuumizwa kule mwanfunzi hawa walimu Sio hivi hivi wana shida ya utimamu wa akili jamani. Yaani mwenzio kachafua hali ya hewa hana wiki na wewe unaenda kurudia yale yale Hivi walimu mmelogwa?Au ndio kampeni yenu mmeiandaa 2023 kuumiza watoto...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Arusha: Jela miaka 120 kwa ubakaji, kizimbani kwa kumchoma pasi mwanae wa miaka saba na mwingine jela miaka 7 kwa kuiba toyo

  15. JamiiForums Tanzania Muda wa kusubiri kabla ya kutuma ujumbe mwingine, unaghadhibisha. JF ifanyieni kazi

    Wasalaam Wakuu. Umewahi kufanya mawasiliano na Mtu (PM) au kwenye uzi wa kawaida kisha ukishaandika na kutuma inakupasa usubiri ndani ya muda fulani? Nawapongeza uongozi na watumishi wote wa JF kwa kazi nzuri na ngumu wanayoifanya. Kwa hakika wanajitahidi mno. Lakini pamoja na hilo, kuna...
  16. JamiiForums Tanzania Machi 2023 mwisho wa kutumia akaunti ya mtu mwingine Netflix

    Netflix itaanza kuzuia watumiaji wasitumie password za watu kuanzia robo ya kwanza ya mwaka huu (Q1). Hivyo inamaanisha mwezi wa tatu ni mwisho wa kutumia password za watu ambao hampo katika household ya pamoja. 𝗟𝗶𝗻𝗶 𝗶𝘁𝗮𝗮𝗻𝘇𝗮 𝗺𝗮𝗯𝗮𝗱𝗶𝗹𝗶𝗸𝗼? Netflix imesema March itakuwa ni mwisho kuzuia ku-share...
  17. JamiiForums Tanzania Ishara gani za Kisaikolojia ukiziona zinamaanisha leo Mkeo / Mpenzi wako anaenda kukusaliti kwa Mwanaume mwingine?

    Kazi yangu Kubwa leo katika Uzi huu ni Kusoma tu Comments zenu ili nizichakate na nikizielewa na kuziamini Mwanadamu wa Kike ambaye niko nae akirejea Kesho Asubuhi apande Basi la Kimbinyiko arejee mazima Kwao.
  18. JamiiForums Tanzania Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

    Profesa wa Chuo Kikuu Sokoine cha Kilimo (SUA) kilichopo Mkoani Morogoro, Christopher Kasanga na mwenzake Linael Makundi mfanyakazi wa Benki ya CRDB Tawi la Mandela mkoani hapo wamefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Morogoro kwa shtaka la madai ya Ugoni dhidi ya mlalamikaji Matrida Sigaret...
  19. JamiiForums Tanzania Inawezekanaje mchepuko wa mwanamke kuwa mwanakamati wa sendoff ya mwanamke wake kwenda kuolewa na mtu mwingine?

    Nikiwa nimekaa zangu natafakari uwezo wa hali ya juu wa Rais Samia kuweza kuwamaliza kabisa kisiasa Chama Cha Mbowe kwa kuwaruhusu kufanya mikutano.. Katumia sayansi ya hali ya juu sana. Wapinzani wakija kushtuka it is too late na wana kura sifuri kwenye sanduku. Nikapokea simu ya ndugu mmoja...
  20. JamiiForums Tanzania Juma Mgunda sio kocha mzuri kwenye mbinu hivyo ni sahihi Simba kuleta kocha mwingine

    Michuano ya CAFCC inahitaji mbinu nyingi sana wakati Juma Mgunda ni mzuri zaidi kwenye uhamasishaji. Ni sahihi kwa Simba kuleta kocha atakayeenda kushindana kimbinu kuliko kuwa na mhamasishaji peke yake.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…