‘Siwezi kulea mama mwingine, wakati wa kwangu nilishazika’. Kauli ya mke wa Jamaa!

NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

JF-Expert Member
Oct 29, 2019
8,535
17,473
Wakuu,

Hiyo Ndio kauli ya mke wa mshikaji wangu aliyoitamka baada ya jamaa kwenda kumpokea mama yake mzazi stendi!

Kilichofuata ni visa sarakasi hadi Mama mtu kaomba nauli na kurudi zake kwake. Jamaa kajiona powerless hovyo na kaaibika vya kutosha Sasa anaomba ushauri kwenu afanye nini!

Wana Watoto watatu pamoja na mmoja bado ananyonya!

Binafsi nimemshauri kwamba hapo hana mke avumilie Mtoto akue akaanzishe Maisha mapya

Wadau mnasemaje?
 
Wakuu

Hiyo Ndio kauli ya mke wa mshikaji wangu aliyoitamka baada ya jamaa kwenda kumpokea mama yake mzazi stendi!

Kilichofuata ni visa sarakasi Hadi Mama mtu kaomba nauli na kurudi zake kwake!

Jamaa kajiona powerless hovyo na kaaibika VYA kutosha Sasa anaomba USHAURI kwenu afanye Nini!

Wana Watoto watatu pamoja na mwingine BADO ananyonya!!

Binafsi nimemshauri kwamba hapo hana mke avumilie Mtoto akue akaanzishe Maisha mapya

Wadau mnasemaje!!?
Afukuze
 
Mwanaume asio kua na msimamo ni sawa sawa na mwanamke tofauti ni productive organs...... na oa mke ambaye niko tayari kumuacha hata ikiwa na kichanga cha wiki moja, hayo masuala subilia watoto wakue ni uoga wa maisha na ujinga.
 
Sasa jamaa angeamua mama haendi popote si mama wa WATU angedhurika!!?

Kumbuka wao Ndio wapishi ujue!

Halafu jamaa kasema hakujua kabisa kama mkewe angefanua vile!!

Mama mtu alikomaa apewe nauli na jamaa akawa hana la kufanya!!
 
Huyu jamaa anakosa msimamo huo ucku tuna achana nauli na mpa alfajiri mengine badaye......unajua uchungu wa mama mzazi loh
 
Huyo angetakiwa amchape makofi makali Kabla hajamaliza hiyo kauli.
Moja ya majukumu ya Baba ndani ya nyumba ni kuhakikisha nidhamu na adabu vinashika hatamu.

Kijana hata hajui kupigana alafu anataka kuoa😂😂😂
Huyo ni Mume au Baba kweli?
Hiyo kauli aliisema WAKATI jamaa hayupo kaenda stendi tena alisema hadharani mbele ya wapangaji!

Baadae alipoona sarakasi za Hapa na PALE Ndio mama akaamua kumwambia mwanae kia Hapa sipawezi naomba niende!

Mama alipewa mchongo baada ya kuona full sarakasi!

Ndio jamaa akasanuka!
 
Afukuze tuu!
Kuna mambo huwaga hayanaga mijadala.
 
Wakuu

Hiyo Ndio kauli ya mke wa mshikaji wangu aliyoitamka baada ya jamaa kwenda kumpokea mama yake mzazi stendi!

Kilichofuata ni visa sarakasi Hadi Mama mtu kaomba nauli na kurudi zake kwake!

Jamaa kajiona powerless hovyo na kaaibika VYA kutosha Sasa anaomba USHAURI kwenu afanye Nini!

Wana Watoto watatu pamoja na mwingine BADO ananyonya!!

Binafsi nimemshauri kwamba hapo hana mke avumilie Mtoto akue akaanzishe Maisha mapya

Wadau mnasemaje!!?
Hahahaa anawatoto watu pamojaa na mwingine ananyonya😀😀Wasambaaa bwana story zenu.Dah! Pagumu......tutafute pesa.
 
Back
Top Bottom