mwijaku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania TRA Jiridhisheni na kipato cha Mwijaku

    Sina wivu na mafanikio ya mtu yeyote. Jana Mwijaku kazindua nyumba anayodai imegharimu Tsh 1.3 Bilioni. Mwijaku ni msanii wa bongo movie ambaye hivi karibuni amegeuka kuwa "CHAWA". Sheria ya Mamlaka ya Mapato (TRA) inaruhusu kukagua mapato ya mtu yeyote au kampuni yeyote kujiridhisha kama...
  2. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Mwijaku kawazidi PhD holders?

    Mwamba kaporomosha ghorofa Kigamboni na bado endorsement za kutosha tofaut na PhD holder wengi nchini. NB: Hongera Sana Mwijaku
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwijaku ajenga nyumba ya kitajiri Kigamboni - funzo kwa vijana, dunia haina huruma kwa mwenye aibu,wenye kuwaza ndugu watanionaje

    Habari wadau, Mwijaku chawa na influencer maarufu amejenga nyumba ya ghorofa kigamboni Mwijaku anafanya kazi amazo wengi tunaona ni za aibu ila ana maisha mazuri ambayo wasomi wengi wa zama zake hawana hata nusu yake. Mwijaku ni graduate wa university of Dar es salaam (Udsm) class of 2013 -...
  4. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Picha: Uthibitisho Mwijaku kutumiwa na TTB kutangaza utalii

  5. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Utalii Tanzania: Hatujamtuma Mwijaku Kutangaza Utalii Mitaani Ujerumani

    Bodi ya Utalii imemkana Mwijaku 😂😂😂 Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imesema haijamtumia wala kumtuma mtangazaji na mwigizaji, Mwemba Burtony maarufu kama Mwijaku nchini Ufaransa kutangaza utalii mitaani, akiwa balozi wa utalii kwa niaba au kwa gharama za Serikali. Katika taarifa iliyotolewa na...
  6. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mwijaku alirudia shule au alisilimu?

    Jina lake anaitwa Burton Mwemba or something but anajiita shekhe na of course anajua jua baadhi ya dua. Swali; jina halisi la mtu huyu ni nani? Tangu lini muislamu kutoka ujiji Kigoma akaitwa " Burton!!" Alikuwa mkristo akasilimu au alirudia shule na kununua jina la mtu?
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM imekubali kudhalilika? Kwamba bandari imebaki na Kitenge na Mwijaku kama watetezi? Na tunaona tupo njia sahihi?

    Thamani ya rasilimali zetu imeshushwa chini kutoka kwenye utetezi wa watu makini hadi kutetewa na chawa; chawa hawana hoja wana matusi na tunaamini tutapiga hatua ? Ni fedhea kubwa sana kuona baraza la maaskofu na watetezi wengine wa rasilimali zetu wanakosa wasome wakuwajibu badala yake...
  8. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Mwijaku na Baba Levo wakatazwe kuongelea habari za DP World na Bandari

    Napata hasira kali sana kuona hawa Makanjanja wakiongelea mambo nyeti ya nchi kwa ushabiki na mzaha. Hawa watu wamejaa ujinga na masihara inatia aibu kuona wanavyoongea na kujaribu kuelezea vipengele vya kisheria kuhusu mkataba huu ila hamna wanachojua aibuu tupu.
  9. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Mwijaku ana juzuu 30 ila maisha anayoishi hayaendani kabisa na elimu ya dini aliyonayo

    Niseme tu ukweli huyu jamaa huwaga namshangaaga sana, licha ya kukaa sana madrasa na kufanikiwa kumaliza juzuu 30 ila maisha anayoishi hayaendani kabisa na elimu aliyonayo. Hatukatai anajitafutia rizki ila kwa kweli ni too much haswa kwa mtu kama yeye. Kwa alipofikia sidhani kama atakuwa...
  10. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Mwijaku ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Machawa wa Rais Samia kwa Mkoa wa Dar es Salaam

    Mwijaku ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Chawa wa Mama Mkoa wa Dar es Salaam. Mtanzania maarufu wa Kituo Cha Redio kongwe nchini Clouds FM Mwemba Burton almaarufu kama Mwijaku ametangazwa kuwa Mwenyekiti wa Chawa wa Mama Mkoa wa Dar Es Salaam. Katibu wa Chawa wa Mama Taifa Neema Karume amesema...
  11. Program Manager

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kutoka kwa Mwijaku

    Anaandika MWAJAKU a.k.a DC wa Insta #FACT- MWAMBINO chukua hii , Mwanaume unatakiwa kuwa na ubongo wenye macho kujua wazo linakokwenda na masikio yenye mzani wa kupima kila kauli ,na moyo wenye utulivu kuweza kuwa na subira katika uwekezaji wa mapenzi. Mtandao wa #www.fortune.com umeonyesha...
  12. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Mwijaku: Ni wakati sahihi kwa Nandy kuanza kupeleka matumizi ya mtoto kwa Mobetto

    Mwijaku amedai ni aibu kubwa kwa msanii mkubwa Kama Nandy na mumewe kuendelea kusaidiwa kutunziwa Mtoto na msanii mwenzake Diamond. Mwijaku amemtaka Nandy akamshukuru ndg Diamond kwa kipindi chote alichomsaidia na malezi ,Kisha yeye kuendelea kutuma hela ya matumizi kwa Mobetto mpaka Mtoto...
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku, kwanini umeifanya Taasisi ya Mwalimu Nyerere mali yako binafsi mpaka wafadhili wameisusa?

    Taasisi ya Mwalimu Nyerere ilitarajiwa iwe nzito, reference point kwenye tafakuri za kikanda na nchi. Mambo ni tofauti, taasisi hii imegeuka ni mti wa huyu Mzee wa Butiama kuota jua wakati huu wa uzee wake. Haina mvuto, ipoipo tu inavizia matukio ya kisiasa, hesabu zake hazijakaguliwa miaka...
  14. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Harmonize kama anayoongea Mwijaku ni uongo nenda mahamani! Ukikaa kimya utakuwa mjinga

    Mwijaku amevuka mipaka ya umbea, na amefikia Mahali pabaya kiasi Cha kujaribu kuidhalilisha familia ya Harmonize na Kajala. Mwijaku anadai Hamo analala na Kajala pamoja na Pau Kwa wakati mmoja ni udhalilishaji mbaya mno kuwahi kutokea! Maswali ya kujiuliza ni je Mwijaku Huwa anaingia...
  15. brave one

    JamiiForums Tanzania Mwijaku atoa onyo kwa atakayepita na mke wake

    Kupitia Instagram Mwijaku atoa pole kwa Masanja na kutoa onyo vijana atakayepita na mke wake.
  16. N

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Mwijaku unaharakishwa muda huu

    Baada ya pengo la attack dog kutokea leo imeonekana kwamba kwa sasa hivi kutakuwa na ombwe kubwa la mtu wa kurusha dhihaka na vijembe kwa Barbara na Mo dewji Kwa kuwa ni wazi H Bumbuli hawezi kazi hiyo shughuli hiyo inaangukia kwa Mwijaku ambaye yeye mwenyewe juzi kasema yuko tayari kufanya...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Ubunifu wa Manara umeshuka, Mwijaku anahitajika haraka

    Baada ya Mwijaku kulalamika kwamba Mo Dewji ana dharau hapokei simu zake na ya kwamba tajiri wa yanga Gharib huwa anamualika mara kwa mara pale salamander nili break news kwamba yupo kwenye negotiation ya kuhamia yanga kwa kupewa millions 60, gari kali pamoja na kupangiwa nyumba masaki Wengi...
  18. Internet-Money

    JamiiForums Tanzania VIDEO : Mbowe na Mwijaku wakiwa katika uchawa

    Bora limekufa lile lienda kuzimu 😂😂😅😆
  19. F

    JamiiForums Tanzania Mwijaku na Baba Levo wanapata utajiri kwa kujifanya wajinga, huku Wasomi wanalia njaa

    FACT OF LIFE. Hawa Jamaa wamejizima data vichwani lakini ndio maisha yanaenda hivyo, watukane, wakejeli, wakashfu lakini mara leo wameingia mkataba huu mara kesho ule. Ndivyo dunia ya kibepari ilivyo sio kwamba hawana akili timamu, wanazo. Wameamua tu kuzima data. Wakati mwingine ukijifanya una...
  20. Chinga One

    JamiiForums Tanzania Harmonize una cha kujifunza, kutoka kwa Mwijaku na H-Baba

    Tunaweza kusema hawa mabwana wanatafuta pesa, ila ukweli ni kwamba Harmo anatakiwa awe makini sana na wanaojiita machawa wake huenda ndio wana "msnitch" NB: "Ukiwa fukara kamwe huwezi kuwa kiburi, maskini jeuri ni msemo tu usiuweke kwenye akili" - Mwana FA.
Back
Top Bottom