Usajili wa Mwijaku unaharakishwa muda huu

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,663
Baada ya pengo la attack dog kutokea leo imeonekana kwamba kwa sasa hivi kutakuwa na ombwe kubwa la mtu wa kurusha dhihaka na vijembe kwa Barbara na Mo dewji

Kwa kuwa ni wazi H Bumbuli hawezi kazi hiyo shughuli hiyo inaangukia kwa Mwijaku ambaye yeye mwenyewe juzi kasema yuko tayari kufanya kazi hapo kwa mabingwa akipewa kwani Mo dewji hapokei simu zake

Kazi kwenu wananchi,miaka 2 ni mingi sana kwa Mo dewji na Barbara kupumzika bila kutukanwatukanwa kidoogo

NB: deal la diamond platnumz kuhamia yanga linaenda vizuri anaweza tambulishwa siku ya yanga day akiwa na nyimbo mpya , wote yeye na mwijaku ni masuala ya kimaslahi tu yanawekwa sawa

Litakuwa pigo kubwa sana kwa makolo baada ya kuhamwa na Marioo aliyetoa nyimbo kali ya yanga tamu
 
Nasikia Bumbuli ameshaanza sherehe huko ananunulia watu divai za kufa mtu.
 
Baada ya pengo la attack dog kutokea leo imeonekana kwamba kwa sasa hivi kutakuwa na ombwe kubwa la mtu wa kurusha dhihaka na vijembe kwa Barbara na Mo dewji

Kwa kuwa ni wazi H Bumbuli hawezi kazi hiyo shughuli hiyo inaangukia kwa Mwijaku ambaye yeye mwenyewe juzi kasema yuko tayari kufanya kazi hapo kwa mabingwa akipewa kwani Mo dewji hapokei simu zake

Kazi kwenu wananchi,miaka 2 ni mingi sana kwa Mo dewji na Barbara kupumzika bila kutukanwatukanwa kidoogo

NB: deal la diamond platnumz kuhamia yanga linaenda vizuri anaweza tambulishwa siku ya yanga day akiwa na nyimbo mpya , wote yeye na mwijaku ni masuala ya kimaslahi tu yanawekwa sawa

Litakuwa pigo kubwa sana kwa makolo baada ya kuhamwa na Marioo aliyetoa nyimbo kali ya yanga tamu
Mwijaku hawezi kusajiliwa yanga hata siku moja
 
we Jamaa inaonekana uto kuna kitu walikukosea maana sio Kwa kuwaanzishia nyuzi nyingi za kuwaponda kila siku
 
Ikiwa ni hivyo nitaamini yale maneno aliyosema Haji Manara kuwa wenye akili huko Yanga ni Kikwete na mzee Sunday Manara tuu, wengine wote ni aina ya mzee Mpili
 
Baada ya pengo la attack dog kutokea leo imeonekana kwamba kwa sasa hivi kutakuwa na ombwe kubwa la mtu wa kurusha dhihaka na vijembe kwa Barbara na Mo dewji

Kwa kuwa ni wazi H Bumbuli hawezi kazi hiyo shughuli hiyo inaangukia kwa Mwijaku ambaye yeye mwenyewe juzi kasema yuko tayari kufanya kazi hapo kwa mabingwa akipewa kwani Mo dewji hapokei simu zake

Kazi kwenu wananchi,miaka 2 ni mingi sana kwa Mo dewji na Barbara kupumzika bila kutukanwatukanwa kidoogo

NB: deal la diamond platnumz kuhamia yanga linaenda vizuri anaweza tambulishwa siku ya yanga day akiwa na nyimbo mpya , wote yeye na mwijaku ni masuala ya kimaslahi tu yanawekwa sawa

Litakuwa pigo kubwa sana kwa makolo baada ya kuhamwa na Marioo aliyetoa nyimbo kali ya yanga tamu
Sawa mwijaku sis atacheza kama kiungo uwanjani na diamond forwad.....stor uchwaraaa
 
we Jamaa inaonekana uto kuna kitu walikukosea maana sio Kwa kuwaanzishia nyuzi nyingi za kuwaponda kila siku
Alhaji albino Sope binobino takadini katika mojawapo ya jukumu lake hapo utopoloni ilikuwa ni kuwatukana Mo dewji na Barbara ili wasuse na kuiacha team sasa itabidi tu wamchukue mwijaku manaa Nugaz hawezi kutukana.
 
Sawa mwijaku sis atacheza kama kiungo uwanjani na diamond forwad.....stor uchwaraaa
Usajili wa marioo na kupewa hela mamilioni ya kuhama simba na kutoa nyimbo ya yanga tamu inamaanisha anacheza namba ngapi uwanjani? unadhani nani mwingine ataziba pengo la kumtukana Mo dewji ? unaodhani walioumuajiri Takadini kwa kazi ya kutukana ni wajinga?
 
.
1658406073467.jpg
 
Back
Top Bottom