mwigulu

Mwigulu Lameck Nchemba (born 7 January 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Iramba West constituency since 2010.In December 2015, he was appointed as the Minister of Agriculture, Livestock and Fisheries.
In July 2018 he was sucked down by Magufuli due to poor performance as the Minister of Home Affairs

View More On Wikipedia.org
  1. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Nilishataka kila mmoja ajaze fomu kitu alichonacho, nikaambiwa nitaleta taharuki kwanza hiyo niachane nayo

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Juni 5, 2026 akizungumza na wakazi wa Isimani, Mkoani Iringa amesema serikali itaangalia sheria zilizopo kwenye maadili kuhakikisha mianya ya upigaji inazibwa. Mwigulu amesema kuna watumishi wapo kwenye bomba pesa zinapomwagika ila hawalazimishwi kutaja...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Rais amfute kazi Mwigulu Nchemba ameshindwa kutekeleza majukumu yake

    Act wazalendo wamedai kuwa Waziri mkuu ameshindwa kusimamia majukumu hasa usalama wa raia. Hii ni baada Bibi mzeee kulia mbele ya waziri mkuu kuwa mtoto wake ametekwa na polisi tangu Aprili 21 lakini hakupata msaada Au sababu wanaotekwa wanaigiza?
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba hafiki 2030 akiwa Waziri Mkuu

    Kwa tabia na mwenendo wake wa sasa akiwa Waziri Mkuu, amini nawaambia, haitafika 2030 akiwa Mtendaji mkuu wa Serikali Kukalipia, kuonya na hata anavyo hangaika kujifanya/kumwiga Magufuli kwa vitendo, ni kazi bure! Atasukiwa zengwe litakalo zidi la mwendazake Lowassa na atalazimishwa ku-resign...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nimeona mama mmoja analia kwa uchungu mbele ya Mwigulu Nchemba kuwa mtoto wake alitekwa na polisi. Je haya ni maigizo yanayofanywa na Chadema?

    Mama huyu amelia kwa uchungu sana. Tena Waziri mkuu ameona kwa kauli yake kwa kusema kuwa wanaChadema wanajiteka akimaanisha hakuna utekaji. Mama amelia kwa uchungu sana maana anadai polisi walifika nyumbani wakijifanya wamachinga na kumteka mtoto wake tangia mwezi wa nne. My take; hata kama...
  5. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Ziara za Waziri Mkuu Mwigulu Mchemba: Je, ni utatuzi wa kweli wa kero au ni Usanii na Kiini Macho? Mbona hatuoni mrejesho?

    Wana-JF, Kumekuwa na utaratibu uliozoeleka wa Waziri Mkuu, Mheshimiwa Mwigulu Mchemba, kufanya ziara mbalimbali sehemu mbalimbali nchini. Katika ziara hizo, pamoja na mambo mengine, amekuwa akitenga muda wa kusikiliza na kutatua kero za wananchi. Katika utatuzi huo, tumekuwa tukishuhudia mambo...
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hekaya za Idu: ziara za Waziri Mwigulu Nchemba zinatafakarisha sana. Ni kama taifa halina waziri mkuu na limepotea.

    Waziri mkuu kwa mujibu wa katiba JMT ndio msimamizi wa shuguli zote za serikali. Sasa Msimamizi wa shughuli za serikali anapokuwa namna hii taifa letu linaenda wapi? Limepotea na shughuli za serikali zimekwama. Huwezi kuwa waziri mkuu alafu unatatua kero za wanancho kisanii namna hii. Mfano...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mwigulu aagiza Kurejeshwa Sh500 Milioni zilizobainika kuhamishwa kutoka akaunti mbalimbali za miradi ya maendeleo Manyoni

    Waziri Mkuu Dk Mwigulu Nchemba ameamuru kurejeshwa mara moja kwa zaidi ya Sh500 milioni zilizobainika kuhamishwa kutoka akaunti mbalimbali za miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni, mkoani Singida. Akizungumza katika ziara yake waliyani Manyoni Jumamosi, leo Mei 30, 2026...
  8. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu arejea nchini akitokea mkutano wa AFDB, Congo

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amerejea nchini Tanzania akitokea jijini Brazzaville, Jamhuri ya Kongo alikomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 61 wa Mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB). Dkt. Mwigulu aliagwa na Meya wa Jiji la Brazzaville...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ado Shahibu: Watekaji, Wauaji wamepata mtetezi Mwigulu Mchemba, Waziri Mkuu

    Sikiliza clip! Sina la kuongeza , si mimi bali Ado Shahibu! Hotuba ya jana ya Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba imewakosea sana Watanzania na ACT Wazalendo tusipoweza kusimama kwa kujaiamini na kuusema ukweli hakika chama hichi akitopendwa na Watanzania
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba hufai kuwa rais au waziri mkuu hata kama unataka sympathy kupitia dhehebu la walutheli.

    Kwanza kabisa nikuambie ukweli waziri mkuu upo hapo kwenye hicho kiti lakini Watanzania wanakuchukia sana. Unahusishwa na ufisadi mwingi. Kumiliki mabasi yanayofahamika huku wewe ni kiongozi wa umma na haukutaja namna ulivyoyapata wewe na mke wako. Tatu unachukiwa sababu ulishawahi kuwatamkia...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu kama amemsikia Lema huko Dodoma leo, sijui atakuwa kwenye hali gani

    Kwa waliomsikia Godbless Lema akihutubia mkutano wa hadhara mkoani Dodoma leo hii, bila shaka watakubaliana na mimi kwa jinsi Lema alivyomshukia Mwigulu kwa kauli yake kuhusu watu kutekwa kuwa ni michezo. Binafsi, siamini kama Mwigulu anaweza kusikiliza hiyo clip mpaka mwisho na akabaki sawa...
  12. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Walimpiga Lissu risasi ili ionekane ni Serikali

    Hebu fikiri tu kuwa, huyu eti ndiye PM wa Tanganyika. Ndiye mshauri wa karibu wa Rais Samia. Kwanini tuendelee kushangaa kwa kuwa na serikali inayojua kuteka, kutesa, kufira, kulawiti na kuua tu wakosoaji wake..? Kwa sababu, ukimsikiliza huyu jamaa (Nchemba), unakosa kabisa coordination ya...
  13. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Kama Mwigulu asingesoma na kuwa mwanasiasa angukua tapeli

    . Huyu bwana haoni haya kudanganya. Anaropoka chochote anashusha hadhi ya waziri mkuu hizo cheap propaganda amwachie kihongosi
  14. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Bwana Mwigulu, Mchumi wa Makaratasi, uliyetembelea 'Uwezo wa Mzee Mpango", Acha Siasa za 1900, Unabwabwaja, Watanzania wa Sasa sio wa kuambiwa Upuuzi

    Yaan unajiita Mchumi, mara msomi, alafu kwenye Mkutano Unasema TUKIO la Lissu lilitengenezwa?? Yaan wewe unaona Watanzania ni Mazwazwa ? Au TU umeamua kuwatia Watanzania Hasira wachukie zaidi?. Niku challenge? Kwakua Ni TUKIO la kutengenezwa kwa Lengo la kuchafua Serikali, Toka 2017 Hadi...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Awamu ya 5 kuna Kiongozi mkosoaji alishambuliwa ilionekane ni Serikali

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesayasema hayo Mei 23, 2026 wakati akizungumza na wananchi wa mkoa wa Iringa, katika viwanja vya kichangani. Dkt. Mwigulu yupo mkoani Iringa kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Nchi yetu inao vibaraka wengi. Inafanyika michezo ya kulipia baadhi ya watu wafanye vitendo vya kihalifu

    Wakuu Waziri mkuu Mwigulu Nchemba akiwa mkoani Iringa anasema: Ujasusi wa dunia hii, ameufuatilia kwa miaka mingi sana. Anaijua michezo mingi. "Najua haya yaliyotokea Ghana, najua yaliyotokea Congo, najua yaliyotokea Angola, na... najua maeneo mengi yaliyowahi kutokea. Tanzania si alikuwa...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Nchi haina upungufu wa Umeme, Ina ziada—Changamoto ipo kwenye Uimarishaji wa Gridi

    "Sasa hivi nchi yetu haina upungufu wa umeme, ina ziada ya umeme. Na kama kuna eneo umeme bado unakatika-katika, tatizo sio upungufu. Sasa tatizo lililopo ni kwamba, gridi ile ilitengenezwa kwa ajili ya mtawanyo mdogo. Tulivyoongeza mtawanyo, tumeongeza na uzalishaji, lazima pawe na uimarishaji...
  18. IKEKERA

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba, unafanya kazi nzuri sana. Kaza buti

    Kiukweli PM unafanya kazi nzuri sana za kutatua kero za wananchi.. Ukitangaza tu ziara sehemu yoyote kiukweli watendaji wa serikali wanawajibika kwa wananchi 100%..juzi ulitangaza kwenda mkoa X kiukweli wanahaha kutatua kero za wananchi mpaka usiku kabisaa. Naomba usikatishwe tamaa na viongozi...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu asema Serikali imejipanga kujenga jengo lenye hadhi ya kimataifa Airport ya Mwanza

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali inaendelea kuchukua hatua kuhakikisha Uwanja wa Ndege wa Mwanza unaboreshwa na kujengwa katika hadhi ya kimataifa ili kuendana na hadhi ya jiji la Mwanza kama kitovu muhimu cha shughuli za kiuchumi Kanda ya Ziwa. Amesema hayo bungeni jijini...
  20. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu ashiriki chakula cha jioni kilichoandaliwa na Rais Ruto

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba jana Mei 11, 2026 alishiriki chakula cha jioni cha kitaifa kilichoandaliwa na Rais wa Kenya Dkt. William Ruto kwa heshima ya Wakuu wa Nchi na Serikali wanaoshiriki Mkutano wa Ushirikiano wa Afrika na Ufaransa Dkt. Mwigulu yupo nchini Kenya akimuwakilisha Rais...
Back
Top Bottom