mwigulu

Mwigulu Lameck Nchemba (born 7 January 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Iramba West constituency since 2010.In December 2015, he was appointed as the Minister of Agriculture, Livestock and Fisheries.
In July 2018 he was sucked down by Magufuli due to poor performance as the Minister of Home Affairs

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania DKT. MWIGULU: KILA KIJIJI KUWA NA SEKONDARI ▪️Aelekeza fedha zinazookolewa kwenye kubana matumizi zielekezwe kwenye huduma za wananchi.

    DKT. MWIGULU: KILA KIJIJI KUWA NA SEKONDARI ▪️Aelekeza fedha zinazookolewa kwenye kubana matumizi zielekezwe kwenye huduma za wananchi. ▪️Aagiza magari ya kubeba wagonjwa yawe na mafuta, aonya wanaowachangisha wagonjwa. ▪️Ampongeza Afisa Elimu aliyesimamia shule kuongoza kitaifa. WAZIRI...
  2. H

    JamiiForums Tanzania DKT. MWIGULU AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA JENGO LA OFISI ZA HALMASHAURI YA BAHI

    DKT. MWIGULU AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA JENGO LA OFISI ZA HALMASHAURI YA BAHI Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumamosi, Septemba 5, 2026, amekagua maendeleo ya ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Bahi na kuweka jiwe la msingi la mradi huo, unaolenga...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akiwasili kwenye mkutano, Ilongero - Singida tarehe 06 Septemba, 202

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akiwasili kwenye mkutano, Ilongero - Singida tarehe 06 Septemba, 2026.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akiwasili kwenye mkutano, Ilongero - Singida tarehe 06 Septemba, 202

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akiwasili kwenye mkutano, Ilongero - Singida tarehe 06 Septemba, 2026.
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu aweka jiwe la msingi ujenzi wa jengo la ofisi za halmashauri ya Bahi

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumamosi, Septemba 5, 2026, amekagua maendeleo ya ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Bahi na kuweka jiwe la msingi la mradi huo, unaolenga kuboresha mazingira ya utendaji na utoaji wa huduma kwa wananchi. Akiwasilisha taarifa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Mwigulu: Msijichukulie chombo cha mtu anachofanyia kazi, waachieni waendelee na kazi walipe faini

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amekemea ukamataji holela wa vyombo vya moto, huku akisisitiza kuwa ni bora zaidi kutoza faini na kumuachia muhusika chombo chake ila aweze kutafuta faini na kuilipa. Ameyasema hayo leo Septemba 5, 2026, wakati akizungumza na wananchi wa Bahi, Mkoani Dodoma...
  7. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania DKT. MWIGULU: IFIKAPO 2030 MWANZA–DODOMA KWA SGR

    ▪︎ Aagiza Wizara ya Fedha na Uchukuzi kuharakisha utekelezaji ▪︎ Aelekeza leseni za madini zisizoendelezwa kufutwa ▪︎ Asisitiza kupunguzwa kwa matumizi yasiyo ya lazima WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameiagiza Wizara ya Fedha na Wizara ya Uchukuzi, kwa kushirikiana na Shirika la Reli...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Ifikapo 2030 wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM waje Dodoma wakiwa SGR kutoka Mwanza

    ▪︎ Aagiza Wizara ya Fedha na Uchukuzi kuharakisha utekelezaji. ▪︎ Aelekeza leseni za madini zisizoendelezwa kufutwa. ▪︎ Asisitiza kupunguzwa kwa matumizi yasiyo ya lazima. WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameiagiza Wizara ya Fedha na Wizara ya Uchukuzi, kwa kushirikiana na Shirika la Reli...
  9. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Tuwawezeshe Watanzania kushika uchumi wao

    ▪︎ Azindua Mfumo wa Kitaifa wa Taarifa za Uwezeshaji Kiuchumi (NEMIS) ▪︎ Ataka wigo wa miradi kwa Watanzania kupanuliwa WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa wito wa kuhakikisha Watanzania wanashiriki kikamilifu katika uchumi wa nchi yao, akisisitiza kuwa uwezeshaji wa wananchi ni msingi...
  10. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Nchemba ameongoza Mkutano wa kazi wa Mawaziri

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Septemba 03, 2026 ameongoza Mkutano wa kazi wa Mawaziri, kwenye ukumbi wa mikutano wa Hazina jijini Dodoma.
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded Mwigulu Nchemba: Maveterani wa Vita ya Kagera wataanza kulipwa mwaka huu wa fedha

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchembaakiwa Bungeni leo Septemba 3, 2026 amezungumzia malipo ya wanajeshi waliopigana katika Vita ya Kagera Mwaka 1978. Pia soma ~Mafao ya Wanajeshi waliopigana vita ya Kagera imekuwa ahadi isiyotekelezeka Mara kadhaa Wadau mbalimbali wamekuwa wakihoji kuhusu malipo...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Mbunge wa Songwe, Philipo Mulugo kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Septemba 1, 2026

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Mbunge wa Songwe, Philipo Mulugo kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Septemba 1, 2026.
  13. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu Ashiriki Kikao cha Bunge

    DKT. MWIGULU ASHIRIKI MKUTANO WA BUNGE Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Agosti 31, 2026 ameshiriki Kikao cha Nne cha Mkutano wa Nne wa Bunge la 13.
  14. H

    JamiiForums Tanzania DKT MWIGULU: SERIKALI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA TAASISI ZA DINI KATIKA MAENDELEO YA TAIFA

    DKT MWIGULU: SERIKALI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA TAASISI ZA DINI KATIKA MAENDELEO YA TAIFA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali itaendelea kushirikiana kwa karibu taasisi za dini likiwemo kanisa Katoliki katika kuimarisha huduma za kijamii, maendeleo na ustawi wa wananchi...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu aongoza harambee ya maombi ya kitaifa, achangisha milioni 700

    DKT. MWIGULU AONGOZA HARAMBEE YA MAOMBI YA KITAIFA, ACHANGISHA MILIONI 700. ▪️Asisitiza maadili na uwajibikaji kama mhimili wa Dira 2050. WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa wito kwa Watanzania, taasisi za umma, sekta binafsi, na viongozi wa dini kuwekeza katika malezi, uadilifu, na...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu awasili Katavi kushiriki jubilei ya miaka 25 ya jimbo katoliki la Mpanda

    DKT. MWIGULU AWASILI KATAVI KUSHIRIKI JUBILEI YA MIAKA 25 YA JIMBO KATOLIKI LA MPANDA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Agosti 30, 2026, amewasili Mpanda mkoani Katavi kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 25 ya Jimbo Katoliki la Mpanda. Maadhimisho hayo yanafanyika...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Tumejipanga kukabiliana na athari zinazoweza kusababishwa na mvua za Elnino - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Tumejipanga kukabiliana na athari zinazoweza kusababishwa na mvua za Elnino - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Bungeni-Dodoma 🗓️ Agosti 27, 2026. ————————————- Amesema hayo wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini, Johnston Mtasingwa.
  18. F

    JamiiForums Tanzania Ni dhahiri sasa vita vya chinichini ni kati ya Mwigulu, Makonda na Ndejembi

    Itakumbukwa waziwazi kuwa Mwigulu na Makonda Walikuwa wakimfitini Nchimbi. Halikadhalika Makonda hampendi Mwigulu na anatamani naye aanguke puuuhhh. Wasichokijua ni kuwa aliyeletwa yaani Ndejembi aye kama binadamu baada ya muda ataanza kuiwaza 2030. Hivyo ataingia ktk mawindo Siasa ni hovyo...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Mwigulu katika vitu vitakuangusha ni Ulutheri. Sahivi Malasusa ana kibri mbaya sana. Hakika tutamkumbuka Magu

    Magufuli alisema tutamkumbuka, nq ni kweli! Sahivi hata uandike malalamiko hakuna wa kuzingatia wala kujali. Viongozi wa KKKT wana kiburi na dharau itafika watanzania watachoma zile taasisi zao Kuna mmoja MKINGA yuko pale TUMAINI UNIVERSITY MAKUMIRA-ARUSHA, aliingia madarakani mwaka jana, yule...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akijibu maswali ya papo kwa papo kutoka kwa Wabunge Bungeni jijini Dodoma. Agosti, 27 2026.

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akijibu maswali ya papo kwa papo kutoka kwa Wabunge Bungeni jijini Dodoma. Agosti, 27 2026.
Back
Top Bottom