mwigulu

Mwigulu Lameck Nchemba (born 7 January 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Iramba West constituency since 2010.In December 2015, he was appointed as the Minister of Agriculture, Livestock and Fisheries.
In July 2018 he was sucked down by Magufuli due to poor performance as the Minister of Home Affairs

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania Mwigulu katika vitu vitakuangusha ni Ulutheri. Sahivi Malasusa ana kibri mbaya sana. Hakika tutamkumbuka Magu

    Magufuli alisema tutamkumbuka, nq ni kweli! Sahivi hata uandike malalamiko hakuna wa kuzingatia wala kujali. Viongozi wa KKKT wana kiburi na dharau itafika watanzania watachoma zile taasisi zao Kuna mmoja MKINGA yuko pale TUMAINI UNIVERSITY MAKUMIRA-ARUSHA, aliingia madarakani mwaka jana, yule...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akijibu maswali ya papo kwa papo kutoka kwa Wabunge Bungeni jijini Dodoma. Agosti, 27 2026.

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akijibu maswali ya papo kwa papo kutoka kwa Wabunge Bungeni jijini Dodoma. Agosti, 27 2026.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kishindo cha ziara ya kushtukiza ya Dkt. Mwigulu yaacha neema kwa wagonjwa Hospitali ya Mwananyamala

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba alifanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala, ambapo alitembelea baadhi ya wodi za mama na mtoto. Siku kadhaa baadae timu ya ufuatiliaji na tathmini ikapita katika hospitali hiyo ili kuangalia mapokeo na furaha waliyo nayo wananchi...
  4. Nguva Jike

    JamiiForums Tanzania Mh.Waziri mkuu wa Tanzania Mwigulu Lameck Nchemba tembelea wilaya ya Kilindi Tanga uwaokoe walimu wanaofanyiwa udikteta wa hali ya kutisha bila kutete

    Kwanza nakusalimia Kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania.Kazi iendelee. Naandika Kwa maumivu makali moyoni juu ya udikteta wa kutisha unaofanywa Kwa walimu wanaodai madai mbalimbali hapa wilayani Kilindi Tanga.Pesa za likizo hazitolewi Kwa wakati Kwa watumishi na zikija zimekatwa. Pesa...
  5. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Makonda na Mwigulu Nchemba nani ataukwaa umakamu wa rais.

    Mpaka sasa kuna 85% ya Makonda kuukwaa umakamu wa rais au Mwigulu Nchemba. Mmoja kati ya hawa ndiye atakabidhiwa kijiti. Tuweni wapole , muda utazungumza . Mungu atuvushe salama kwenye hichi kipindi kigumu tunachopitia watanganyika.
  6. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Je haiwezekani katika bwawa la rufiji wakapandikizwa sato?

    Ili watanzania baada ya miaka miwili wafaidi kitoweo hiki adhimu sana na kinono?... Bila kufanya biashara ya kuwalisha na kupata gharama za ziada, yaani waishi katika misingi ya asili, je linawezekana? #Wajuzi mtujuze! -SATO -SANGARA
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwigulu aagiza kasi ya ujenzi wa viwanja vya mazoezi vya AFCON iongezeke, ataka Wakandarasi kukamilisha mikataba ya Wafanyakazi

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza kuongezwa kasi ya ujenzi wa viwanja vya mazoezi vitakavyotumika katika mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027, ili vikamilike kwa wakati na kukidhi viwango vinavyotakiwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF). Amesema kazi hiyo...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Nane nane njema kutoka kwa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Ninaungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika kuwapongeza na kuwashukuru wakulima, wafugaji na wavuvi kwa mchango wao mkubwa katika uzalishaji wa chakula, malighafi, ajira na ukuaji wa uchumi wa Taifa. Katika maadhimisho ya Siku ya Wakulima (Nane...
  9. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Amegeukwa na Boss wake?

    Huyu aliahidiwa atarithishwa kiti ili kulinda uovu wa october lakini sasahivi Yezebeli ameona ampe ahadi hiyo makamu wake endapo atafanikiwa kuteka hisia za watu. Watanzania msikubali kuchezewa akili, hawa wote wanastahili kupelekwa mahali alipopelekwa Polepole. Haiwezekani mfanye mauaji halafu...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Fedha za Marathon zilete tija kwa walengwa ~ Dkt. Mwigulu Nchemba

    FEDHA ZA MARATHON ZILETE TIJA KWA WALENGWA ~ Dkt. MWIGULU ▪️Serikali kuendelea kuboresha miundombinu wezeshi Mkoani Dodoma. Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amezitaka wizara na taasisi zinazonufaika na fedha za NBC Marathon zihakikishe zinatumika kwa uwazi na kwa kuzingatia thamani ya fedha...
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PHD Nchimbi anadai KATIBA Mpya, Vilaza akina Ridhiwani, Mwigulu, Abdul, wanasema Achaneni na KATIBA Mpya

    Mwigulu, na Magenge yenu yote, nyinyi fahamu ya kua JINAI HAIFI. Kama sio kuwaadhibu Nyinyi, Tutaadhibu Vizazi VYENU , Vizazi VYENU na vyenyewe vitalazimika Kuaanza Upya !!.
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba akagua maandalizi ya Siku ya Mashujaa - Dodoma

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Julai 17, 2026 amekagua na kupokea taarifa ya maandalizi ya Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa yanayotarajiwa kufanyika Julai 25, 2026 katika Viwanja vya Mashujaa, Mtumba, jijini Dodoma. Katika ukaguzi huo, Waziri Mkuu ameridhishwa na hatua zilizofikiwa na...
  13. USSR

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Dkt Mwigulu Lameck Nchemba awasili Ufaransa kumwakilisha Rais katika siku ya Kiswahili

    WAZIRI MKUU AWASILI UFARANSA KUMWAKILISHA RAIS SAMIA KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili jijini Paris, Ufaransa leo, Julai 6, 2026, kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Siku...
  14. Mohamed Ismail

    JamiiForums Tanzania Uzalendo wa Mwigulu ni tunu kwa taifa

    Anaandika Mo Mlimwengu Uzalendo ni hali ya mtu kuipenda, kuithamini na kujitolea kwa ajili ya nchi yake. Mwandishi na mwanafalsafa mmoja wa kifaransa ajulikanaye kama François-Marie Aroue(Voltaire) anasema anasikitika kuona mtu ambaye ni mzalendo anakua na maadui wengi.Kati ya jambo kubwa...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba Aunguruma. Apiga Marufuku Na kutoa Maagizo ya Kukamatwa na kufuatiliwa viongozi Wanaojadili kuhusu Uchaguzi Wa 2030

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri Mkuu wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Mr CLEAN Amepiga Marufuku Na kutoa Maagizo Mazito kwelikweli ya kufuatiliwa na kukamatwa wale Viongozi Wote Ambao wamekaa maofisini na kwenye makundi ya Wasapu wakifanya kazi ya kujadili kuhusu Uchaguzi...
  16. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba, Kauli zako zinahatarisha Usalama wa Nchi

    "Wamepanga kupiga Risasi Waandamanaji ili Waseme ni Serikali " Hiii Kauli haikupaswa kutolewa na Mtu wa aina yako kiuongozi hata km ni Serikali Haramu. Hii ni Kauli inayovua Nguo Vyombo vya Usalama na wakati huohuo kuweka Usalama wa NCHI hatarini.
  17. M

    JamiiForums Tanzania John Mnyika: Siyo kweli kwamba Mwigulu na Serikali hawana Mgogoro na Sisi, ndiyo maana wamezuia ruzuku ya mil. 500

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema chama hicho kinakataa kauli ya Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa Serikali haina mgogoro na vyama vya siasa(ikiwemo CHADEMA), akidai kuwa kauli hiyo sio ya kweli. Mnyika amesema kauli ya serikali kupitia Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi...
  18. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu; Kama wanaharakati ni tatizo, kwanini wanaowaua waandamanaji hawakamatwi?

    Tangu yalipotokea machafuko ya Oktoba 29, 2025, Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amesikika mara kadhaa akiwalaumu wanaharakati hasa wanaoishi nje ya nchi, akidai kuwa wao ndio waliochochea na wanafanya hivyo kwa kuwa wanalipwa fedha na mataifa waliyokimbilia. Miongoni mwa kauli hizo ni ile aliyoitoa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Serikali imeshikwa pabaya!! Ndani ya wiki moja, Mwigulu amelazimika kuhutubia katika ngome za Lissu na Heche

    Hakika Lissu na Heche wameishika serikali pabaya. Vinginevyo mnieleze kwanini Mwigulu Nchemba anatapatapa na mikutano Ikungi na Nyamongo. ..Na ziara hiyo imetanguliwa na kuzuiwa kwa mikutano aliyokuwa akifanya John Heche. ..Je, Mwigulu anaogopa kufanya mikutano huku Heche naye akifanya ya...
  20. econonist

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mwigulu: Tofautisha Uwaziri Mkuu na Ukatibu mwenezi wa CCM

    Kwako Mheshimiwa Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba, Nina ushauri Mmoja tu kwako. Naomba nikushauri ya kwamba tofautisha nafasi ya Uwaziri Mkuu na nafasi ya ukatibu mwenezi wa CCM. Ushauri wangu ni kwamba Kuna kauli ambazo hutakiwi kuongea kwa nafasi uliyonayo ya Waziri Mkuu. Wewe ni kiranja wa...
Back
Top Bottom