mwigulu

Mwigulu Lameck Nchemba (born 7 January 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Iramba West constituency since 2010.In December 2015, he was appointed as the Minister of Agriculture, Livestock and Fisheries.
In July 2018 he was sucked down by Magufuli due to poor performance as the Minister of Home Affairs

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mwigulu aipongeza Simba kwa Ushindi wa mbinde dhidi ya Yanga

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza Bungeni leo Aprili 30, 2026, ameipongeza klabu ya Simba kwa ushindi wa bao 1 dhidi ya Yanga. Klabu ya Simba ilitwaa ubingwa wa Muungano mbele ya Yanga katika fainali iliyochezwa katika Uwanja wa New Amaan Complex...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa gari lililotumika kuua watu Oktoba 29, 2025 limeonekana tena kwenye Ziara ya Dkt Mwigulu

    Swali, Mpaka hapa bado kuna mtu hajajibiwa swali la nani alitoa amri ya kuua watu iwapo magari yaliyotumika kuua watu bado wanayatumia kuonesha hawajali wala kuogopa chochote?
  3. H

    JamiiForums Tanzania Huruma ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kwa Mwenyekiti wa ALAT anayemaliza muda wake.

    Huruma ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kwa Mwenyekiti wa ALAT anayemaliza muda wake.
  4. USSR

    JamiiForums Tanzania Mwigulu amejipa umasihi wa kuponya mioyo na sasa nchi nzima wanaimba jina lake. Mungu amtangulie afike mbali

    Katika kipindi hiki ambacho watanzania wanahitaji majibu ya matatizo yao hasa dhuluma, unyanyasaji, unyang'anyi wa mfumo ,maonevu ya kijamii hasa ndugu Mungu amemuinua Mwigulu kuja kuwapa majibu ya haraka na yauhakika wa haki zao papo kwa hapo hapa Mungu anamtumia Mwigulu kuwa masihi wa taifa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Tufunge Camera uwanjani kukomesha ushirikina

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza uwanja wa mpira wa miguu Arusha ufungwe kamera nyingi ili kukomesha vitendo vya ushirikina ndani ya uwanja.
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwigulu atoa maagizo mawili Uwanja wa AFCON Arusha

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mwigulu Nchemba leo, Ijumaa, Aprili 17, 2026, ametoa maagizo mawili kwa wanaosimamia mradi wa ujenzi wa Uwanja wa soka wa Arusha utakaotumika kwa Fainali za AFCON 2027. Maagizo hayo ni uharakishwaji wa mradi huo pamoja na matumizi stahiki ya...
  7. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanapenda Samia, Nchimbi na Mwigulu wagombane na wasiaminiane, waepukwe kama ukoma

    Kuna watu wanavizia kila kitu anachoongea Samia kama Rais, Nchimbi kama makamu wa Rais na Mwigulu kama Waziri Mkuu wa Tanzania na kukigeuza ili ionekane kana kwamba Samia, Nchimbi na Mwigulu hawapo pamoja, lao sio moja na hawaendi njia moja. Hizi ni siasa za bei rahisi sana za watu waliochoka...
  8. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Wakati wa upungufu wa umeme kuna walioshauri tulete mitambo ya kukodi, kumbe walitaka wakutane nazo

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameyasema haya leo Aprili 12, 2026 wakati akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Chamwino, Jimbo la Mvumi mkoani Dodoma
  9. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Baadhi ya nchi Afrika likitokea tatizo watu wanatafuta dirisha la kupiga

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameyasema haya leo Aprili 12, 2026 wakati akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Chamwino, Jimbo la Mvumi mkoani Dodoma
  10. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Akitokea anayetaka kutumia suala la mafuta kama fursa kujinufaisha, tutamwambia hapana

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameyasema haya leo Aprili 12, 2026 wakati akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Chamwino, Jimbo la Mvumi mkoani Dodoma
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Wanatukana ili kuhalalisha mikataba yao ya kufugwa, walimtukana sana Rais wa awamu ya 5 alipokufa wakahamia kwa Rais Samia

    'Ndio maana wao huwa wanahama tu na awamu. Awamu ya nne walikuwa wanatukana Rais wa awamu ya nne. Alikuwa hawajibu, anaendelea na kazi yake. Alivyomaliza tu, wakahama, wakahamia kwa Rais wa awamu ya tano. Bahati nzuri teknolojia inatunza: hakuna Rais katika rekodi ya nchi yetu aliyetukanwa kama...
  12. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Kila siku tunakaa vikao vya kisekta kuhakikisha mafuta yanakuwepo ili shughuli zisiathirike

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameyasema haya leo Aprili 12, 2026 wakati akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Chamwino, Jimbo la Mvumi mkoani Dodoma
  13. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Polisi Pwani wakanusha Mwigulu kumteka Askari aliyetoa kero kwake kuhusu askari mwenzake

    Wakuu, Aloooo jamaa walimteka bana! Taarifa ya polisi inasema walimchukua tar 15, Feb na siku hiyo hiyo ndio akachukuliwa kwenye kwenye mashtaka:BearLaugh::BearLaugh: hata bila D mbili hesabu hii haiwezi kukushinda. Halafu eti familia yake iliruhusiwa kumuona juzi, na leo amerejeshwa kwenye...
  14. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Serikali imetoa waraka wa michango shuleni. Inayopitiliza lazima iwe na ukomo, Walimu wa kujitolea wasilipwe na Wazazi

    Akijibu swali la mbunge wa Segerea, Agnesta Kaiza kuhusu utitiri wa michango kwenye shule za umma unaoondoa dhana ya Elimu bure, Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa serikali imetoa waraka unaotoa miongozo kuhusu michango shuleni na kuongeza kuwa michango mingine ambayo inapitiliza...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mwigulu afanya mazungumzo na balozi wa Qatar nchini

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Aprili 8, 2026 amefanya mazungumzo na Balozi wa Qatar nchini, Fahad Rashid Al-Marekhi, Ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma.
  16. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mwigulu, malalamiko ya Wananchi kuhusu ukosefu wa Dawa na Takwimu zisizo na ukweli yasipuuzwe

    Katika Mkutano wako uliwahi kuhoji kwanini takwimu zinasema utoshelevu wa dawa ni 95% kwenye vituo huku asilimia 90 ya wananchi wanalalamika hakuna dawa. Mkutano aliofanya Mchengerwa ulikuwa ni mkutano wa kujisafisha na yeye ndio waziri mwenye dhamana, as we speak, hapaswi kuendelea kuwa...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Heri ya Sikukuu ya Pasaka kutoka Kwa Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Heri ya Sikukuu ya Pasaka Ninaungana na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuwatakia Watanzania wote Pasaka njema yenye furaha na baraka tele. Tunapoadhimisha ufufuko wa Bwana Yesu Kristo, na tuendelee kuenzi mafundisho ya upendo, mshikamano na...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Uongozi ni kusikiliza: Somo kwa Dkt. Mwigulu Nchemba

    UONGOZI NI KUSIKILIZA: SOMO KUTOKA KWA DKT. MWIGULU NCHEMBA Katika siasa na utumishi wa umma, nguvu ya kiongozi mara nyingi hupimwa kwa uwezo wa kuzungumza na kuamua. Hata hivyo, kipimo cha juu zaidi ni uwezo wa kusikiliza ambacho mara nyingi hupuuzwa. Katika mazingira ya maombolezo, Waziri...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Tanzania inahakikisha umeme haukatiki, ina umeme wa ziada

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amesema uchumi wa Tanzania unaendelea kukua akibainisha kuwa kasi ya ukuaji wa kitaifa imepaa hadi kufikia 6.0% licha ya mtikisiko uliosababishwa na janga la Uviko-19. Mwigulu ameyasema hayo Bungeni jijini Dodoma leo...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Nilipoona Mwigulu Nchemba ameanza kuongea kisukuma nikajua ni zile zile janja za Kamala Harris katika kutafuta urais

    Mwigulu alisema akipendwa na wanasingida imetosha na kwa muda mrefu amejitambulisha kama Mnyiramba. Sina tatizo na kuongea kisukuma ila yasije kuwa ya Kamala Harris kabla ya kugombea urais alijitambulisha mhindi kwenye mbio za urais ghafla akaanza kujitambulisha kama mweusi. Sitashaangaa huko...
Back
Top Bottom