Mwigulu Lameck Nchemba (born 7 January 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Iramba West constituency since 2010.In December 2015, he was appointed as the Minister of Agriculture, Livestock and Fisheries.
In July 2018 he was sucked down by Magufuli due to poor performance as the Minister of Home Affairs
DKT. MWIGULU ATUA MARA KWA KISHINDO AANZIA SERENGETI
ATAKA JENGO JIPYA LA HALMASHAURI LIKAMILIKE KWA WAKATI
AANZA KUNGURUMA LEO KWA KUSIKILIZA KERO VIWANJA VYA SOKOINE
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba ameanza ziara yake ya kikazi kwa kishindo katika Mkoa wa...
Nafasi ya amani Afrika
Chanzo cha picha,ABI
Kwa mujibu wa Global Peace Index 2026, Tanzania ipo katika nafasi ya 17 barani Afrika kwa kiwango cha amani, huku ikiwa ya 98 duniani. Inazidiwa hadi na Zambia
MY TAKE
Kila siku wanadai eti wanalinda amani. Wanalindaje amani ambayo haipo?
Wanalinda...
Ni sifa au dongo?👇👇👇
"...Natoa PONGEZI kwa Serikali kwa kugundua MIPANGO MIBAYA dhidi ya nchi yetu. Ili kuendelea KUIMARISHA USALAMA nchini, naiomba Serikali IWALIPE VIJANA FEDHA NYINGI ILI WASIANDAMANE. Nina UHAKIKA, vijana WAKILIPWA hata TZS 20,000 TU kwa kila mtu, HAKUNA KIJANA...
Wewe Mwigulu Nchemba ni muongo sana.
Na inavyoelekea, kusema uongo ni asili yako [pathological liar].
Unadanganya kipumbavu sana. Na kufanya hivyo ni moja ya dalili za kuwa pathological liar.
Unaropoka tu kuwa watu wamepewa hela waandamane.
Hutoi ushahidi wowote ule. Ukibanwa kidogo tu...
Waziri Mkuu Lameck Nchemba, amefichua kuwepo kwa njama za siri zinazosukwa na baadhi ya watu kuwalipa watu wengine ili wawapige watakaoshiriki maandamano, kwa lengo la kuichafua Serikali.
Dkt. Mwigulu ameyasema hayo leo, Juni 27, 2026, wakati akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Juni 27, 2026 akizungumza na wananchi wa Ikungi, Mkoani Singida ametoa amri kwa Vyombo vya usalama kutoogopa wala kutomchekea Mtu yeyote anayetaka kuvunja amani ya nchi.
"Na vyombo vya ulinzi na usalama, sikilizeni, wala msiogope. Mtu yeyote anayetaka...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Juni 27, 2026 akizungumza na wananchi wa Ikungi, Mkoani Singida amesema
Pia soma > Waziri Katambi apiga marufuku mikutano ya siasa kwa vyama vyote
Kuna watu wanataka kuwatumia vijana wa Kitanzania kwa maslahi yao binafsi. Kama serikali ambayo tuna wajibu...
"Niwaase Watanzania wote kuheshimu misingi ya utawala bora na kuhakikisha kwamba shughuli mbalimbali za kijamii, shughuli mbalimbali za kijamii, kiutamaduni, kidemokrasia za kiuchumi zinazingatia sheria, taratibu, mila, desturi na katiba yetu ya nchi. Tunayo katiba ya nchi yetu ndiyo...
"Mheshimiwa Spika, zipo tetesi katika baadhi ya maeneo kwamba viongozi wapo kama wamepigwa ganzi. Wanasubiri nini PDF, mkeka, teuzi. Haya ni mambo ya ajabu. Mambo ya ajabu. Kuwa ofisini na kusubiri teuzi ni mambo ya ajabu. Haya haya ni mambo ya ajabu ajabu tu.
Niendelee kuwaelekeza; mmepewa...
"Aidha, kupitia utaratibu mpya wa utoaji wa mikopo inayotokana na asilimia 10 ya mapato ya ndani ya halmashauri, ninazieelekeza taasisi za fedha na waratibu wa mikopo hiyo, kuondoa masharti magumu yanayowakwamishe wajasiriamali kunufaika na mikopo hiyo.
Mfano, ulazima wa wahitaji kwa upande wa...
Indicator iwe ni kero ya ardhi mkoani na wilayani kwake; mfukuze.
Wakuu wa Mikoa na Wilaya kama watafanyakazi za kuhudumia wananchi vizuri badala ya kujihudumia wao wenyewe hautakuwa na sababu ya maana ya kwenda mikoani na wilayani kusikiliza kero za kunyang'anyana ardhi na nyumba.
Wakuu wetu...
DKT. MWIGULU: CHUO CHA SOKOINE KATAVI KUWA CHA MFANO TANZANIA
Ujenzi wa Jengo la Taaluma la chuo cha SUA Kampasi ya Mizengo Pinda Katavi wafikia zaidi ya Asilimia 90
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba alifanya ziara ya kikazi Mkoani Katavi ambapo alifanikiwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Waziri Mkuu wetu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba maarufu kama Mr Clean kama ambavyo watanzania wengi hupenda kumwita .
Amepata na kupewa heshima ya kipekee kabisa ya kuwa Mshauri wa Kanisa la Anglikana Tanzania Baada ya...
baada
billion
dkt mwigulu nchemba
kanisa
kanisa la anglikana
mkuu
moja
mshauri
mwigulumwigulu nchemba
tanzania
uchapakazi
wake
waziri
waziri mkuu
zaidi ya
Mwigulu, tafadhali sana usitaje jina 'Tanzania bara' na 'Zanzibar' unapozungumzia pande mbili za muungano unaounda Tanzania, badala yake tumia Tanganyika na Zanzibar.
Ukishasema Zanzibar lazima useme Tanganyika, hilo ni sharti na siyo ombi.
Ukishasema Tanzania bara ni sharti umalize kwa kusema...
Ndugu zangu Watanzania,
Hayo ni maneno mazito na yenye kubeba uzalendo yaliyozungumzwa na Mheshimiwa waziri Mkuu wetu Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Mr Clean siku ya Leo.
Soma hapa 👉Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba ametoa rai kwa wananchi...
Madelu hana ujanja wa kutengeneza mazingira au maigizo ili aonekane kama anakubalika.
Kwa mantiki hii nakubaliana nae kuwa ukiacha mechi ya dabi ya simba na Yanga kinachofuata kufatiliwa ni ziara zake hii ni kwa sababu ni Comedy mwanzao mwisho.
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amemwagiza Kamanda wa TAKUKURU Mkoa wa Iringa kufanya uchunguzi wa kina kuhusu ukusanyaji wa mapato ya maegesho katika eneo la Ifunda wilayani Iringa na kuwasilisha taarifa kamili kuhusu namna mapato hayo yalivyokuwa yakikusanywa kabla na baada ya mabadiliko ya...
Nilimsikia juzi anadai eti baada ya simba na yanga mtu anayeongoza kwa kutajwa ni yeye.
Niwaombe watanzania tukatae huu uzamani na mbinu za kienyeji kutatua matatizo ya watu. Huyu mheshimiwa ni mzito wa kusoma alama za nyakati. Hii mbinu aliitumia na kuipatia sana magufuli lkn hata hivyo...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Juni 5, 2026 akizungumza na wakazi wa Isimani, Mkoani Iringa amesema serikali itaangalia sheria zilizopo kwenye maadili kuhakikisha mianya ya upigaji inazibwa.
Mwigulu amesema kuna watumishi wapo kwenye bomba pesa zinapomwagika ila hawalazimishwi kutaja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.