Mwigulu Lameck Nchemba (born 7 January 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Iramba West constituency since 2010.In December 2015, he was appointed as the Minister of Agriculture, Livestock and Fisheries.
In July 2018 he was sucked down by Magufuli due to poor performance as the Minister of Home Affairs
DKT. MWIGULU ASHIRIKI ZOEZI LA UPANDAJI MITI, DODOMA
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 27, 2026 ameshiriki zoezi la upandaji miti, mbele ya ofisi ya Waziri Mkuu Mlimwa Jijini Dodoma.
Zoezi hilo ni sehemu ya hatua ya kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia...
Vinara wa rushwa ndiyo viongozi fake: Samia, Mwigulu, Kikwete na Rostam. Ndiyo maana Polepole hatunaye leo na Lissu kafugwa leo bila hata kuhukumiwa!!!
Bila kuwaondoa hawa Tanzania tutabaki kwenye shimo.
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba akisafiri kwa Treni ya reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) kutoka Dar es Salaam kuelekea Morogoro ambapo atamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa mwaka wa viongozi wa TAKUKURU, unaofanyika leo Januari 26, 2026.
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali iko tayari kusonga mbele na inapokea maoni na kuyafanyia kazi, akisisitiza kuwa haitakuwa kikwazo katika juhudi za kuimarisha umoja na mshikamano wa Watanzania.
“La mwisho nimeyapokea niliyoyasikia kwa niaba ya Serikali, na bahati nzuri...
Waziri Mkuu, Dk.Lameck Nchemba ameagiza kubadilishwa matumizi ya fedha za vinywaji, kalenda, sherehe na zawadi kisha zielekezwe kwenye miradi iliyokwama ili kuongeza mapato ya wananchi.
My observation; Ufisadi uliokithiri kwa was kubwa serikalini anauacha anakuja kikimbizana na bidagaa!
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 23, 2026 akiweka jiwe la msingi mradi wa Ujenzi Vituo vya Kusukuma Maji, Mabomba Makuu ya Usafirishaji Maji na Matanki ya Kuhifadhia Maji jijini Mwanza amesema Serikali imeanza kutekeleza ilani ya Chama ambapo mpaka sasa Serikali imeajiri walimu 7,000...
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 23, 2026 akiweka jiwe la msingi mradi wa Ujenzi Vituo vya Kusukuma Maji, Mabomba Makuu ya Usafirishaji Maji na Matanki ya Kuhifadhia Maji jijini Mwanza amesema kuwa Tanzania ni tajiri ndio maana kuna miradi inaendelea kila kona ya nchi, hivyo watu...
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 23, 2026 akiweka jiwe la msingi mradi wa Ujenzi Vituo vya Kusukuma Maji, Mabomba Makuu ya Usafirishaji Maji na Matanki ya Kuhifadhia Maji jijini Mwanza amesema wanaharakati wanapinga sana sababu mirija yao imekatwa na Serikali ya Mapinduzi
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 23, 2026 akiweka jiwe la msingi mradi wa Ujenzi Vituo vya Kusukuma Maji, Mabomba Makuu ya Usafirishaji Maji na Matanki ya Kuhifadhia Maji jijini Mwanza amewataka wananchi kutovunja amani ya nchi kwa kushawishiwa na watu ambao wapo nje ya nchi kwani...
Hawa vijana wanaongozwa na mihemko zaidi kuliko hekima na busara, uwezo wao umejengwa kwenye misingi ya Uongo, Kibri, Kisasi na Kujipendekeza, wanapotoa matamshi huwa hawaangalii consequences zake, kuna siku isiyo na tarehe watakuja kuliponza taifa.
Kazi yetu ni ndogo sana, kusema, kama...
Kuna taarifa inasambaa mitandaoni kuwa serikali imeingia mkataba wa siri wa kitapeli kuilipa kampuni ya Marekani ya Ervin Graves Strategy Group LLC. dola million moja $1.08m na kuipa mkataba wa kuchimba madini yetu (rare earth minerals) ili kumsafisha Samia kwa mauaji aliyofanya wakati wa...
Moja ya alama ya mtu yoyote aliyesoma na kuelimika ni uongeaji wake. Hata mtu ambaye hajasoma shule sana ila ni msomaji wa vitabu, ni rahisi kumtambua. Kuanzia upangaji wake wa maneno, akiwa anatoa mawazo yake, nk.
Mwigulu sijawahi kumkubali kwa sababu toka nimeanza kumsikiliza day 1, naona ni...
"Inawezekana watu wanakuwa na ujasisri namna hiyo kwa sababu wanajua watukuwa protected mnawezaje kuwa na ujasiri wa kupindisha uamuzi kwa kiwango hicho. Nimeambiwa hawa watu wako kazini mpaka sasa kwaiyo yanakuja maneno hayo hayo kwmaba ni maneno ya wanasiasa. Sasa naelekeza hawa wasimamishwe...
Heshima yako mkuu Dr. Mwigulu Nchemba,
Nimeona hii post:
https://www.instagram.com/reel/DTfqcDJDJox/
Naomba tambua kuwa:
PCCB wanajua, TISS wanajua na kwa taarifa yako - cha kuwafanya wahusika ndo hakuna.
Ni mtandao mpana sana. Mtandao huu wa Wizi wa Pesa za Umma umejichimbia mizizi na...
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza katika mkutano na madereva pikipiki, bajaji na machinga wote leo Januari 8, 2026 katika ukumbi wa Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, amesema serikali inataka wananchi wanapofikisha kero zao katika Ofisi za serikali zipatiwe ufumbuzi...
Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba amesema Tanzania imebahatika kupata Rais mwenye kuwahurumia watanzania ambaye hataki Kuendesha Nchi kwa fedha ya dhuluma.
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba ametoa agizo la Mama aliyeporwa eneo lake la ardhi kurejeshewa ndani ya siku saba, ameeleza mama huyo alinunua eneo hilo 2009 na alipofikisha suala hilo la kuporwa ardhi yake Mahakama ilimpa haki lakini mshatakiwa alimpora tena kutokana na uwezo wake mkubwa wa fedha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.