mwigulu nchemba

Mwigulu Nchemba
Mwigulu Lameck Nchemba Madelu ni mwanasiasa na mwanachama wa chama cha kisiasa nchini Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mwigulu alikuwa Waziri wa Fedha na Mipango tangu 31 Machi 2021, mpaka July 2023 ambapo wizara hiyo ilivunjwa na kuwa wizara mbili yaani Wizara ya Fedha inayoongozwa na Mwigulu Nchemba na Wizara ya Mipango na Uwekezaji inayosimamiwa na Waziri Kitila Mkumbo.
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dkt. Mwigulu huwezi kusema nchi sio mali ya Serikali wakati ulisema pesa za Mama ukiwa Waziri wa Fedha

    Sijui kama mada inaweza kuelezeka hapo juu. Yaani leo matatizo yote na madeni ni yetu ila wakifanya yao ni yao siyo ya wananchi. Nakumbuka kauli yake kuwa tuamie Burundi na leo umekuwa Waziri Mkuu unajifanya kuwa ni mali yetu sote halafu hutaki kujua waliokufa unataka kujua nchi ya vitu sio watu.
  2. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Mkuu Mwigulu, tunaomba upambane na Wachina wamegoma kuondoka kwenye biashara za wazawa

    Wachina wanatudharau sana jamani Pamoja na kupitisha Sheria Kali Bado wanaendelea na biashara kama hakuna kitu Ni dharau sana
  3. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dkt. Mwigulu: Tanzania ni mali yetu sote, si mali ya Serikali wala Chama cha Siasa

    𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨: 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔 𝗡𝗜 𝗠𝗔𝗟𝗜 𝗬𝗘𝗧𝗨 𝗦𝗢𝗧𝗘, 𝗦𝗜 𝗠𝗔𝗟𝗜 𝗬𝗔 𝗦𝗘𝗥𝗜𝗞𝗔𝗟𝗜 𝗪𝗔𝗟𝗔 𝗖𝗛𝗔𝗠𝗔 𝗖𝗛𝗔 𝗦𝗜𝗔𝗦𝗔 WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania ni mali ya Watanzania wote wala si ya Serikali au chama cha siasa na hivyo kila mmoja anapaswa kuilinda. “Tanzania si mali ya Serikali, Tanzania si mali ya...
  4. McLaren

    JamiiForums Tanzania Based on Mwigulu's statement, yes it's possible for Tanzania to have a brand new consitution in less than 3 months

    So for a long time now, CCM has been repeating the same old line: “There isn’t enough time to make a new constitution.” And guess what? On November 26, during Mwigulu's press conference, the same talking point came up again, that drafting a constitution three months before an election is...
  5. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu, Waziri Mkuu hatuna hapa! Ni kichekesho na kasheshe

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kwanza anaongea kama kakatwa kichwa Pili hajitambui Tatu hajielewi Nne anajaribu kwenda na beet za anko Magu lakin hiyo karama hana Tano ni mshamba na limbuken Waziri mkuu hatuna Full stop LONDON BOY
  6. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tahakiki ya Tamko la Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, kwa Wahariri, 25 Novemba 2025: Mazingira, Maudhui, Mapengo, Tathmini na Mapendekezo

    Tahakiki ya Tamko la Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, kwa Wahariri, 25 Novemba 2025: Mazingira, Maudhui, Mapengo, Tathmini na Mapendekezo 1. UTANGULIZI KUHUSU TAMKO Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Lameck Nchemba, ameongea na wahariri wa vyombo vya habari vya Tanzania mchana wa leo, tarehe 25...
  7. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Nchi ipo kwenye ukimya mzito Mwigulu ndio kila siku yeye anasikika kwenye vyombo vya habari yani nchi kama vile haina serikali ile iliyoshinda kwa 98%

    Nchi ipo kwenye ukimya mzito mwigulu ndio kila siku yeye anasikika kwenye vyombo vya habari yani nchi kama vile haina serikali ile iliyoshinda kwa 98%. Mwigulu naye akinyamaza ndio basi nchi nzima itakuwa kimya kama vile haina serikali, huyu jamaa anajitahidi sana kuongea ongea kila siku na...
  8. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mwigulu una vyeti ila IQ yako ni ndogo. Ujinga na roho mbaya huenda pamoja na watanzania si wajinga tena

    Mwajijua, Uongozi wenu wa kiharamu ni matokeo ya matendo ya kishetani, na hatima yake Mmeondokewa na HEKIMA NA BUSARA ZA KIMUNGU Kwenu nyinyi, Uhai ni kakitu kadogo kasiko thamani Wala hakafai kuzungumziwa. Ila Uharibifu wa Mali zenu ulofanywa na Watanzania Waandamanaji Waloumizwa na Ufisadi...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Pole sana Mwigulu: Tunajua Kwamba unatetea ugali wako na watoto wako

    Hali ya utekaji nchini imekithiri na HUWEZI kufananisha utekaji Unaondelea na Yale yaliyo kuwepo Kibiti. Itoshe kusema ya kwamba kama rasilimali za nchi zitaendelea kuwanufaisha wachache na kuwaacha wasiokuwa nacho wakibaki maskini Basi tambua hakuna Mwananchi atakayepokea hizo hela kutoka kwa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza tuna Waziri Mkuu chawa na serikali

    Kwa mara ya kwanza tuna waziri mkuu Chawa na serikali fake! Mwigulu ndiye waziri mkuu ambaye kazi yake kubwa sio uendeshaji bali ni uchawa uongo uongo na kujipendekeza. Majaliwa alijitahidi sana kuwa kiongozi ambaye anajiepusha na utekaji, uongo, lakini alishidwa naye lakini hakuwa chawa!
  11. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu Nchemba acha propaganda, hazina tija. Watu wanataka tume huru, katiba mpya, kukomesha utekaji, mauji na Ufisadi

    Mwingulu amekua kama katibu mwenezi wa chama yeye mda wote yuko propaganda ambazo kwa karne hii hazina tija Watu wanataka ukomeshwaji wa vitendo utekaji, mauaji, Tume huru ya Uchaguzi katiba mpya hizi propaganda unazoendelea sio zikikusandia tunajua umetumwa lakini wananchi wa karne hawawezi...
  12. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Sijajua vigezo vilivyotumika kumteua Mwigulu kuwa Waziri Mkuu, hafai

    GT, Hii ni maajabu huyu jamaa hana haiba ya Uwaziri Mkuu hata kidogo, anaonekana muhuni tu tofauti na wenzake waliopita. Wangetafuta figure nyingine lakini siyo huu jamaa maana hayuko mioyoni mwa watanzania. Mwigulu ana msururu wa kashfa, hiyo nafasi haimfai hata kidogo. Japo Kadogosa ni...
  13. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu Nchemba anatumika kama spinning machine!

    Naona kitengo Cha propaganda kimepata spinning machine inayocheza script ya kitengo Ili ku neutralize Hali iliyopo! Kiasi fulani wamejitahidi,hasa ufunguzi wa kanisa, kupinga tuhuma za askari kuua raia n.k,lakini ningependa kuona serikali na viongozi wanakua pro active zaidi kuliko kuacha mambo...
  14. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu atoa idadi ya Vitu na miundombinu iliyoharibiwa katika vurugu za Oktoba 29

    Akizungumza na Wahariri wa vyombo vya habari leo Novemba 25, 2025 Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba ametaja tathmini ya awali ya miundombinu ya serikali na vitu vya wananchi binafsi vilivyoharibiwa wakati wa vurugu za Oktoba 29, Ameonyesha kusikitishwa na...
  15. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu: Aliyekamatwa na mabomu hajabisha, baada ya kuhojiwa alisema amebeba kwa ajili ya kujihami

    Akizungumza na waandishi wa habari leo Nov 25, Waziri Mkuu amesema kuwa raia mwenye uraia pacha aliyekamatwa naa mabomu baada ya kuhojiwa alisema kuwa amebeba mabomu hayo kwa ajili ya kujihami kwa kuwa lisisia Tanzania kuna matishio ya kiusalama. Pia soma PostGE2025 - Polisi: Tumemkamata...
  16. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Mkuu Mwigulu ahoji maandamano ya Oktoba. Maandamano gani watu walikuwa well armed?

    Akizungumza na waandishi wa habari amehoji ni maandamano gani hayo ambayo watu walikuwa wamejipanga na wana silaha kabisa huku wengine wakiwa hawaongei kiswahili. Amegusia pia kuhusu Mwanajeshi wa Marekani aliyekamatwa na mabomu. Anahoji ni utaratibu gani huu? === Waziri Mkuu wa Jamhuri ya...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Mkuu, Mwigulu: Kumwaga damu isiyo na hatia siyo baraka, tuiunge mkono Tume

    Akizungumza katika Mkutano na Wahariri wa Vyombo vya Habari, uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam, leo Novemba 25, 2025, Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amesema baada ya uchaguzi kulitokea msukosuko uliohusisha...
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Mkuu: Tanzania haitaendeshwa kwa 'Remote', Magari 1642, vituo vya mafuta 672, bodaboda 2268 vilichomwa moto

    Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, anazungumza na wahariri wa vyombo vya habari pamoja na waandishi wa habari, akihitaji nguvu kuunganishwa ili kufikia malengo ya Dira 2050. Prof. Palamagamba Kabudi, Waziri wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo Nawashukuru Wahariri na vyombo vya habari Tanzania kwa...
  19. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ushauri kwa Mwigulu: Ungeanza na waliopoteza ndugu kabla ya mali maana si umeona fedha za sikukuu ya Uhuru zinarudisha vitu

    Fedha zilizotengwa kwa ajili ya sikukuu ya uhuru zinaweza kurejesha miundombinu iliyoharibika lakini haziwezi kurejesha uhai wa vijana wetu waliopoteza maisha. Mheshimiwa Mwigu shikamoo. Kama platinum member mwenzako kupitia jukwaa hili napenda kukupa ushauri wa kujenga. Sitawahi kukusema...
  20. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Mwigulu Nchemba: Haiwezi kuwa kwa Kauli ya kisiasa tu jukwaani. Tunataka uwajibikaji wa kisheria na kisiasa kwa serikali yote!

    1. Imeandikwa humu jukwaani na kuona kupitia social media huyu anayeitwa PM wa serikali isiyo halali kisiasa na kimaadili, iliyoji - force kutawala Watanganyika, Mwigulu Nchemba akiagiza Waziri wa mambo ya ndani kulifungulia kanisa la GCTC - UFUFUO NA UZIMA linaloongozwa na Askofu Josephat...
Back
Top Bottom