mwigulu nchemba

Mwigulu Nchemba
Mwigulu Lameck Nchemba Madelu ni mwanasiasa na mwanachama wa chama cha kisiasa nchini Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mwigulu alikuwa Waziri wa Fedha na Mipango tangu 31 Machi 2021, mpaka July 2023 ambapo wizara hiyo ilivunjwa na kuwa wizara mbili yaani Wizara ya Fedha inayoongozwa na Mwigulu Nchemba na Wizara ya Mipango na Uwekezaji inayosimamiwa na Waziri Kitila Mkumbo.
  1. H

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba akagua maendeleo mradi wa maji Sinya

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Februari 23, 2026 amekagua maendeleo ya Mradi wa Majisafi wa Sinya–Namanga unaotekelezwa eneo la Sinya, Longido mkoani Arusha. Mradi huo unaotarajiwa kuongeza uzalishaji wa maji hadi lita 4,100,000 kwa siku, unatekelezwa na mkandarasi M/s. Zongii Contractors...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba (PhD): Soma hapa

    Mh. Waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania nakukaribisha Arusha. Tunachokuomba saa ya kusikiliza kero za wananchi, watu wako ndio wapange utaratibu bila kuingiliwa na oote katika mkoa huu Ili haki itendeke uambiwe ukweli. Mweshimiwa tunakusisitiza wasaidizi wako ndio wapange utaratibu...
  3. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Same: Mwigulu Nchemba aamuru aliyejenga matundu ya vyoo tokea 2020 alipwe pesa zake papo hapo na watendaji wa Halmashauri

    Waziri Mkuu akiwa ziara Wilaya ya Same mkoa wa Kilimanjaro, ametatua kero ya mwanaume mmoja ambaye alijenga matundu ya vyoo 22 mwaka 2020 katika shule ya Sekondari Gonja, lakini mpaka leo 2026 alikuwa hajalipwa. Mwigulu Nchemba ameamuru watendaji wa Halmashauri wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Ndani ya wiki mbili vifaa viwe vimefungwa - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Ndani ya wiki mbili vifaa viwe vimefungwa - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ———————————- Amesema hayo leo Februari 13, 2026 alipokagua na kufungua jengo la wagonjwa mahututi (ICU) katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Handeni mkoani Tanga ambalo ujenzi wake umegharimu sh. milioni 426.
  5. PAYE

    JamiiForums Tanzania Mwigulu ataka TAMISEMI 'wakate safari na Chai' kujenga madarasa

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa maagizo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), kwamba ifikapo mwisho wa Februari 2026 awe amefikisha fedha kwa ajili ya ujenzi wa madarasa katika Shule ya Msingi Imani iliyopo Mkata Magharibi, kutokana...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Watumishi wa BoT, Serikali wapo kwenye 'Kausha Damu'

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewatahadharisha Watanzania juu ya ukopeshaji wa fedha usio rasmi, maarufu kama "Kausha Damu," akitaja kuwa ni mfumo wa kinyonyaji unaowadumaza wananchi kiuchumi. Akizungumza jijini Dodoma leo, Februari 5, 2026, wakati akizindua mitaji ya shilingi...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Serikali kununua matrekta 10,000

    SERIKALI KUNUNUA MATREKTA 10,000 - DKT. MWIGULU NCHEMBA WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imepanga kununua matrekta 10,000 na kuanzisha vituo jumuishi 1,000 vya huduma za zana za kilimo katika ngazi ya Kata, hatua itakayoongeza tija, kupunguza gharama na kuwapa wakulima muda...
  8. McLaren

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba kuhusu akiba ya chakula nchini. Aliyeelewa anisaidie

    Guys, Hapa Mwigulu alikuwa anazungumza jana wakati akihitimisha mjadala wa hotuba ya ufunguzi ya Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Nimejaribu kutumia 4 figure bado sijaelewa. Aliyeelewa anieleezee vizuri. "Lakini sehemu nyingine Serikali inaweza ikauza akiba ya hicho chakula ili ipate fedha za...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PM Mwigulu Nchemba: Uuzaji wa akiba ya Dhahabu ni utaratibu wa kawaida

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Bank kuu kama msimamizi wa sera kuna wakati akitaka mfumuko wa bei uwe chini kwenye fedha tu achilia mbali dhahabu wanatumia ligwidipaper zake za kupunguza fedha za kwenye mzunguko ndani ya nchi. Sasa leo hii kwa Bank Kuu wamesababisha wachimbaji wadogo...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Tunayo hifadhi ya Chakula ya kutosha

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amesema hayo wakati akijibu swali la Nancy Nyalusi, Mbunge wa Viti Maalum katika kipindi cha Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Dodoma-Tanzania 🗓️Januari 29, 2029 ——————————————— Amesema hayo wakati akijibu swali la Nancy Nyalusi, Mbunge wa Viti Maalum katika kipindi cha...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Dodoma-Tanzania 🗓️Januari 29, 2029 ——————————————— Amesema hayo wakati akijibu swali la Nancy Nyalusi, Mbunge wa Viti Maalum katika kipindi cha...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba wakati akijibu swali la Nancy Nyalusi, Mbunge wa Viti Maalum katika kipindi cha Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu alisema: "Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu"
  14. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Wafanyabiashara msiwaumize wananchi

    WAFANYABIASHARA MSIWAUMIZE WANANCHI-DKT. MWIGULU NCHEMBA WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka wafanyabiashara nchini kutowaumiza Watanzania kwa kupandisha bei za bidhaa hususani kipindi hiki cha kuelekea Mwezi Mtukufu wa Ramadhani pamoja na mfungo wa Kwaresma kwa kuwa nchi kwa sasa...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Mkuu: Amani tuliyonayo ni matokeo ya kuheshimiana na kuzingatia misingi ya haki

    "Amani tuliyonayo ni matokeo ya kuheshimiana, kuzingatia misingi ya haki, wajibu na kila mmoja wetu kutimiza wajibu wake." - Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu Amesema hayo Januari 27, 2026 katika Bunge la Kumi na Tatu, Mkutano wa Pili, Kikao cha Kwanza, wakati akiwasilisha hoja ya Serikali ili...
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba unadhania Watanzania ni Wajinga? Kwamba viongozi wa CCM ambao ni mafisadi kujaza fomu za maadili ndio defence?

    Unatudharau sana hasa sisi Wakulima wa Igunga tunalima chakula na kulisha hiyo Ilamba yote na kulipa kodi? Yaani kiongozi au mtumishi wa umma akijaza fomu za maadili kuwa ana mali aina fulani ndio justification kuwa sio fisadi na mwizi wa mali za umma? Usitufanye sisi wajinga na wapuuzi.
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Msilishwe maneno na wanaoandika mitandaoni, Tanzania ni mwalimu kwenye utawala bora na kudhibiti rushwa

    Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka Watanzania kujivunia mifumo ya nchi yao katika kusimamia rasilimali na kusema kuwa Tanzania bado ni "mwalimu" kwa mataifa mengi ya Afrika katika suala la utawala bora. Akizungumza wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Viongozi wa...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Rais Samia anachukia rushwa na ubadhirifu wa mali

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasilisha ujumbe mzito kutoka kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisisitiza kuwa mkuu huyo wa nchi hapendi na wala havumilii vitendo vya rushwa, ubadhirifu wa mali za umma, na uzembe kazini. Dkt. Mwigulu ameyasema hayo...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba akutana na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania

    𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨 𝗔𝗞𝗨𝗧𝗔𝗡𝗔 𝗡𝗔 𝗚𝗔𝗩𝗔𝗡𝗔 𝗪𝗔 𝗕𝗘𝗡𝗞𝗜 𝗞𝗨𝗨 𝗬𝗔 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔 Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 20, 2026 amefanya mazungumzo na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Dkt. Emmanuel Tutuba, ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma.
  20. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba: Watanzania tunapaswa kuishi kwa misingi ya upendo, unyenyekevu, haki na uwajibikaji

    Watanzania tunapaswa kuishi kwa misingi ya upendo, unyenyekevu, haki na uwajibikaji-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. 📍Dodoma-Tanzania 🗓️18.01.2026 Mheshimiwa Dkt. Mwigulu ametoa kauli hiyo aliposhiriki Ibada ya Jumapili katika Kanisa Kuu Anglikana la Roho Mtakatifu, Dodoma.
Back
Top Bottom