Mwigulu Lameck Nchemba Madelu ni mwanasiasa na mwanachama wa chama cha kisiasa nchini Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mwigulu alikuwa Waziri wa Fedha na Mipango tangu 31 Machi 2021, mpaka July 2023 ambapo wizara hiyo ilivunjwa na kuwa wizara mbili yaani Wizara ya Fedha inayoongozwa na Mwigulu Nchemba na Wizara ya Mipango na Uwekezaji inayosimamiwa na Waziri Kitila Mkumbo.
Mwigulu Nchemba ni msomi unampa wakati mgumu Mama Samia kutekeleza miradi ya barabara.
Kwasababu mfuko wa road fund ambao Magufuli aliuanzisha kwasababu ya barabara pesa zote zinazotokana na kodi ya mafuta ya vyombo vyote vya moto ziende kwenye mfuko road fund kwasababu ya barabara.
Wewe...
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Iramba Mashariki kupitia CCM, Mwigulu Nchemba, ameendelea na maigizo yao CCM kwa wananchi baada ya kupaki V8 yake na kutumia baiskeli kwenye kampeni, akizisaka Kura za CCM kitongoji kwa kitongoji.
Sijui hawa Watu huwa wanawachukuliaje Wananchi Aise!
Mgombea ubunge jimbo la Iramba Mashariki kupitia Chama Cha Mapinduzi Dkt Mwigulu Lameck Nchemba amesema kuwa endapo akipata ridhaa ya kuwa Mbunge kwa awamu nyingine ataongeza na kuboresha miundombinu ya Elimu, Afya, Barabara pamoja na Maji ili wananchi Wa wilaya ya Iramba Mkoani Singida...
DKT. MWIGULU NCHEMBA ASISITIZA UWAJIBIKAJI KWA WATUMISHI OFISI YA HAZINA NDOGO KIGOMA
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, ametembelea Ofisi zilizo chini ya Wizara ya Fedha Mkoani Kigoma na kuzungumza na Watumishi wa Taasisi hizo kuhusu mambo mbalimbali yanayohusu shughuli za maendeleo...
NAMUUNGA MKONO MWIGULU NCHEMBA
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, amependekeza jambo lenye uzito mkubwa wa kiheshima, uzalendo, na uhamasishaji wa uwajibikaji wa raia. Wazo lake la kuweka mabango yanayoeleza kuwa miradi imejengwa "kwa hisani ya walipa kodi wa Tanzania" lina mantiki nzuri kwa...
Dkt. Mwigulu Nchemba: Makusanyo ya Kodi Yameongezeka kwa Asilimia 103 Baada ya Serikali ya Awamu ya Sita Kuingia Madarakani
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema kuwa kuna ongezeko kubwa la makusanyo ya kodi mara tu baada ya Serikali ya Awamu ya Sita kuingia madarakani ambapo kwa...
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka wananchi kutopata hofu kuhusu deni la Taifa pale linapotangazwa, kwani deni hilo lina sehemu kubwa inayoenda kwenye upande wa kampuni binafsi na wala si Serikali inayotakiwa kulipa.
Dkt. Nchemba amesema hayo bungeni jijini Dodoma wakati...
wakuu
=====
Mtoto wa waziri wa fedha akitoa salamu kwa wananchi mbele ya baba yake mzazi Mwigulu Nchemba kijana anavaa Kama baba bendera ya nchi iko shingoni wazungu wanasema like Son like Dad.
Tayari ameshamwandaa Mwenyekiti wa Halmasharu ya Iramba Repeater Mwenzake wa Shule (wote walirudia shule zaidi ya mara tatu) Ndugu Innocent Msengi ambaye pia aliwahi kuitwa Masanganya Zengo au jina lingine Mande Kapendo kuwania nafasi ya ubunge mwaka 2030. Wote ambao wameonesha dalili au kusemwa...
Wakuu
Hapa nimewasogezea Mnyukano mkali niliokutana nao mtandao wa X kati ya Zitto Kabwe, Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba na Profesa Anna Tibaijuka kuhusu pendekezo la kutoza ushuru wa 10% kwenye mapato yaliyobaki (retained earnings)
Zitto Kabwe (12 Juni 2025): Alikosoa pendekezo la ushuru wa...
"Mh. Spika nipongeze kwa dhati Simba kwa kutinga hatua ya fainali ya kombe la shirikisho barani Afrika kwa mara nyingine tangu mwaka 1993. Simba inapokuwa ya kimataifa mimi huwa shabiki wake. Mafanikio haya ya Simba yanatokana na juhudi kubwa ya uwekezaji na Rais wa heshima wa timu Mohamed...
Nadhani wangemuaga na Majaliwa tu naye akapumzike
===
Mheshimiwa Spika, nikiwa naelekea kuhitimisha hotuba yangu, napenda kumpongeza Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa weledi wake katika kuendelea kumsaidia na kumshauri Mheshimiwa Rais...
Waziri wa Fedha Dr. Mwigulu Nchemba amehutubia bunge kuhusu hali ya Umaskini kupungua nchini
===
"Takwimu rasmi zinaonesha kuwa kati ya mwaka 1991 na 2018, umasikini umepungua, mathalani katika kipindi hicho cha marejeo, asilimia ya watu waliokuwa wakiishi katika umasikini wa hali ya juu...
Wakuu,
Rasmi sasa Mwigulu Nchemba ametangaza kiasi cha pesa ambacho Serikali kitatumia kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2025
Mwigulu amesema kwamba kwa mwaka huu, Serikali imetenga Tshs Bilioni 741.5 kwa ajili ya Uchaguzi tu.
Ikumbukwe kuwa mwaka 2020, Serikali ilitenga Tshs Bilioni 268 kwa ajili ya...
Wakuu,
Leo Mwigulu Nchemba amewahakikishia Watanzania kuwa hakuna Mtanzania atakayekufa kwa sababu baadhi ya nchi wahisani wamesitisha kuipa misaada Tanzania
"Tunao uwezo wa kushirikiana na sekta binafsi tukazalisha dawa za Malaria, Kifua Kikuu. magonjwa mengineyo ndani ya nchi na jambo hili...
Wakuu,
Hivi hili suala limekaaje wakuu?
Yaani watanzania wenye itikadi za vyama mbalimbali wako kitako kusikiliza bajeti ya Serikali lakini humo humo Waziri Mwigulu anafanya uchawa kumsifia Rais na kumwambia watu wamachague kwenye Uchaguzi Mkuu
Hili ni jukwaa la kampeni au wasilisho la...
Waziri wa fedha wakati akiwasilisha bajeti ya taifa amewataka wananchi kuilinda amani na wasikubali mksingi ya taifa ikatikiswa kwani mataifa yaliyofanya mazaha na jambo hilo iliingia kwneye mifarakano.
Naomba sana Mama yetu sisi walimu utumumbuke kwa kuongeza mishahara mwaka huu!Kumbuka mwaka juzi ulitupanga tu!Kumbuka mwaka huu tunafanya masmuzi kwenye box
Leo jioni Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amepost propaganda mfu wanazozitengeneza huko CCM kuwakebehi na kuwajengea picha mbaya Wanamageuzi wa kweli wa Tanzania Tundu Lissu na Godbless Lema eti wasiaminiwe kwa sababu familia zao zipo nje ya Tanzania.
Napenda kutumia jukwaa hili kumwambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.