Mwigulu Lameck Nchemba Madelu ni mwanasiasa na mwanachama wa chama cha kisiasa nchini Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mwigulu alikuwa Waziri wa Fedha na Mipango tangu 31 Machi 2021, mpaka July 2023 ambapo wizara hiyo ilivunjwa na kuwa wizara mbili yaani Wizara ya Fedha inayoongozwa na Mwigulu Nchemba na Wizara ya Mipango na Uwekezaji inayosimamiwa na Waziri Kitila Mkumbo.
Singida. Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amesema hakuna haja ya kuanza kuhangaika kutafuta wachunguzi kutoka nje kwa ajili ya kufuatilia wahusika wa shambulizi la Mbunge wa Singida Mashariki(Chadema), Tundu Lissu kwa vile vyombo vya ulinzi na usalama nchini vinajitosheleza na vina...
Mwigulu nchemba ambaye ni waziri wa mambo ya ndani alete majibu kupotea kwa Ben Saanane na Maiti saba mto Ruvu,Mauaji ya police Mbagala,Mauaji watu Soweto,Ugaidi wa Lwakatale.
Amekuwa mtu asiyeaminika kwenye jamii toka zamani.
Mara jina lake lina utata,Mara alikuwa akifuga Lasi.
Sasa hivi...
Wanabodi,
Katika zoezi la kusaka vyeti bandia linaloendelea sasa, kuna watu wanashindwa kutofautisha kati ya vyeti bandia na vyeti halisi, halali na vya kweli, na pia kushindwa kutofautisha majina bandia na majina halali, hivyo hili ni bandiko la uthibitisho kuwa Mhe. Mwigulu Nchemba sio...
Salama comrades?
Nimeiona thread hii: Mwigulu, Kigwangalla, Makonda jibuni tuhuma hizi nzito, aliyeandika naona hajui historia yangu.
Ni vema kuweka rekodi sawa:
Kwanza anasema nilikuwa nanaitwa Lameck Madelu Mkumbo, sasa moja Lameck sio jina la kinyiramba, na Madelu sio jina halisi la baba...
Akichangia bungeni muda huu Mwigulu Nchemba amesema yupo tayari kutoa ushahidi popote pale iwe polisi, mahakamani bungeni hata mbinguni kuthibitisha video ya Lwakatare jinsi alivyoipata, na kwamba kiongozi wa CHADEMA aliyempa pia yupo tayari kuthibitisha mahali popote. Amewataka viongozi wa...
Wanajamvi niwasalimu kwanza.
Ni hivi karibuni tumeshughudia kutekwa na kuumizwa kwa mwenyekiti wa jukwaa la wahariri ndugu yetu Absalomu Kibanda. Kutekwa huku kwa Kibanda na kuumizwa hakutofautiani sana na kule kuteswa kwa mwenyekiti wa jumuiya ya madaktari ndugu yetu Stephen Ulimboka.
Leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.