Mwigulu Lameck Nchemba Madelu ni mwanasiasa na mwanachama wa chama cha kisiasa nchini Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mwigulu alikuwa Waziri wa Fedha na Mipango tangu 31 Machi 2021, mpaka July 2023 ambapo wizara hiyo ilivunjwa na kuwa wizara mbili yaani Wizara ya Fedha inayoongozwa na Mwigulu Nchemba na Wizara ya Mipango na Uwekezaji inayosimamiwa na Waziri Kitila Mkumbo.
Wanajamvi niwasalimu kwanza.
Ni hivi karibuni tumeshughudia kutekwa na kuumizwa kwa mwenyekiti wa jukwaa la wahariri ndugu yetu Absalomu Kibanda. Kutekwa huku kwa Kibanda na kuumizwa hakutofautiani sana na kule kuteswa kwa mwenyekiti wa jumuiya ya madaktari ndugu yetu Stephen Ulimboka.
Leo...