mwezi

  1. JamiiForums Tanzania Marekani yaidhinisha Dawa ya VVU ya kutumika mara 1 kwa mwezi badala ya vidonge vya kila siku

    Idara ya Chakula na Dawa nchini Marekani (FDA), imeidhinisha dawa aina ya "Cabenuva" iliyoundwa dhidi ya virusi vya Ukosefu wa kinga ya mwili (VVU) kutumika mara moja kwa mwezi. Maafisa wa Marekani walitangaza kwamba idara hiyo ya FDA imeidhinisha dawa inayoitwa "Cabenuva", ambayo inaingizwa...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dadadeki!! Kwa mwezi wa Desemba tu KRA imekusanya Ksh166 billion, kwa hela madafu hizo ni kama Tshs 3,652,000,000,000 yaani Trilioni 3.6

    Juzi TRA ya Tz walisema wamekusanya trilioni mbili, mitandao haikukalika kwa namna mataga walisifia wengine wakisema Tanzania sasa inaipiku Kenya kiuchumi, haya hapa KRA imekusanya mara mbili ya hiyo... =============================== Kenya Revenue Authority (KRA) has signaled a speedy economic...
  3. S

    JamiiForums Tanzania TASAF mbona mpo kimya kuhusu matokea ya usaili uliofanyika toka mwezi Novemba mwaka jana kupitia utumishi

    Kama kichwa cha thread kinavyosema hili shirika la TASAF lilitoa nafasi za kazi katika kada mbalimbali toka mwezi juni tukaja kuitwa kwenye interview kupitia utumishi mwezi November. Ila toka tulipofanya ile written na oral interview sasa huu unaenda mwezi wa 3 bilabila si utumishi wala tasaf...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza kuendesha familia kwa budget ya 185,000/= kwa mwezi ?

    Tazama mwenyewe
  5. JamiiForums Tanzania Tuzo za Grammy zasogezwa hadi mwezi Machi

    Tuzo za Grammy za mwaka 2021 hazitafanyika tena mwezi huu huko Los Angeles Crlifornia na badala yake zitatangazwa mwezi Machi kwa sababu ya kuongezeka kwa visa vya virusi vya corona na vifo. Waandaji wa tuzo hizo waliwaambia waandishi wa habari siku ya Jumanne kuwa onyesho la kila mwaka...
  6. JamiiForums Tanzania Limekaaje suala la madalali kulipwa kodi ya mwezi mmoja?

    Habari za muda huu wakuu? Heri ya mwaka mpya pia. Leo nimekuja kuuliza na kutafuta majibu ya juu ya suala la madalali wa nyumba kulipwa kodi ya nyumba ya mwezi. Hili suala limekaaje hii ni baada ya kuona mijadala kadha wa kadha kupitia mitandao ya kijamii tofauti. Je, kwanini kodi ya mwezi...
  7. J

    JamiiForums Tanzania RC Hapi: Jumamosi ya pili ya kila Mwezi itakuwa ni siku ya kufanya mazoezi watumishi wa umma na Wananchi wote mkoa wa Iringa

    Mkuu wa Mkoa wa Iringa Salum Hapi amesema jopo la madaktari wa mkoa wa Iringa wamemweleza kuwa mkoa huo unanyemelewa na magonjwa nyemelezi kama kisukari nk. Kufuatia hali hiyo RC Hapi amewaagiza Wakuu wa wilaya mkoani humo kuhakikisha kila Jumamosi ya pili ya kila mwezi inakuwa ni siku ya...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Leo nimeokota noti ya shilling 10,000 ikiwa ni mara ya pili ndani ya kipindi cha mwezi mmoja.Je, hii ni bahati tu?

    Habari wadau, Kwanza nianze kwa kusema hii si mara yangu ya kwanza kuokota hela kama ambayo naamimi hata wewe msemaji huenda umewadia kuokota hela pengine zaidi ya mara moja. Katika hali ya kawaida(kwani naamini ni kwa wengi), nimekuwa nikiokota hela ndogo ndogo(shilingi 1000,2000,500, n.k)...
  9. JamiiForums Tanzania TRA yavunja rekodi ya makusanyo ya mwezi Desemba 2020

    Leo 01/01/2021 mamlaka ya mapato Tanzania kupitia kwa waandishi wa habari, imetangaza makusanyo ya mwezi Disemba 2020 kuwa ni takribani trilioni 2, hii ni rekodi tangu kuanzishwa kwa mamlaka hii mwaka 1996 Hii ni hatua ya kupongezwa sana kwa Watanzania wote walipa kodi na mamlaka ya...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma wanaingia mwaka wa 6 wakiwa na mshahara ule ule uliopanda kwa mara ya mwisho mwezi July, 2015

    Tuliwalaumu na kuwalaani wakoloni kwa mambo mengi mojawapo ikiwa ni kutoa ujira mdogo kwa watu weusi na tukaamini tukipata uhuru, mambo haya yataisha. Cha ajabu, leo hii watwala ambao ni watanzania wenzetu, wanaturudisha kule kule tulikotoka sio tu kwa kutoa mishahara inayoendana na gharama...
  11. JamiiForums Tanzania Nimeziba jino zaidi ya mwezi nyuma, sasa hivi nikitafuna kama lina ganzi, nikibonyeza juu ya shavu kuna maumivu kwa mbali nayasikia, nini tatizo?

    Nimeziba jino mmoja ya hospitali hapa mjini sio vizuri kuitaja jina kwa sababu nitaharibu biashara ya watu wakaikimbia Dar. Jino langu nimeziba zaidi ya mwezi wakuu siku ya kuziba nilichomwa sindano ya ufizi ganzi ikaingia uzuri nikafanyiwa harakati nikamaliza, nikarudia kama awamu mbili...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yaagiza mikataba ya wafanyakazi kukaguliwa upya ndani ya mwezi mmoja!

    Waziri wa kazi, ajira na wenye ulemavu Jenister Mhagama amemtaka Katibu Mkuu wa wizara yake kukagua mkataba ya watumishi wote kwenye miradi ya kimkakati. Mhagama amesema uhakiki huo una lengo la kuangalia kama mikataba hiyo ya kazi inakidhi vigezo vya kisheria na ina tija. Chanzo: ITV habari...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ile ndege aina ya Bombardier mbona haiwasili kama tulivyoahidiwa kuwa itawasili mwezi huu wa Desemba?

    Habari hii nakumbuka ilitolewa na hata JamiiForums twitter waliripoti hii habari ila mpaka leo December 27 mbona kimya? Je,walitawahi tangaza kuahirisha? Na hizi zilizopo, maendeleo yake yakoje? Mwenye majibu tafadhali.
  14. JamiiForums Tanzania Mabenki yangeangalia namna ya kupunguza makali ya uchumi mwezi wa Januari hata kwa kutoa mkopo kidogo

    Tanzania imekuwa kama wimbo. Ikifika Januari kila mtu analia hali ngumu ya uchumi. Miaka na miaka tunalia hii hali bila kuwa na suluhisho la maana. Nashauri benki zingeangalia uwezekano wa kupunguza hii hali hata kwa kutoa mikopo midogo. Mtu hata kama anamkopo benki basi Januari aweze kutop...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Serikali hasa Hazina Kuwawahishia Wanajeshi Mishahara Mwezi huu mnatusababishia Kero tu Mitaani Usiku huu

    Nashauri Krismasi zijazo ikiwapendeza muwe mnawapa ( mnawaingizia ) Mishahara yao Tarehe 24 tena Usiku ili angalau Mshahara ukae kae na hata Fujo za Kimatumizi nazo ziweze Kupungua. Kwa Kitendo chenu tu cha Kuwaingizia ( Kuwapa ) Mishahara yao Juzi Jumanne tarehe 22 kwa aina ya Matumizi na Bata...
  16. JamiiForums Tanzania Mandhari ya kuvutia angani - Jozi la Sayari mbili jirani na Mwezi hilali

    Angalia mandhari ya kuvutia sana angani 16 na 17 Desemba, mara baada ya magharibi karibu na upeo wa magharibi: Mwezi hilali jirani kabisa na jozi la Mshtarii na Zohali. Watch the attractive sight 16 and 17 December of the crescent Moon close to the Jupiter-Saturn pair in the western sky soon...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Makusanyo ya TRILIONI MBILI kwa mwezi yatatoka wapi Kama siyo kwa wanyonge?

    Kupanua ukusanyaji na vyanzo vya mapato tutegemee makundi haya kuathirika aidha ndani ya msingi wa sheria ya Kodi au nje ya sheria ya Kodi. - Wakulima wajiandae kulipishwa Kodi bila kujali umevuna au umepata hasara -Wafanyabiashara wakubwa jiandaeni kukamuliwa Wafanyabiashara wadogo jiandaeni...
  18. JamiiForums Tanzania Siri imefichuka: Mishahara ya Wabunge wa Tanzania ni kuanzia milioni 11 kwa mwezi

    Habari wana JF, Siku zote nimekuwa nikijiuliza jambo moja hapa Tz kwanini Ma Profesa, Wahandisi na wataalamu wabobezi kwenye fani mbalimbali wanaamua kuzipa kisogo fani zao na kukimbilia kwenye siasa hasa ubunge? Sasa leo Kisalala mbunge wa jimbo la Sumve amenipatia jibu. Wanafuata maslahi...
  19. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Catherine Ruge: Kwa mateso haya niliyoyapata, siwezi kusaliti chama changu na Wananchi wangu wa Serengeti walioniamini

    Ameandika hivi kupitia twitter: Kwa Mateso na Maumivu haya niliyopitia Siwezi kusaliti chama Changu na Wananchi wa Serengeti walioniamini na Kunipa Heshima Kubwa Kama Msubhati wao.
  20. JamiiForums Tanzania Inakuwaje tarehe na mwezi wa kuzaliwa na kufa vinafanana?

    Yaani unazaliwa tareh 1 mwezi wa 3 1999 na unakufa tarehe 1 mwezi wa 3 2000
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…